passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Huu ni mwezi wa pili mnasemaga hivyo nyie hamna uwezo wa kurudisha sehemu yoyote.Kherson lazima itarudi tu ila kwa damu nyingi sana
Himars zimetusaidia sana
Hatukujipanga kwa hii vita ila kwa sasa uwezo wa kushambulia tunao
Hivi wewe unafikiri sawasawa Ukraine angekuwa hana uwezo wa kupigana na Russia basi hii miezi sita yote mrusi kashindwa kuitawala Ukraine yote pale Kyiv alipigwa akakimbia sasa hivi jasho linamtoka hapo miji ya mipakani mpaka anataka kuketa wafungwa means jeshi nguvu imepungua.Mkuu ungekuwa walao umepitia jeshini kidogo ungenielewa vizuri tu. Nimewambieni kwamba kuna kundi la wataalamu wa tehama wanalipwa na Serikali za Ukraine, Uingereza na Merikani wanaeneza taarifa za uongo tu na wakati mwingine kuongeza chumvi mno kwenye baadhi ya matukio - mabingwa sana ku-digitally manipulate baadhi ya picturers/photos kutengeneza video clips za war games kama hauko makini unaweza kuamini, wanafungua channels zao kwenye UTube wakitumia alias names, lengo lao ni moja tu kushinda vita ya mitandaoni na media za magharibi kumpamba pamba Zelensky na Ukraine, wakati wakijua wazi wazi Ukraine haina uwezo wa kumtunia misuri Putin wala kushinda vita hii inayo endelea nchi za magharibi wanacho kifanya ni kujaribu ku-prolong war ili waendelee kuuza silaha na kufanyia majaribio silaha zao - hawana uchungu wa dhati kuhusu Taifa la Ukraine wala raia wake, manacho care ni uuzaji wa silaha na kujaribu kuidhoofisha Urusi kijeshi na kiuchumi.
Kuna kila dalil zinazoonyesha Urusi hana mpango wa kulimaliza hili zoez mapema.Mkuu ungekuwa walao umepitia jeshini kidogo ungenielewa vizuri tu. Nimewambieni kwamba kuna kundi la wataalamu wa tehama wanalipwa na Serikali za Ukraine, Uingereza na Merikani wanaeneza taarifa za uongo tu na wakati mwingine kuongeza chumvi mno kwenye baadhi ya matukio - mabingwa sana ku-digitally manipulate baadhi ya picturers/photos kutengeneza video clips za war games kama hauko makini unaweza kuamini, wanafungua channels zao kwenye UTube wakitumia alias names, lengo lao ni moja tu kushinda vita ya mitandaoni na media za magharibi kumpamba pamba Zelensky na Ukraine, wakati wakijua wazi wazi Ukraine haina uwezo wa kumtunia misuri Putin wala kushinda vita hii inayo endelea nchi za magharibi wanacho kifanya ni kujaribu ku-prolong war ili waendelee kuuza silaha na kufanyia majaribio silaha zao - hawana uchungu wa dhati kuhusu Taifa la Ukraine wala raia wake, manacho care ni uuzaji wa silaha na kujaribu kuidhoofisha Urusi kijeshi na kiuchumi.
Huku asikari wake wakiendelea kuuwawa kama kumbikumbi...,yaani adui anayeua asikari wako. , Kuteketeza maghala ya siraha.., kuharibu miundombinu yako ya kijeshi,bado unampa access ya umeme..,hapo ndo ujue Ukraine ni mwanaume kweli.., urusi mwenyewe anamheshimu,Kuna kila dalil zinazoonyesha Urusi hana mpango wa kulimaliza hili zoez mapema.
Km angetaka kumaliza mapema ilikua lazima wafanya maamuz wasikae kwa kutulia waishi km digidigi apige bom ktk maeneo muhim yote lkn mpaka leo hii serikal ipo kyv na inapiga mzigo ktk majengo rasm ya kiserikal huku urusi akiwahakikishia umeme wa uhakika unaozalishwa ktk mtambo ambao upo chin ya urusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
"" mpaka hii vita iishe urusi atakua Hana Tena Malinda" alisikika mdau mmoja,Mateka wa Russia ni wengi mpaka sasa huko Kherson wanazidi kujisalimisha.
Mateka wa Russia ni wengi mpaka sasa huko Kherson wanazidi kujisalimisha.
