Mimi huwa nashangaa kabisa na inafikia sehemu wanatukana kisa hawafurahishwi na yanayoletwa ni pro Ukraine.Wewe Mathanzua acha upuuzi wa kukataza watu wapost habari kama huzipendi kausha.
Mkuu vunjo leta habari as long as zina source kuna mihabari mingi humu ya kina mohamedidrisa789 hazina hata source au source ni account za twitter na hawasemi chochote kwakuwa zinaegemea upande wao.
Humu kila mtu alete habari kama unaona ni fake au unaumia potezea tu huyo mathanzua kuna kipindi waligombana humu na pro russia wenzie kwa kuchanganya battle field na mambo ya imani yake ni mpuuzi wa kupuuza.
Hoja zao ni kuita watu mashoga lakini milangoni mwao wamejaa kibao.GAY ndio anawapelekea moto hamuna cha kupost sasa hivi maana Kherson ni hatari mnakufa kama kumbikumbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kherson ya moto
Kuna wanajeshi zaidi ya 20,000 wa Kirusi hawana njia ya kutokea
Umekuja kujitetea kwa pro Russia wenzio wasije kukuona msaliti...,ukiona italeta shida kaifute coment mkuu [emoji2][emoji2]Niseme tu Pro Ukraine WANAJUA sana kureport mambo ya kusadikika. Facebook .Twitter ,Inster. Naona mengi nimebandika moja kweli wamekuja mbio kunipongeza eti saa mbovu inasema kweli . Source ya hiyo habari sio reliable hata kwa 0.00000000001
Umeshaanza kuwa na Akili hongera sanaKwamba ana silahay nyingi, hivyo haoni shida kuzitumia zoote.
Kumbuka yeye lengo lake siku zote ni kujilinda dhidi ya nato, hivyo aliandaa dumb bombs zakutosha ili kuharibu miundombinu
Keep dreaming!Hivi hamjui Russia alipigana world war 2 Kwa miaka 6 na Wanazi pamoja na washirika wao mpaka kuishinda?Kwa hulka aliyonayo urusi,kama angekuwa na makombora ya masafa marefu, tungeshuudia msululu wa mashambulizi huko Kiev,, lakini kwa Hali ilivyo,jamaa kabaki empty,
Wale warusi 2000 mliosemwa wamewekwa mtu kati,wako wapi?Ile operation ya kukata supply ya silaha kwa kulipua madaraja matokeo yake ndiyo hayo. Hii habari sijaona lakini obviousy kama huna supply lazima uwekwe mtu kati.
Russia asingekubali wajeda wake kuuliwa kama kumbikumbi huko kheson, wakati ana makombora ya kutosha ya masafa marefu..,angelipua Chochote huko kheson Ili mradi tu aonekane anashambulia [emoji12]Keep dreaming!Hivi hamjui Russia alipigana world war 2 Kwa miaka 6 na Wanazi pamoja na washirika wao mpaka kuishinda?
Eti kaishiwa silaha[emoji2][emoji2][emoji2]
Pro Russia wakiona mambo Kama haya wanapoza maumivu kwa kusema video game [emoji2][emoji2][emoji2]Tazama hii video wanajeshi kibao wamechukuliwa mateka wame sarenda hii operation ni hatari sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo Russia kaishiwa Silaha?Kwahiyo tutegemee anakimbia anakimbia Ukraine lini?Russia asingekubali wajeda wake kuuliwa kama kumbikumbi huko kheson, wakati ana makombora ya kutosha ya masafa marefu..,angelipua Chochote huko kheson Ili mradi tu aonekane anashambulia [emoji12]
Muda ndio mwamuzi,Kwahiyo Russia kaishiwa Silaha?Kwahiyo tutegemee anakimbia anakimbia Ukraine lini?
Utakuwa sio mzima au hujui kusoma vizuri. Fanya homework yakoWale warusi 2000 mliosemwa wamewekwa mtu kati,wako wapi?
Kila kitu kinachoribu kuvuka kwenye huo mto,kinakwenda na HIMARSVideo nyungine ya pantoon la kuvusha silaha na magari linefeuzwa majivu leo huko Kherson [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa ukisikia video ya mchongo ndio kama hiyo,Kuna kakipande kanaonesha kifaru kinalipuka!Pro Russia wakiona mambo Kama haya wanapoza maumivu kwa kusema video game [emoji2][emoji2][emoji2]
Ukiweka mahaba pembeni,utajua kuwa Ukraine hawezi kutoboa na malengo ya Urusi lazima yatafikiwa!Muda ndio mwamuzi,
Ni kawaida yenu kusema hivyo ndio maana nikawakumbusha mlisema mmewazingira warusi 2000 na habari ikaja kuisha kimya kimya!Sasa mnasema 20,000,ngoja tusubiri!Utakuwa sio mzima au hujui kusoma vizuri. Fanya homework yako