kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mkuu Hawa jamaa wameamua kwa makusudi mazima kuwa wspotoshaji, Wala hawawezi kukubali ukweliYaan nawashangaa pro Russia watu wanasonga mbele na vijiji vinne vilivyokua kambi kubwa vimechukuliwa wao usiku kucha ni mashairi tuu wanfarijiana,kichapo kinaendelea,
Ajabu ni kwamba habari zao ni za hapahapa jamiiforum Wala huwezi kuziona Wala kuzisikia katika chombo kingine Cha habari
Aljazeera wamesharipoti kuhusu vijiji hambavyo tayari vimekombolewa na jeshi la ukraine
Lakini wao habari zao ni za hapahapa jamiiforum [emoji2][emoji2]