Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mje kuchukua vichuma vyenu huku ,Iran matapeli wamewaingiza mjin mkavibeba ,vikitu vinajilipukia vyenyewe.
 
Hii ni aibu kubwa kwa taifa hambalo limejinasibu kwa miaka mingi kwamba ni super pawer,
Wahuni tuu hao mkuu ,kazi kupiga hela za wananchi huku wakijifanya wanaimarisha jeshi,Putin ndiye mtu tajiri dunian, ameiba vya kutosha.always nasemaga Russia inaangushwagwa na viongoz wake,uzalendo hawana ,wanapiga hela za mafuta na gesi,matajiri wengi wa Russia ni vibarua wa Putin wakimzingua huwa anawaflotisha
 
Yaani Israel watumie nguvu dhidi ya Urusi [emoji1787]. NATO na US wanahofia direct confrontation dhidi ya urusi alaf hapa israel ndio awe haofii wala hana haja ya kubembeleza ikibidi atumie ubabe!? Mkuu Unaichukulia Russia poa sana hadi sio poa

Ndege za Israel kuruka kwenye anga la Syria licha ya kuwa kuna air defences za urusi haimaanishi kwamba Hizo ndege ni bora sana au mifumo ya ulinzi wa anga ya urusi ni mibovu. Of course inaweza kuwa hivyo lkn pia inaweza kuwa ni makubaliano baina ya Israel na Urusi.

Logically speaking kama kweli ndegevita za Israel ni bora kiasi cha kutamba kwenye anga linalolindwa na mifumo ya urusi mbona hao hao Israel wanahangaika na kulalama mifumo hiyohiyo (mibovu) isiuzwe kwa mahasimu wao Tehran!?

Mfano Shambulio la December 28 kwenye bandari ya latakia lilikuwa umbali mchache tu kutoka base kubwa kabsa ya urusi hapo syria lkn cha ajabu sio tu kwamba s400 ilishindwa kuintercept bali hata haikuwa activated kbs. Alaf sasa wakati huo huo Israel wanafanya shambulio lao ndege ya urusi ya kijeshi ilikuwa inashuka kwenye base hiyo iliyoko mile chache tu kutoka latakia hivyo pia mifumo ya syria nayo haikuwa activated. Kumbuka Muda mchache kbl ya shambulio hilo la Israel waziri mkuu wa Israel na Putin waliwasiliana kwa njia ya simu

Bado haijakuwa wazi kbs kwa baadhi ya wachambuzi wa mambo haya kwamba ni kwa nini hasa urusi anaiacha Israel ishambulie kupitia anga syria licha ya kuwa hao ni allies wake. Zilizopo ni speculations tu ambazo hazikupi sababu yenye mashiko lkn inaaminika kuna kitu nyuma ya pazia.
 
Russia has been forced to turn to North Korea to buy millions of artillery shells and rockets from North Korea as its depleting its own reserves according NYT.

According to recently declassified U.S. intelligence, the U.S. believes Russia will buy more military equipment from NK https://t.co/ExtkUXF3gk
 
Ulaya hawawezi kureplace gesi ya urusi kwa namna yeyote ile. Wataongea tu lkn mwishowe watarudi kununua.

Geopolitics is more chess than checkers.

EUROPE ECONOMY

Europe's plans to replace Russian gas are deemed 'wildly optimistic' — and could hammer its economy

Hii ni kutoka cnbc

Kataa gesi ya urusi ukanunue ya senegal kwa bei maradufu ya ile ya urusi alafu urusi auze ya kwake china kwa bei ya kutupa. Alaf wewe na china mtumie gesi kuzalisha bidhaa alafu tukutane sokoni [emoji1787]
 
Territories of the former Ukrainian SSR controlled by Russia, as a percentage.

Donetsk region - 60.29%
Kharkov - 33.15%
Zaporozhye - 72.49%
Kherson - 94.3%
Nikolayev - 4.83%
Lete source ya ahabri yako sio unaandika kama ngonjera[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Karibu mara zote Israel inapofanya mashambulizi Syria wanakuwa wanatarget silaha na miundombinu ya Iran. Je kuna mkataba uliopo wa Urusi kuyalinda masrahi ya Iran nchini Syria?
 
Dah,thankyou for your reaction,umejaribu,ila there is more to it than what you have put across.Kabla sija highlight sababu za msingi hasa,naomba utambue kwamba tatizo hili limekumba binadamu wote,hasa wale ambao kwa kupenda wao wenyewe au kwa sababu ya mazingira yanayowa-zunguuka,wameshindwa kujua kimsingi mambo maovu yaliyopangwa kuwadhuru Wanadamu kwa makusudi,na hivyo kuweza kuya-epuka.

Naomba ikumbukwe kwamba mipango miovu ya kumdhuru mwanadamu haijaanza leo,imeanza baada tu ya kuporomoshwa mnara wa Babeli Wanadamu waliokuwa wanaujenga,eti ili wamfikie Mungu na Mungu mwenyewe.

Hata hivyo jinsi miaka ilivyozidi kuongezeka,mipango hiyo imekuwa mingi zaidi,mikali,
miovu na isiyokuwa na huruma kwa Binadamu kabisa,nia kubwa ikiwa ni kumtesa mwanadamu,kumtenganisha na Mungu wake na hatimaye kumuua!Hii inaonekana wazi kwa kuongezeka uovu;kumdhuru mwanadamu kwa mbinu mbali mbali za siri ambazo ni nyingi,ili atokane na uasili wake,na hatimaye asiwe na mawasiliano na Mungu kabisa.Mbinu hizi naweza kuziita Mind Control Methods.Chanjo zinachukua nafasi kubwa sana katika uovu huu,pamoja na medications,what is called Planned Parenthood,Air Pollution,Paints,Plastics,Simu,etc.etc.The list is long.Haya ndiyo hasa yanayo-sababisha dumbness and even Dimentia kwa watu,sio vijana tu.
Naomba niseme pia kwamba, mbinu hizo ndizo zilizoleta magonjwa yasiyotibika.

Pamoja na kuwadhuru Wanadamu kwa mbinu nilizo-taja hapo juu,naomba pia uniruhusu niseme yafuatayo.Inaonekana wazi kwamba majanga yakiwemo ya mioto mikubwa kila mahali Duniani inayoharibu mali za watu na kuleta vifo,hasa Ulaya na Marekani;mafuriko;joto kupanda duniani hasa Ulaya mwaka huu,India na Marekani na hatimaye kusababisha ukame na njaa duniani kote;ukosefu wa mvua au mvua kunyesha bila mpangilio;vimbunga na Volcanoes yameongezeka sana.Haya pia ni matukio ya makusudi yenye nia ya kumdhuru mwanadamu na hatimaye kumfisha.

Niseme pia kwamba magonjwa yanayotibika yameongezwa nguvu na Wanadamu kwa kuwafanya wadudu hao,bacteria na virusi kuwa wakali zaidi kwa kutumia technolojia(Enhanced Fusogenicity &Pathogenicity),na nia ikiwa ni moja tu, kuwadhuru Wanadamu.Hii ni mipango miovu kabisa kuwahi kuwepo katika Historia ya mwanadamu.Wanadamu badala ya kutumia Science kwa maendelea ya Wanadamu wenzao,sasa wanatumia tekinolojia kuua Wanadamu wenzao,ni uovu uliopindukia kabisa.Mbu,Bacteria na Virusi wamefanyiwa utundu huu sana!Mbu wasio na majira,Fallworms,Covid-19 na UTI vimetokana na utundu huu,na sio bahati mbaya,it is intentional.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…