Tunafanya maigizo ya kupandisha bendera huko Kherson kama tulivyodanya snake island [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nanyinyi mna amini maiigizo haya - je,mnakumbuka maigizo ya waasi wa Syria yaliyo kuwa yanaratibiwa na intel agents wa Uingereza na Merikani - walikwenda kuwakusanya watu wakajifanya wamekufa kutokana na mabom ya sumu yaliyo dondoshwa na ndege za Syria - the so called victims wanawekwa kwenye mastretcher, wanapakwa mapovu/foam kwenye midomo wana koroma kama wanakaribia kukata roho vile - kumbe ni maiigizo yenye lengo kutafuta sababu za NATO/US kuishambulia Syria kwa ndege za vita na Cruise missiles kushambulia vituo muhimu vya Serikali ya Asaad yakiwemo makambi yake ya kijeshi nia hasa ya mashambilizi hayo ni kutaka kumdhoofisha Asaad kijeshi mwishowe apinduliwe.
Usanii kama huo ulurudiwa tena kule BUCHA Ukraine, walikwenda kuwasomba watu kutoka maeneo mbali mbali wakadai kwamba waliuwawa na wanajeshi wa Urusi wakati walipo kuwa wanaondoa majeshi yao huko Kiev, uongo huo ulikuja kujulikana baada ya internation probe task force kuchunguza kwa umakini taarifa hizo na kugundua ukweli. Sisemi kwamba wanajeshi wa Urusi hawafi wa kujeruhiwa - ninacho kisema mimi wanajeshi ni kwamba jeshi la Zelensky limeshindwa miserably kukalia tena jimbo la Kherson hata majenerali wa jeshi la Ukraine wanakubali ukweli huo hisipokua social media na western MSM wanatangaza/zungumza vitu tofauti kabisa kufurahisha baraza - hivi jeshi lililo kuwa cornered kirahisi halafu wanakuja hapa na maigizo eti yakionyesha wanajeshi wa Urusi waki-surrender, hizi ni propaganda zenye lengo ku-boost morale za jeshi la Uktaine ambalo limepata hasara kubwa kutokana na kujitia kutaka kukomboa Kherson wakati maandalizi na utekelezaji wa operation nzima ulikuwa ni dismal kabisa ndio maana walipigika kirahisi - media za magharibi zinapotosha wasomaji sijui hilo linamsadia kivipi Zelensky -yupo yupo tu watching the beginning of the end ya yeye mwenyewe na Serikali yake - siku hiyo inakuja fasta than you think.
Ukren wamekomboa miji mingapi mkuu?Russia warehouse with ammunition depot in Kherson were destroyed.Jana hii kipigo kinaendelea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafaa kuimba taarabu
Hahahaaa ukisikia video ya mchongo ndio kama hiyo,Kuna kakipande kanaonesha kifaru kinalipuka!
Ukiipata video kamili hicho ni kifaru maalumu Kwa ajili kutegua mabomu!Kina kirefu Kwa mbele ambapo mlipuko hutokea na haukiathiri!
Ndio maana tunasema hizi video zenu za michongo ni biashara Kwa wenye channel zao!Na wamewakamata kweli kweli Pro NATO!Kuanzia Sasa video uchwara kama hizo sifungui!
Huyu jamaa vunjo ,ana utoro mwingi,yaani yy Hana credible argument zaidi kutupia video amabzo hazina maana,Uzi umeanza is kuharibika
Jamaa Bukyanagandi unarudia comment moja mara mbili mbili.
Kulingana na maoni ya baadhi ya wachumbuzi wanasema Ukraine alitangaza makusudi ili kuvuta majeshi ya urusi na vifaa zaidi hapo kherson kitu ambacho alifanikiwa urusi walijaa wengi sana kisha nyuma yao ukraine akadili na madaraja ya kukata supply ndicho kilichotokea na sasa jesho la urusi wanapata ugumu wa reinforcements.
Na sio kwamba eti urusi waliondoka wenyewe ni uongo kwani hawa wanaotekwa sashv mbona hawakuondoka? Walikuwa sio party ya strategy unayosema?
Jamaa Bukyanagandi unarudia comment moja mara mbili mbili.
Kulingana na maoni ya baadhi ya wachumbuzi wanasema Ukraine alitangaza makusudi ili kuvuta majeshi ya urusi na vifaa zaidi hapo kherson kitu ambacho alifanikiwa urusi walijaa wengi sana kisha nyuma yao ukraine akadili na madaraja ya kukata supply ndicho kilichotokea na sasa jesho la urusi wanapata ugumu wa reinforcements.
Na sio kwamba eti urusi waliondoka wenyewe ni uongo kwani hawa wanaotekwa sashv mbona hawakuondoka? Walikuwa sio party ya strategy unayosema?
Kwanini msim-block?Nyie ndio mnampa airtime.Huyu jamaa vunjo ,ana utoro mwingi,yaani yy Hana credible argument zaidi kutupia video amabzo hazina maana,Uzi umeanza is kuharibika