Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Urusi yaua zaidi ya wanajeshi 1,200 wa Ukraine ktk operesheni ya Zelensky iliyofeli ya kurejesha miji
Majeshi ya Urusi yamewanywa wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 1200 ktk masaa 24 yaliyopita katika majaribio ya Ukraine kutaka kurejesha miji iliyokombolewa na Urusi toka kwenye utawala wa waNazi mamboleo wa Ukraine. Kutokana na operation hiyo ya Ukraine iliyofeli, Zelensky kapoteza wanajeshi hao...