Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwanzo nilikuwa nakuona kama mtu unayejielewa ila baadae nikaja kugundua kuwa nilikuwa najiongopea.kwa jinsi unavyokurupuka kwenye taarifa zako ni wazi una matatizo kwenye kichwa chako. UKRAINE COUNTER ATTACK imewafanya wapate hasara na kupoteza maeneo zaidi

Muda huu timu NAFO tunaendelea kupokea habari njema kutoka Kherson. Wazee wa denazification mkae kwa kutulia na Waziri wa Ulinzi wenu yule civil engineer wa kiraia
 
Vita haina macho.

Hiko kiingereza kilichotumika hapo hata mtoto wa primary shule za Kayumba anakielewa.

Iko hivi wanajeshi wa Ukraine wanajificha kwenye maeno ya raia na ndio maana vijana wa Putin wanatembeza kichapo humohumo
 
Anayetembezewa kichapo nan? Kama so Russia had anaongeza jeshi ,yaan mwez huu mtapakimbia huku jamii forum,mwisho mtasema mmepigwa na dunia
 
Ona mnavyofarijiana kwenye hamna
 
Kwa hali ilivyo sasa Ukraine haitatawalika tena kule sasa kumechafuka vibaya sana hali tete nchi inanuka mizooga ya wana wa adamu na huku afrika watu wanaishi kwa ushabiki tu.
Tatizo warusi hawataki kuchukua miili ya ndugu zao wanaokufa vitani,hawathamini utu wale,wanawatelekeza ndugu zao Ili wawe mbolea ya mimea huko Ukraine.., inasikitisha sana kwa kweli [emoji848]
 
Subirin ,leo ndio counteroffensive imeanza ya kuyakomboa maeneo aliyoshikilia Russia ,humu mtapakimbia mwez huu,maana madaraja yote tumeshayalipua,na tumewadhoofisha ,mpaka mnasaka makruta 137,000/=
Duh...nyie watu mna roho ngumu....hivi hujui kuwa saa hizi Ukraine inawaka Moto kwa mashambulizi makali na ya kutisha from Russia???!!!??
 
Tatizo warusi hawataki kuchukua miili ya ndugu zao wanaokufa vitani,hawathamini utu wale,wanawatelekeza ndugu zao Ili wawe mbolea ya mimea huko Ukraine.., inasikitisha sana kwa kweli [emoji848]
Vita ilivyo namna unavyoua na ndivyo unavyokufa sasa unawezaje kusema wanakufa upande mmoja tu au warusi wapomateka na wanauliwa kila siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…