kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Nakushauri usifungue hizi video mkuu,tuachie tu pro Ukraine tumwagilie moyo na video zetuHahahaaa ukisikia video ya mchongo ndio kama hiyo,Kuna kakipande kanaonesha kifaru kinalipuka!
Ukiipata video kamili hicho ni kifaru maalumu Kwa ajili kutegua mabomu!Kina kirefu Kwa mbele ambapo mlipuko hutokea na haukiathiri!
Ndio maana tunasema hizi video zenu za michongo ni biashara Kwa wenye channel zao!Na wamewakamata kweli kweli Pro NATO!Kuanzia Sasa video uchwara kama hizo sifungui!
Malengo ya urusi ilikuwa ni operesheni maalum ya kuondoa utawala wa wanazimamboleo ndani ya saa 72 mkuu..,kwa hiyo mpaka hapa urusi amashachemka vibaya sana,Ukiweka mahaba pembeni,utajua kuwa Ukraine hawezi kutoboa na malengo ya Urusi lazima yatafikiwa!
Oky mkuu lakini mimi nilirepy kwamba hiyo habari sijaiona na kama itakuwepo sitashangaa kutokana na mazingira ukraine walivyoanza. Nimeshangaa ukaniuliza hiyo habari.Ni kawaida yenu kusema hivyo ndio maana nikawakumbusha mlisema mmewazingira warusi 2000 na habari ikaja kuisha kimya kimya!Sasa mnasema 20,000,ngoja tusubiri!
Ngoja wazee wa video game waje [emoji848][emoji848]Tazameni hii video Himars ilichofanya magari na silaha za Russia ni mascraper tu Kherson anaumia mtu huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikwambia niwekee tamko la Russia kuwa alisema hivyo,huwezi kufanya hivyo!Source ya hiyo habari tumeshahoji Toka wiki ya kwanza ya uvamizi na hakuna aliyewahi kuletq hiyo source au walau kumtaja aliyetoa hiyo kauli au mamlaka iliyotoa hiyo kauli!Kurudia Hilo Leo ni kupotezeana muda!Na siko tayari Kwa hiloMalengo ya urusi ilikuwa ni operesheni maalum ya kuondoa utawala wa wanazimamboleo ndani ya saa 72 mkuu..,kwa hiyo mpaka hapa urusi amashachemka vibaya sana,
Nimeshafungua sana,asilimia kubwa ni edited au composed,zinawekewa uhalisia kidogo wa mazingira ya vita basi watu wanajipigia Hela!Nakushauri usifungue hizi video mkuu,tuachie tu pro Ukraine tumwagilie moyo na video zetu
Nakujua una presha ya kupanda na kushuka,,ukizifungua hizi video huenda tukakupoteza humu jukwaani.. maana watu wenye presha hawaaminiki hasa wakipata habari za kuwashtua na kuwatia simanzi
Lete hiyo video kamili hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaaa ukisikia video ya mchongo ndio kama hiyo,Kuna kakipande kanaonesha kifaru kinalipuka!
Ukiipata video kamili hicho ni kifaru maalumu Kwa ajili kutegua mabomu!Kina kirefu Kwa mbele ambapo mlipuko hutokea na haukiathiri!
Ndio maana tunasema hizi video zenu za michongo ni biashara Kwa wenye channel zao!Na wamewakamata kweli kweli Pro NATO!Kuanzia Sasa video uchwara kama hizo sifungui!
Pro Russia Wenzio washakinbia umebaki mwenyewe humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3059][emoji3059][emoji3059]Ukiweka mahaba pembeni,utajua kuwa Ukraine hawezi kutoboa na malengo ya Urusi lazima yatafikiwa!
Subiri maiti zao baada ya mudaVijiji vinarudi sasa taratibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2345673
Sina muda kurudi,ila imo kwenye Uzi huu Tena post ya video imewekwa Leo!So Rudi tu nyuma,angalia video ambayo haijapostiwa na wewe!Lete hiyo video kamili hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo mmekuja kujaza video zenu za michongo halafu mnakuwa mnaziquote muda wote kiasi kwamba hata mjadala umepotea na kubaki vijembe na maneno ya kanga!Watu makini wakaamua wawe watazamaji tu!Na Mimi naelekea huko!Pro Russia Wenzio washakinbia umebaki mwenyewe humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Mijadala ya vijembe mlianzisha nyie kuleta ma articles ya kubumba humu mkimsifia mrusi sasa hivi tunaleta ukweli video live kinachotokea frontline mnalialiaTatizo mmekuja kujaza video zenu za michongo halafu mnakuwa mnaziquote muda wote kiasi kwamba hata mjadala umepotea na kubaki vijembe na maneno ya kanga!Watu makini wakaamua wawe watazamaji tu!Na Mimi naelekea huko!
Ulitaka kujua ni biashara,video inarudiwa zaidi ya mara 5!Tazameni hii video Himars ilichofanya magari na silaha za Russia ni mascraper tu Kherson anaumia mtu huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukijisalimisha wewe ni Mfungwa wa Kivita au POWs... Hutakiwi uawaWakuu naomba mwenye Jibu ,inapotokea wanajeshi wa upande flani wakajisalimisha, nini hufuata, hurudi kikosin kwake, au hjiunga na jeshi pinzani lililomzidi nguvu
Hata mwanajeshi tu akiwa anatembea mnatuletea video!Kuna thread kule Jamii photo,Kuna jamaa anaweka video huko za maendeleo ya Ukraine!Mnaweza kufanya hivyo na hili jukwaa mkaacha tukajadili kinachoendelea na mambo mengine!Mmeshift kabisa hoja za msingi na badala yake watu timamu wamewaachia mnaoweza kurushiana maneno ya kanga muendelee!Mijadala ya vijembe mlianzisha nyie kuleta ma articles ya kubumba humu mkimsifia mrusi sasa hivi tunaleta ukweli video live kinachotokea frontline mnalialia
Report ya siku tunasubiriHata mwanajeshi tu akiwa anatembea mnatuletea video!Kuna thread kule Jamii photo,Kuna jamaa anaweka video huko za maendeleo ya Ukraine!Mnaweza kufanya hivyo na hili jukwaa mkaacha tukajadili kinachoendelea na mambo mengine!Mmeshift kabisa hoja za msingi na badala yake watu timamu wamewaachia mnaoweza kurushiana maneno ya kanga muendelee!
Kuna kipindi ulikuwa ukiingia humu unapata elimu,maana unakuta watu wenye ufahamu na mambo mbalimbali wanatoa ujuzi wao!Sasa hivi hata mtu hana hamu ya kufungua kujua updates,maana anajia atakutana na video asilimia kubwa haziko legit lakini pia na vijembe!