Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russian MoD:
The losses of Ukrainian troops during the attempted offensive amounted to more than 1,200 soldiers Also, 48 tanks, 46 infantry fighting vehicles, 37 other armored vehicles and 8 pickups with large-caliber machine guns of the Armed Forces of Ukraine were destroyed .
 
Screenshot_20220830-211607_Chrome~2.jpg
 
Conversation ya Mjeshi wa kirusi akimpa uhalisia wa Kherson mke wake leo hii huko kimeumana hakuna kutoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220830-212250_YouTube.jpg
 
Leo mchana mashambulizo ya madaraja yameendelea tazama video

Screenshot_20220830-212834_YouTube.jpg
 
Tazama hapo chini Ukraine alichomfanyia mrusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Screenshot_20220830-214017_YouTube.jpg
 
Hiv hii lugha unaielewa kweli? Huyo mchambuzi umemsikiliza? Zibua maskio asee!!!!!
Suala la kumuelewa na kutomuelewa hapa sio issue..,hapa point ya yangu ni ""usahihi"" wa habari, haimaanishi hiyo habari itakuwa negative au positive kwangu.., kikubwa iwe habari sahihi tu,isiwe ya uongo kama article za kutunga zilizojaa humu,
 

​

Ni mwendo wa kula jeuri tu!!​

====

Russia cuts off gas supply to French energy giant​

Gazprom has announced it will halt supplies to Engie following the French company’s failure to pay for gas deliveries in July
Russia cuts off gas supply to French energy giant

Russian state energy giant Gazprom has said it has cut off gas supplies to France’s utilities company Engie. The French side has failed to pay for the gas deliveries in July in full, the Russian company added.
Earlier on Tuesday, Engie said that Gazprom informed it “of a reduction in gas deliveries” and cited “a disagreement between the parties on the application of some contracts,” according to Bloomberg. It did not provide any details about the nature of the disagreements and did not specify the level of delivery reductions.
 
Leo mmezidi, kila mmoja wenu kila baada ya lisaa mnashindana tu kujipangia idadi ya wanajeshi mliyowaua kwa siku hii moja leo! Huyu akitaja 500; yule 1000. Yule akitaja 1000 huyu 1200. Inatosha, acheni utoto bwana!!!!
 
Back
Top Bottom