Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Z[emoji682]#Putin :"I never asked for anything that wasn't mine. When I watched Russia fall, I promised myself before God that I would save it.
It turns out that I have to save the whole world;
bcZ the demons that have taken over the West have destroyed everything spiritual on this planet
"I know that I will succeed because I have the support of the Lord... I don't need anything else
@T14 ArmataWazee wa counter offensive,
Vipi Imekuaje aisee, ile opereshen yetu jana imeshndikana kuwafurusha warusi?
Naona wanalamika hapa Russia keshaanza kufungua shule na kaanzisha mitaala yake uko kherson Tangu Jana[emoji4][emoji116]View attachment 2342696
Kwasababu ndio uloiongelea hapo MKUU namie nikataka kujua kuhusiana na hio tuuuInaendelea vyema kabisa. Tangu February 24 mko mnapigana mbona huulizi mnamaliza lini unakuja uliza counter offensive ambayo haina hata wiki
Mmmmmh okay!Nkuba25
Galip Vrl
Qibsyl
Tsh
T14 Armata
Sikirimimimasikini
@ nawengineo
Hili suala la la mataifa kadhaa haswa haswa g7 kutaka kuyaweka mafuta ya RUSSIA kwenye price cap ndio ku nini huku maana yake
Na hilo suala kimsingi lina athari ama litaathirije uchumi wa RUSSIA
Hata kama sijakutag ukiwa unajua msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh aisee, asante sana mkuuHuu mtambo wa Nuclear Ni mkubwa Sana na unategemewa ku supply Kama 50% ya energy needs ya Ukraine + Other EU countries.
Mitambo yote au nuclear programs zote zipo controlled and inspected na hiyo International Atomic Agency.
Huu mtambo kwa Sasa hupo controlled na Russians. Kuna Russians Solders + Russians Nucleus experts, lakini bado unaendeshwa na staff from Ukraine.
Umekuwa unashambuliwa Sana na Ukraine na kinachoogopwa Ni hizo Nuclear liquids kuvuja kwenye open air na zingine kuingia kwenye mto unaoleta maji kwenye black sea.
Russians kuendelea kuushikilia huu mtambo unawapa leverage ya negotiations especially kwenye kipindi cha winter. Kama unakumbuka huyu Zelensky alishasema, hii Vita inabidi wapigane na waishinde before winter.
Urusi ana uhakika wa USHINDI na kutwaa maeneo na Upande mmoja ataachwa mtawala anaeunga mkono Russia. Ni hasara kulipua . Pia mrusi kaacha wa Ukraine waendeshe mtambo km kinga jamaa wa ZELE asiulipue. Ukraine ana long range alizopewa km ukizima mtambo wataulipua .Wanasema chanzo cha umeme unaotumika kiev kimeshachukuliwa kitaaaaambo na urusi.
Lkn cha kushangaza mrusi amewaacha wafanyakaz ambao waliajiriwa na kampun ya Ukraine waendelee na majukumu yao huku usambazaj wa umeme ukiendelea km kawa mpaka kiev ktk ikulu ya Zelenscky.
Lkn tukirejelea matukio ya us wakat anavamia iraq miongon mwa maeneo ya mwanzo kushambulia ni vyanzo vya umeme,maji,viwanja vya ndege lkn kwa Urus imekua tofaut ingawaje uwezo wa kushambulia maeneo hayo anayo.
Sasa najiuliza Urusi anampango gani ambao mim hapa mchambuzi noma toka ilala mchikichin nashindwa kuung'amua au hatak kulimaliza ili zoez mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajamalizia supplier mkubwa wa reactor ni RussiaWachambuzi wa "Europe Energy Crisis" wanachambua muda huu Al Jazeera News.
