Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya mapipa aliyowapora Syria S300 sasa hivi anayatumia kwa mashambulizi maana kwenye defense system ni zero kabisa.Na kwenye mashambulizi ni Less Accurate [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Break Neews!!! Ile pantoon(ferry) jana tulikuwa tunaicheki kwenye satellite ikivusha vifaa vya kijeshi leo muda si mrefu imeshambuliwa na the biggest HIMARS ni majivu tu hakuna kuvusha kitu.Tazameni video hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Nimefwatilia sana huu uzi lakini watu wanafanya vita kama ushabiki wa mpira ,ukweli hata uwe na nguvu vipi ukiingia kwenye vita lazima upoteze askari na vifaa uwezi kwepa hilo lakini mshindi wa vita niyule atakae shinda battle nyingi maana in war kuna many battle akuna anae weza kupiga tu bila kupigwa ata uwe super power vipi maana mabomu au risasi aichagui uyu ni super power wote ni binadamu na anae waiwa atauliwa tu.
Swala lavita ni zaidi ya vifaa na wingi wa watu kuna vitu vingi vya kuangalia kama morale ya piganaji ,mafunzo etc kwaiyo vita sio one side yani wewe kwa sababu ni super power uwe unapiga tu mwisho wa hii vita atakae shinda battle nyingi ndio ata shinda vita,

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 



Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji2935][emoji2935][emoji2935][emoji2935]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…