D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Hiv hii lugha unaielewa kweli? Huyo mchambuzi umemsikiliza? Zibua maskio asee!!!!!Hizi ndio habari Sasa,sio mtu anatunga article yoyote kutoka kwenye alimashauli ya kichwa chake na kutupia humu,
Soma vizuri uzi mkuu.Nyamizi na Tsh hawajawahi kuwa pro russia.
Nimesoma tena, nimeelewa.Soma vizuri uzi mkuu.
Nimesema walikuwa wana challenge.
Nasikia pia Urusi imeteka Himars zote 100 zilizobakiSasa hivi waliouwawa wamefikia 20000 mpaka mda huu ,Russia wanaitafuta kyv ,nasikia zelesky kakimbilia poland
Wanamuita comedian lakini anaendeleaa kuwapelekea moto [emoji91][emoji91]
Suala la kumuelewa na kutomuelewa hapa sio issue..,hapa point ya yangu ni ""usahihi"" wa habari, haimaanishi hiyo habari itakuwa negative au positive kwangu.., kikubwa iwe habari sahihi tu,isiwe ya uongo kama article za kutunga zilizojaa humu,Hiv hii lugha unaielewa kweli? Huyo mchambuzi umemsikiliza? Zibua maskio asee!!!!!
Ile statement ya hakuna kutoka hata nzi itawarudia wao Sasa
Jamaa wamebananishwa haswa,Conversation ya Mjeshi wa kirusi akimpa uhalisia wa Kherson mke wake leo hii huko kimeumana hakuna kutoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2340308
Dikiteta alifikiri uvamizi ni lelemamaMlete mzungu naona wanaleta marehemu wengine walipo wanaishia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2340259
Zelensk akikusikia unawapasifa Askari wake wakati wanapasuliwa kila siku na Russia anaweza kukuuaKama asikari wa super pawer la kibisa wanavyouwawa kama kumbikumbi[emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91]