Wanasema kwamba:
Hata Sasa hivi nchi za Ulaya ziwashe mitambo yao ya Nuclear Plants kwa ajili ya kuzalisha umeme, hawataweza kuwahi kipindi cha winter. Kwa sababu hizo Nuclear Reactors zinachukua muda kufikia level ya kuzalisha huo umeme. "It takes months"
Pia, Kuna ishu ya safety. Hizi reactors nyingi zimeshaliwa na kutu kwa hiyo wanatakiwa wawe makini ili isije ikatokea ishu Kama ya Fukushima.
"Winter is coming"
Ahsante sana sana sana MKUUMmmmmh okay!
Tuanze na maana ya neno Price Cap.
Price Cap ni mfumo wa uendeshaji wa kuweka ukomo wa bei ambayo mtoa huduma ataruhusiwa kutoza wateja wake. Price cap inaweza wekwa kwa maxima na minima. Au kwa kimoja wapo kati ya ukomo wa juu (maxima) au ukomo wa chini (minima).
Mfano leo hii tuweke Price Cap ya Sukari ni Tsh 2,000/- (Maxima). Maana ake supplier na wazalishaji wa sukari hawaruhusiwi kuiuza zaidi ya hiyo bei. Wataruhusiwa kuiuza kwa 2,000/- na below.
Price Cap kwa kiswazi hapa tunaweza kuiita ni bei elekezi. Ina hasara zake na faida yake kwa mtoa huduma na wapewa huduma husika.
Upande wa mtoa huduma, anaweza kupata hasara endapo bei elekezi (Price cap) ikiwa below operational Cost. Hapa na maana hivi, watumia 1,000 kuzalisha product X then ukute Price cap maxima ikiwa 800.
Vile vile kutokua na Price Cap kunaweza kukaleta tabu pia kwa mtumiaji wa mwisho kwani atauziwa bidhaa kwa taste ya mwenye bidhaa. Hapa nyanya ya 200 inaweza kuuzwa ef 5 teh.
Turudi sasa upande wa Urusi.
Mataifa ya magharibi yanaona kua Urusi inanufaika sana na mauzo ya Gas hasa kipindi hiki ambacho bei yake ipo juu sana. Profit margin ya mauzo ipo juu sana, hivo wanataka kuweka price cap yani ukomo wa bei ili ku-limit faida anayoipata Urusi kwenye mauzo hayo.
Na kuhusu Urusi ataathirika vipi na hiyo Price cap yategemea itawekwa kwenye kiwango kipi.
Endapo ikiwa above operational Cost means faida katika mauzo itakuepo na endapo ikiwa below operational costs basi maana ake itakuwa ni hasara na ni kitu ambacho Russia hawezi kufanya ujinga huo.
Katika jicho la Geopolitics ukichanganya na Knowledges y uchumi, hii move wanayotaka fanya nayo ni kama suicidal mission ya Kherson kwa Ukraine. Its like wanataka force wafungiwe "koki" ambayo wao wameshindwa kukubaliana kuifungwa enzi zile kwenye mikutano yao ya kuweka vikwazo.
West Politicians bado wanaishi kwenye Illusions wakihisi Urusi anawahitaji zaidi kuliko wao wanavyomhitaji mrusi. Bado wanaota ndoto nyevu wakiamini wao ndio soko pekee la Oil and Gas ya Russia.
Anyway nisitoke nje ya maswali uliyouliza kwa kuelezea yasiyo hitajika. Nadhani nimejibu maswali yako kama hujaridhika tujuzane tuongeze nyama.
Shukrani kwa elimu.Mmmmmh okay!

Inna lillah waina ilayhi raajiuuun[emoji22][emoji22][emoji22]Huyo member niliekutag amekufa
Sema na unakera kwelii [emoji16][emoji16][emoji16]Lengo langu ni kuwakera kama ulivyokereka wewe hapo[emoji2][emoji2][emoji2]
Wale kweli ni watoto si unaona pako shwari subiri waamke,,,,,wanunulieni kalamu shule jumatatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema na unakera kwelii [emoji16][emoji16][emoji16]
Nkuba25