Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
ni wamongolian watata balaaHii nimeona warusi wengi wanamizuzu kuliko wazungu wengine afu wengine wamemix kama wachina
Wewe kwani unaonaje?, nimewahi au sijawahi? Au kama nimewahi au sijawahi wewe itakusaidiaje?Kwani umewahi kumuona, kuishi chini ya utawala wake au kuteswa na dikteta yeyote?
Au unawasikia na kuwasoma kama mimi?
Ni watu wabad vibaya mno watu wa vita ni kama wale ma vikings wa kwenye movie za zamani hao mashekhe wa chechen wakitoka wametokaHawa chenchens zijajua wanatumia mbinu gani,
Sijasikia kauwawa hata mmoja, Hawa jamaa kwenye Vita watakua Moto wa kuotea mbali.
Kila wanakovamia, Ukraine wanakimbia na katelekeza vifaa vyao[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazungumzo ya simu yamechukua dakika 90 na Putin kamwambia Macron kwamba iwe njia ya kidipolomasia au vita ni lazima Kyiv lazima iwe chini ya Russia.Rais wa Ukraine baada ya kumtumia sana Macron amwombe Putin yaishe na jibu la Putin ni hata makubaliano yakifikiwa Operation yake ipo palepale mpaka Comedian alambe barafu au akimbilie kwa waliomweka madarakani, Comedian kwa uzuni kuu ameomba wakutane na Putin face to face wayamalize teh teh teh
Huku NATO na bwana wao US hawajathubutu kwenda front kumsaidia huyo waliyempotosha. Hapa ndio ujue nguvu ya Russia..
Sio sawa lkn, wakae kama ndugu wazungumze, hali iliyofikia Ukraine ni mbaya sana. Mji umekuwa kama Syria, ingawa Zelensikyy alizingua mwanzoni kwa kujifanya mwamba, ila wakae wayamalize.Mazungumzo ya simu yamechukua dakika 90 na Putin kamwambia Macron kwamba iwe njia ya kidipolomasia au vita ni lazima Kyiv lazima iwe chini ya Russia.
Ni hadi hapo Ukraine itakapokubali masharti ya Russia.
Mkuu, mimi nakuelewa na pia sipendi vita au kuona watu wanakufa hovyo watu waso na hatia.Sio sawa lkn, wakae kama ndugu wazungumze, hali iliyofikia Ukraine ni mbaya sana. Mji umekuwa kama Syria, ingawa Zelensikyy alizingua mwanzoni kwa kujifanya mwamba, ila wakae wayamalize.
Bwege mtozeni wewe sijui mmesoma vishule gani vya kizobaWewe kwani unaonaje?, nimewahi au sijawahi? Au kama nimewahi au sijawahi wewe itakusaidiaje?
Upo YUKRENI?Pro Ukraine mmelala,tulijua tu mtoto halali na hela analala na mavi tu. Tunamalizia kamji kale mda huu
Karibu Urusi tunalisha,tunanywesha na kuvesha. Ukraine yakiri upendo mkubwa wameupata toka kwa Urusi na wameuita ukomboziUpo YUKRENI?
Mmh! Halafu sidhani kama aina ýa shule ni sababu... Maarifa unayatafuta mwenyewe tu, hufundishwi shuleni. Kinachofanyika shuleni ni wanakufundisha kusoma na kuandika, ili ukimaliza shule usome sasa kupata maarifa.Bwege mtozeni wewe sijui mmesoma vishule gani vya kizoba
Kwenye hizo anga Russia ni habari nyingine na USA wanalijua hilo. Akiamua kweli kutumia silaha zake ni suala la siku chache tu.Hahahha imebidi nicheke tu kwakweli, nimeamini watu hawaijui historia ya russia wengi wamejulia humu ndomana mtu anacomment tu hajui chochote kuhusu russia.
Sio imebidi ucheke tuambie tangia mmeanzisha uvamizi wenu kule Ukrain jeshi lenu la anga limefanya maajabu yapi mpaka sasa maajabu ya maana na sio kubomoa bomoa majengo tu ya Raia apana jeshi lenu la anga limefabya nini cha maana kwenye hii vita yenu mpaka sasaHahahha imebidi nicheke tu kwakweli, nimeamini watu hawaijui historia ya russia wengi wamejulia humu ndomana mtu anacomment tu hajui chochote kuhusu russia.
Hapa ndipo mnapofail sana nyinyi Pro Putin,mnashindwa nini kujenga na kusimamia hoja bila kuihusisha Marekani,kila mnapobanwa mnakimbilia kuisema USA,simamieni hoja zenu,Marekani haikuwatuma mkaivamie Ukraine,ya Marekani waachie wao wapambane nayo au yaanzishieni Uzi wake,hapa tunaongelea Russia vs Ukraine.Btw vipi Kyiv imeshakuwa majivu au bado?Marekani amefanya nini kule libya, iran, cuba,etc??
Mungu asimame na raia wote wanoteseka katika vita hii.Povu ruksa,Mrusi wa SheluiAcha kujipendekeza kwa wazungu mbona ndugu zako wanauliwa kila siku Goma huko DRC hujawai kushupalia kama hawa makaburu unavyoshindwa kulala kwa kuwawaza
Na hapo ndipo kwenye mziki haswa,unawatawalaje watu walioamua kusimama na Serikli yao hadi dakika za mwisho,hatujaona hata ka kikundi ka uwongo na kweli kanakowaunga mkono Russia ndani ya Ukraine,hata TBC ya Russia yenyewe na propaganda zao zote,hawajathubutu kuleta hata ki clip cha nusu dk kikionyesha uungwaji mkono wa Russia ndani ya Ukraine.Tutakuwa hapa tunakula popcorn na kushushia na pepsi tukiwaangalia Russia wanavyohangaika na Ukraine,Propaganda😃😃.
Hili zoezi ni sawa na kununua shamba lenye mgogoro. Sawa ni lako ila Kila siku utakuwa mahakamani.
Urusi akimaliza kupiga mabomu akachukua nchi anatakiwa kuunda serikali ambayo raia wa Ukrain wataitii. Binafsi natamani amalize apewe nchi ili lile swali la what is next lifikie.