Yeah ofcourse ana gesi nyingi but kumbuka hawa watu wameungana wasiuze wala kununua kwake so haitamsaidia chochote.Putin angetaka kutawala Ukraine angetumia akili na asingeenda yeye direct angeweza kupeleka propaganda na kupenyeza propaganda ndani ya Ukraine yenyewe na sio kwenda na silaha direct hapo kajiharibiaila ujue pia na yy ana gas ambayo juz tu kasign kuipeleka beijing.na 29% ya gas ulaya anayepeleka ni yeye.so maumiv yatakua kotekote.
btw mauaji yaliyofanyika donessk 2014 na ukraine uliyaona? unajua katika vita propanganda ni tool mojawapo,tunajazwa kuona selective news nenda RT uone jins documentary jins ukrain alivofanya mauaj donesk na luhans