Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Leo mmezidi, kila mmoja wenu kila baada ya lisaa mnashindana tu kujipangia idadi ya wanajeshi mliyowaua kwa siku hii moja leo! Huyu akitaja 500; yule 1000. Yule akitaja 1000 huyu 1200. Inatosha, acheni utoto bwana!!!!
Mkuu upo toilet angalia usije ukatumbukiza simu hio usisahau hapo sio sebleni
 
Hao wachache
Wameuawa wanajeshi 16000
Ndege vita SU 25 40 zimelipuliwa

Himars 5 zimelipuliwa

TB 2 30 zimedunguliwa

Vifaru 2000 vimeharibiwa

Mateka wako zaidi ya laki 1

Majeruhi ni Nusu milioni

Ukraine imerudishwa hadi Kyiv

Zelensky kakimbia
Umepanik bro[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tazama hii eneo liliokombolewa na kipigo kinaendelea

EU project.
Soma hiyo Link

FB_IMG_1661886936562.jpg
 
Shida ni kwamba hii vita watu wameifanya ka mechi ya simba na yanga..
 
Tatizo lilianza na Pro Russia unapotoa nyuzi zenye fact wao wanakuja na hoja zakishoga....sasa imebaki tuende nao Sawa sababu ndio level ya akili wanayo
 
Ukraine imepoteza Mamia ya Wanajeshi huko Kherson leo hii baada na kufyekwa na vikosi shupavu vya Russia[emoji635][emoji635][emoji635]

Ukrainian saboteurs were reportedly “destroyed” Tuesday morning in the Tavrichesky microdistrict of Kherson, according to a Russian military leader.

Kherson has become the latest focal point of the Russia-Ukraine war as Ukraine has amped up pressure to reclaim the southern city with a counteroffensive that has included gunfire, shelling and explosions. Ukrainian presidential adviser Oleksiy Arestovych described his country’s efforts as a “slow operation to grind the enemy.”

CNN has reported that Ukrainians have successfully seized four villages near Kherson that Russia had occupied since the…

Continue Reading


News Source: Russia says Ukrainian saboteurs killed in Kherson amid counteroffensive
 
Shida ni kwamba hii vita watu wameifanya ka mechi ya simba na yanga..
Machenza Fc v Mbengo Fc

Watu wanaona km mpira wa kichangani kumbe watu wanakwenda zile sigara za moto zinawamaliza
 
Back
Top Bottom