Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Kinaenda kutokea kile alichowaambia Putin Hawa wanajeshi wa Ukraine mwanzoni kabisa mwa Op.

Aliwaambia waweke silaha chini,
Pia
Aliwaambia wamtoe Zelensky,.

Aisee kwa hiki hinachokiona Zelensky anaenda kuliwa kichwa na WA Ukraine wenyewe.

Tusubiri.

Watu kwa jina la wanajeshi kufa 1200 kwa siku moja sio jambo dogo.
 
Putin aliwaambia waweke silaha chini hawakusikia.
Wanajeshi 1200 kwa siku moja,inaniuma sana kwa kweli.
Natamani Zelensky atangaze kusitisha mapigano.
Hawezi kumshinda Urusi huyu,imeshadhihirika.
Shida ya Urusi ukiwakazia nao wanakaza.

Juzi tuliona msafara wa mabehewa yenye silaha,pengine hiyo ndio matokeo ya msafara huo.
 
Himars moto wa kuotea mbali yale machuma yao defence system yalikuwa yanalinda madaraja nayo yamekwenda na maji ukiona yametegwa utaona za maana kumbe mapipa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Naona hata Yale waliyohamisha kutoka Syria hayajafua dafu[emoji2]
 
1661923754775.png
 

You need to laugh this morning? Yeah,Dementia,Zombie and Smoky Joe Biden has filed to run for re-election in 2024!​


Zombie,Smoky and Dimentia President Joe Biden has filed to run for re-election in 2024 when he’ll be 81 years old!
Of course A filing is not necessarily a guarantee that that individual will eventually run for office or re-election.
It is not uncommon for people to file paperwork with the Federal Election Commission only to not run for the upcoming election.
But we report this because hey, everyone needs a good laugh once in awhile.Joe Biden again running for the President of the United States?Really?Does he think Americans are all that stupid.May be,but this is taking Americans too much for a ride.
 

Attachments

  • BidenForResident_large.jpg
    BidenForResident_large.jpg
    108.4 KB · Views: 29
Tazama hii live Antonvka bridge limepigwa na Himars hakuna kuvuka inzi tutaoneshana makali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Duh! Pamoja na juhudi zote za urusi kurekebisha Hilo daraja lakini hazikufua dafu[emoji848]
 
Ninacho kiona mimi Zelensky ana roho ngumu kama ya paka, huyu si ndiye aliwahi kusema kwamba jeshi la Ukraine linapoteza wanajeshi 600-1000 kwa siku na hilo kalisema baada ya US Military top brass kusema hivyo, kabla ya hapo alikuwa hatoi idadi na hasara anazopata wala idadi ya wanajeshi wanao uwawa vitana wala majeruhi, wala innocent raia wa Ukraine wanao uwawa - alikuwa anakaa kimya kabisa hataji hasara za Ukraine anazo zipata katika vita hii.

Yeye masaa yote ni kuvaa T-Shirt na kutunisha misuli mbele ya camera za TV na kudai kwamba mpaka sasa Jeshi la Ukraine limekwisha angamiza wanajeshi wa Urusi 85,000 (elfu themanini na tano), ndege 1000, Vifaru 3,500, Mizinga 1000 nk - analeta usanii tu masaa yote.

Sijui kwa nini Bunge la Ukraine alipigi kura ya kitokuwa na imani na Zelensky ambaye kiukweli leadership quality yake ni almost ZERO - akiachwa hivi hivi mpaka vita ije kuisha hapatakuwepo Ukraine wala raia wake, hii inasikitisha sana sana.
Yaan kwa akili yako rais atoe tamko la kwamba tumeshinda vita ili urusi achukue nchi yote. Una akili kama ya mende aisee. Linapokuja kwenye swala la nchi kuvamiwa huyu comedian ni MBONGE la mwanaume. Nakumbuka mwanzon alipewa offer ya kwenda marekani. Lkn mwanaume akasema nitafia nchini mwangu. Na akakataa kutoka Hadi Leo Russia anahangaika tu.

Ukraine inapigania nchi yake haijarishi watu watakufa wangap lakn atapigania nchi yake. Ardhi yake. Na watu wake.

Yaan nyie ndo wale jiran akiwa na nguvu akivamia kwako unampatia mke na watoto wako halafu unakimbia toka kwako kwa sababu aliyekuvamia ni mwenye nguvu. Mwanaume unatakiwa upambane Hadi hatua ya mwisho kupigania familia yako. Ardhi yako na haijalishi itakugarimu maisha pambania himaya yako.
 
RmTazama huu mji wa Belgorod upo ndani ya Russia unashambuliwa mpaka warusi wanakimbia

 
JAPAN wametenga bajeti kubwa ya Jeshi ili kuzipiku. China na Russia hizi dalili za uoga wakilianzisha Kisiwa kitazamishwa kabisa..

Bloomberg

Subscribe

Politics

Japan Boosts Missile, Defense Budget to Counter China and Russia

Ruling party looks to double spending over next five years

Actual outlay expected to be much higher than budget request

[https://assets]

Japan Ground Self-Defense Force members during a live-fire exercise in May.

Photographer: Tomorhiro Ohsumi/AFP/Getty Images

By

Jon Herskovitz

+Follow

August 31, 2022 at 9:10 AM GMT+3

Japan plans to enlarge its arsenal of missiles that can hit military assets from China, North Korea and Russia as part of a defense spending program that will rank among the world’s biggest.

The Defense Ministry sought a record 5.6 trillion yen ($40.5 billion) for the next fiscal year in a financing request made Wednesday. Although the number is only a slight increase from a year ago, the ministry said the actual figure for the fiscal year is expected to go much higher as it prices in yet unspecified costs for scores of programs
 
Ninachompendea Ukraine anapiga sehemu muhimu tu. Yaani ni kambi. Magari. Meli wanajeshi. Inaonekana intlijensia ya Ukraine Iko makini sana na ni ya hali ya juu sana. Upande wa Urusi wengi humu tunaamin Ina intlijensia ya hali ya juu sana lakni kwani yeye ni kupga popote.
 
Yaan kwa akili yako rais atoe tamko la kwamba tumeshinda vita ili urusi achukue nchi yote. Una akili kama ya mende aisee. Linapokuja kwenye swala la nchi kuvamiwa huyu comedian ni MBONGE la mwanaume. Nakumbuka mwanzon alipewa offer ya kwenda marekani. Lkn mwanaume akasema nitafia nchini mwangu. Na akakataa kutoka Hadi Leo Russia anahangaika tu.

Ukraine inapigania nchi yake haijarishi watu watakufa wangap lakn atapigania nchi yake. Ardhi yake. Na watu wake.

Yaan nyie ndo wale jiran akiwa na nguvu akivamia kwako unampatia mke na watoto wako halafu unakimbia toka kwako kwa sababu aliyekuvamia ni mwenye nguvu. Mwanaume unatakiwa upambane Hadi hatua ya mwisho kupigania familia yako. Ardhi yako na haijalishi itakugarimu maisha pambania himaya yako.

Sikiliza, leta maoni yako mbadala na sio unakimbilia kutukana watu ambao huwajui vizuri.

Tell you what Amigo, you certainly need a psychiatrists check up, I suppose - na kwa bahati mbaya mko wengi wenye hulka za kujibu jibu watu kwa lugha yenye shombo.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom