Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Britain Collapsing Under Energy Costs; 6 in 10 Factories May Be Forced To Close​

WORLD NEWSDESK 04 SEPTEMBER 2022 HITS: 5098

Soaring energy bills are threatening to put six in 10 British manufacturers out of business, according to a survey that lays bare the extent of the crisis facing the next British prime minister.
MakeUK, the lobby group for UK factories, said that nearly half of manufacturers have experienced a jump in electricity bills of more than 100% in the past year.
“The current crisis is leaving businesses facing a stark choice,” the report said. “Cut production or shut up shop altogether if help does not come soon.”
The UK’s new prime minister will be announced on Monday, with Liz Truss expected to beat Rishi Sunak, her rival in the Conservative Party leadership race. The government is under intense pressure to announce a wider package of support to help consumers and businesses cope with an unprecedented surge in global energy costs.
Britain’s factory sector is already in decline, according to a purchasing managers’ index published by S&P Global this week. MakeUK’s survey said that 13% of factories now have reduced hours of operation or are avoiding peak periods, while 7% are halting production for longer stretches.
“Emergency action is needed by the new government,” said Stephen Phipson, MakeUK’s chief executive officer. “We are already lagging behind our global competitors.”
 
Pigeni kelele na articles zenu za telegram soon tunatanga Kherson kurudi mikononi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 2340984

Mkuu kumbuka kwamba Russia ilipata taarifa mapema sana kuhusu mpango wa Zelensky kutaka kukomboa mji wa Kherson na vijiji, wakawafatilia kwa satellite wakawawekea mtego wa kujifanya wameondoka kwenye baadhi ya vijiji - Zelensky na jeshi lake wakanasa kwenye mtego kwa kupeleka wanajeshi wengi,vifaru walivyo pewa na Poland, magari ya deraya - mwanzo nilishangaa sana baada ya kuona wanajeshi wa Ukraine,Vifaru na zana nyingine zikipuyanga kupitia kwenye mashamba ya ngano kwa kasi bila ya kupata upinzani wowote kutoka jeshi la Urusi, mimi nikaona hapa kuna kitu si bure, Zelensky na jeshi lake wala hawakulishtukia hilo, baadae Urusi ikiwa inapiga kifaru kimoja au viwili lakini inaliacha daraja ili wavuke na kuingia kwenye mtego kichwa kichwa - Warusi walipo hakikisha idadi kubwa ya wanajeshi na zana zao zimeingia kwenye mtego ndipo jeshi la Urusi lilipo washushia kipigo cja nguvu wanajeshi wa Zelensky pamoja na mamuluki kutoka Ulaya na Merikani - helicopter gunships pamoja na fighter bombers na long range Howitzers, MRLS vyote vikaingia kazini - reliable sources zinasema wanajeshi wa Zelensky walikufa kama kumbikumbi majeruhi ndio husiseme, hospitali za mji wa Odessa zimejaa majeruhi kibao,media za magharibi hilo hawalisemi masaa yote kuhadaa Dunia kwamba Ukrainian Counter offisive has paid off eventually -uongo mtupu - mimi nashangaa kwa nini jeshi la Ukraine linaendelea kumsikiliza Commander in Chief wao anaye endelea kuwatoa sadaka wanajeshi vijana kwenye vita ya kijinga ambayo anajua vizuri tu kwamba hana uwezo wa kushinda jeshi la Urusi hata apewe misaada ya kijeshi lukuki kitoka mataifa ya magharibi - hasipo kubali kukaa meza moja na Putin wakamaliza tofauti zao kistaarabu/kidiplomasia bila ya kuingiliwa na Merikani akipuuzia ushauri huo Taifa lake litachakazwa na wanajeshi wake kuuwawa ikiwemo raia wasio na hatia - kwa bahati mbaya Zelensky hilo halioni yupo yupo tu anamsikiliza Waziri Mkuu wa Uingereza, kamtembelea juzi juzi hapa na kumshasuri afanye counter offensive operation ya kukomboa majimbo ya kusini mashariki mwa Ukraine hasa hasa Kherson, sasa nini alicho vuna kutoka kwa ushauri mbovu wa Boris Johnson - jeshi la Ukraine limepigika vilivyo licha ya kusaidiwa kwa kiasi kikubwa na mamluki wa magharibi. Inasikitisha sana.
 
Urusi anatuma calvary kherson...
Kherson will be deadly
Nimeangaika huko google kutafta maana hili neno"" calvary "" wameishiwa kuniletea masuala ya Imani ya dini ya kikristo

Ivyo naomba ufafanuzi wako mkuu,maana comments zako zinakuwa na ukakasi, hazina nyama ya kutosha,
 
Ukweli wa maelezo haya umefunikwa na mahaba mazito uliyonayo kwa taifa la urusi,
Kwa hiyo viji vyote vilivyokombolewa na Ukraine huko kheson, Russia wamejiondoa kimtego tu Ili kuwapumbaza jeshi la Ukraine [emoji848]

Nitakuwa wa mwisho kuamini haya unayoyaandika,
 
Kweli kenge hasikii mpaka damu zimtoke,Ina maana jamaa hawaoni hatari iliyopo wakivusha silaha kwa pantoon [emoji848][emoji848]
 

Source Ukraine newpaper - mtu unategemea nini kutoka kwa jamaa hawa ambao wamekwisha changanyikiwa sana - bado wanaendeleza usanii wao wakutuletea video war games CGI generated na kujidia ndio mapambano yanayo endelea kwenye frontline - usanii mwanzo mwisho, yaani baadhi ya members hawachukulii seriously maoni ya Generali wa Ujerumani ambaye highly aliwahi kutuzwa kwa medali lukuki kutoka na kazi zake zilizo tukuka. Ngoja mwezi huu upite ili tupewe mrejesho wa uhakika/kuaminika kuhusu operation za hokoa Kherson na operation kamata kinu cha Nuclear cha kuzalisha UMEME wamejaribu mara mbili - sijui harakati zao zimewafikisha wapi hadi sasa - wanasikitisha sana.
 
Jamaa Bukyanagandi unarudia comment moja mara mbili mbili.

Kulingana na maoni ya baadhi ya wachumbuzi wanasema Ukraine alitangaza makusudi ili kuvuta majeshi ya urusi na vifaa zaidi hapo kherson kitu ambacho alifanikiwa urusi walijaa wengi sana kisha nyuma yao ukraine akadili na madaraja ya kukata supply ndicho kilichotokea na sasa jesho la urusi wanapata ugumu wa reinforcements.

Na sio kwamba eti urusi waliondoka wenyewe ni uongo kwani hawa wanaotekwa sashv mbona hawakuondoka? Walikuwa sio party ya strategy unayosema?
 
Unasema urusi alipata habari za kijasusi kwamba Ukraine inajiandaa kufanya counteroffensive huko kheson,na ikawawekea mtego Ili wajae

Ajabu ni kwamba habari kuhusu hii counteroffer zilikuwepo kitambo hata hapa jamiiforum..,Kuna jamaa mmoja alileta Uzi ulikuwa ukielezea ukraine inavyojiandaa kulikomboa Hilo Jimbo la kheson,

Jitaihid sana haya mahaba mliyonayo kwa urusi yasiwatoe ufahamu,
 
Mahaba Niue yanamfanya jamaa anaandika uongo hadharani..,hizo habari za kheson kukombolewa kila mmoja alikuwa nazo hapa jukwaani hata kabla ya mwezi mmoja kabla ya hii counteroffensive [emoji848]
 
Source zote huwa mnakataa si BBC,Aljazeera,CNN,Reuters zote hamtaki sasa mnataka tulete za telegram kama zenu ndio mnaona source ni independent [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vijiji vinaondoka huko endelee kupiga yowe counter offensive ni balaa strategy ni hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Mkuu ungekuwa walao umepitia jeshini kidogo ungenielewa vizuri tu. Nimewambieni kwamba kuna kundi la wataalamu wa tehama wanalipwa na Serikali za Ukraine, Uingereza na Merikani wanaeneza taarifa za uongo tu na wakati mwingine kuongeza chumvi mno kwenye baadhi ya matukio - mabingwa sana ku-digitally manipulate baadhi ya picturers/photos kutengeneza video clips za war games kama hauko makini unaweza kuamini, wanafungua channels zao kwenye UTube wakitumia alias names, lengo lao ni moja tu kushinda vita ya mitandaoni na media za magharibi kumpamba pamba Zelensky na Ukraine, wakati wakijua wazi wazi Ukraine haina uwezo wa kumtunia misuri Putin wala kushinda vita hii inayo endelea nchi za magharibi wanacho kifanya ni kujaribu ku-prolong war ili waendelee kuuza silaha na kufanyia majaribio silaha zao - hawana uchungu wa dhati kuhusu Taifa la Ukraine wala raia wake, manacho care ni uuzaji wa silaha na kujaribu kuidhoofisha Urusi kijeshi na kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…