kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mkuu Hawa jamaa wameamua kwa makusudi mazima kuwa wspotoshaji, Wala hawawezi kukubali ukweliYaan nawashangaa pro Russia watu wanasonga mbele na vijiji vinne vilivyokua kambi kubwa vimechukuliwa wao usiku kucha ni mashairi tuu wanfarijiana,kichapo kinaendelea,
[emoji2][emoji2][emoji2] kwa kujifariji hawajambo..,na mtaongea mengi mwaka huu, comedian anawapelekea moto tu[emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255]
Mkuu Hawa jamaa wameamua kwa makusudi mazima kuwa wspotoshaji, Wala hawawezi kukubali ukweli
Ajabu ni kwamba habari zao ni za hapahapa jamiiforum Wala huwezi kuziona Wala kuzisikia katika chombo kingine Cha habari
Aljazeera wamesharipoti kuhusu vijiji hambavyo tayari vimekombolewa na jeshi la ukraine
Lakini wao habari zao ni za hapahapa jamiiforum [emoji2][emoji2]
Nyie ndo hamjielewi yahani mmekaa kama mazombi vile ..,jeshi la super pawer wa mchongo linapukutishwa.., vijiji vinakombolewa..,nyie mmekalia ngonjera [emoji848]Moto unapelekwa upande gani kaka au ujielewi.wenzako wapo kwenye majonzi weww unaongea sijui upuuzi gani.
Nikizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leta video wakiwa kwenye ivyo vijiji .ukileta utoniona tena humu jamii forrum. Kwa nini hamtaki kukubali kuwa counter offensive imeferi.mnaongea tu nyie ila wenzenu uko wapo kimya .ona iyo video VIKOSI vya UKRAINE vilivyowekwa mtu kati
Mkuu Hawa jamaa wameamua kwa makusudi mazima kuwa wspotoshaji, Wala hawawezi kukubali ukweli
Ajabu ni kwamba habari zao ni za hapahapa jamiiforum Wala huwezi kuziona Wala kuzisikia katika chombo kingine Cha habari
Aljazeera wamesharipoti kuhusu vijiji hambavyo tayari vimekombolewa na jeshi la ukraine
Lakini wao habari zao ni za hapahapa jamiiforum [emoji2][emoji2]
Nyie ndo hamjielewi yahani mmekaa kama mazombi vile ..,jeshi la super pawer wa mchongo linapukutishwa.., vijiji vinakombolewa..,nyie mmekalia ngonjera [emoji848]
Niko kijijini kazulamimba huku,hizo ambulance hata huku zinapita,Izo ni ambulance kwenye mkoa wa Odessa.zinapeleka watu hospital.je! Unajua watu hao waliokuwa humo wamekubwa na nini?
Si waliwachezea kwa kuanzisha counteroffensive feki jamaa wakawafanyia kweli kwa kuwapa kipigo kikali Sana. Ni sawa mtoto akilia wembe mpe umkateWhat do you mean by this👉"Warusi sio wa kispoti kabisa."
Sina maneno mengi katika hili, angalia coment number 65131Niambie ni kijiji gani icho kilichokombolewa?.
Kipigo kikali wakati vijiji vinazidi kukombolewa[emoji2]Si waliwachezea kwa kuanzisha counteroffensive feki jamaa wakawafanyia kweli kwa kuwapa kipigo kikali Sana. Ni sawa mtoto akilia wembe mpe umkate
Source; Russia ministry of defense[emoji778]️روسیه: ۱۲۰۰ نظامی اوکراینی در یک روز کشته شدند
[emoji617]وزارت دفاع روسیه گفته در نتیجه شکست حمله نیروهای اوکراینی که به دستور شخص زلنسکی در جبهه «نیکولایف-کریوویروگ» انجام شد، ۱۲۰۰ نفر از آنها کشته شدند و ۸۴ تانک و ۳۷ خودرو زرهی نیز منهدم شد.
[emoji778]️Russia: 1,200 Ukrainian soldiers were killed in one day
[emoji617] The Ministry of Defense of Russia said that as a result of the failure of the attack of the Ukrainian forces, which was carried out by the order of Zelensky, 1,200 of them were killed and 84 tanks and 37 armored vehicles were destroyed.
[emoji723]بروکر جهانی ZTE-Forex
Huyu jamaa huu mgogoro unampa msongo wa mawazo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].Kipigo kikali wakati vijiji vinazidi kukombolewa[emoji2]
Nyie jamaa mmejua kujifariji aisee,
Kweli aiseeHuyu jamaa huu mgogoro unampa msongo wa mawazo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Nachoelewa Ni kwamba hii Vita ina "Red-line".
Kama ambavyo ilivyokuwa kwa Ukraine kuanzisha zile Bioweapons Labs na kutaka kujiunga NATO na pia kuimarisha kwa wale Azovsteal NAZI... ile ilikuwa Ni Red line na Russia akavamia akaipiga Ukraine.
Kwa hiyo, hata huu mchezo wanaofanya NATO wa ku supply weapons na contractors... Hii nayo ina Red-line. Ilifika hiyo Red-line, Russia atatandika "Tactical Nukes" za kutosha.
Baada ya hapo Vita itaisha rasmi na hakuna cha kumfanya.
Mnavyojifariji utafikiri hizo nyukria anazo Russia peke yake..,Tena anasubiriwa afike kwenye hiyo point Ili wapate nafasi ya kumchakaza vizuri,UUn
Unacho kisema ni kweli kabisa, kinacho sikitisha Die hard NATO supporters wanafikiri Putin ordered special operation ndani ya Ukraine kwa uonezi tu,bila ya kuwa na sababu za msingi sijui kwa nini mnapendelea sana kupotosha conflicts between Russia and Ukraine na mara nyingi mnaimlahumu sana/Putin Wakati mkijua wazi waliochochea mgogoro/vita hii ni NATO and specifically the USA.
Basi utakuwa mgeni humu jukwaani, HIMARS zinazidi kumhenyesha super pawer wa mchongo [emoji12]HIMAGAYS sizikii sikuhizi au ndo zimeshazikwa??
Nasikia ZELENSK kachukua vikosi vya ODESSA kaenda kuvipeleka MYKOLAYIV ili kufidia wanajeshi waliopotea