LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
ila ujue pia na yy ana gas ambayo juz tu kasign kuipeleka beijing.na 29% ya gas ulaya anayepeleka ni yeye.so maumiv yatakua kotekote.
btw mauaji yaliyofanyika donessk 2014 na ukraine uliyaona? unajua katika vita propanganda ni tool mojawapo,tunajazwa kuona selective news nenda RT uone jins documentary jins ukrain alivofanya mauaj donesk na luhans
Yeah ofcourse ana gesi nyingi but kumbuka hawa watu wameungana wasiuze wala kununua kwake so haitamsaidia chochote.Putin angetaka kutawala Ukraine angetumia akili na asingeenda yeye direct angeweza kupeleka propaganda na kupenyeza propaganda ndani ya Ukraine yenyewe na sio kwenda na silaha direct hapo kajiharibia
 
Kwa upande mwingine Ukraine itakuwa ndio uwanja uliotolewa sadaka ya vita kati ya Urusi na NATO maana ikumbukwe Marekani hapiganagi na adui nchini kwake hata siku moja sababu hapendi losses.Putin hii vita anatumia nguvu kuliko akili na meza yake imezungukwa na wale watu wa ndio mzee.Nao anaweza kuichukua Ukraine huku wao wapo kimya sababu now mkakati wao mkubwa ni kummaliza kiuchumi kwanza.Watu wanaona Wamarekani wajinga lkn hawa watu wanatumia akili kwanza sababu mtu akiwa na njaa nguvu ya kupigana na wewe ataitoa wapi?Pia Urusi kwa kuangalia nchi marafiki anaowategemea hajawaelewa vizuri hao watu anavibe nao lkn sio kwamba ana ushirika nao.Tangu lini China anaingia vitani na mtu?Kiduku mwenyewe hana rafiki he stands on his own na kwa maslahi yake binafsi
Ina maana wewe unajua zaidi ya Think tank ya Russia? Ila bongo kweli nyoso!
 
Kinachochelewesha kuimaliza Kyiv ni yule gaidi Comedian. Alizuia wageni hasa waafrika na waasia wasiondoke wawe kama shield ya kumkinga.

Sasa jana wamekubaliana raia wote waruhusiwe kuondoka tumalizie kiporo chetu.

Putin hataki kuua watu wasio na hatia.

#tunapigatunakulisha


Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo mji mzima wa kyiv wanaishi wageni tu hakuna wenyeji.Nyie Pro Putin tunataka jibu la kueleweka msianze kuleta visingizio tena.

#kyivmajivubadotu
 
Siyo kila sehemu mabavu yanafanya kazi,yeye anatunisha misuli,huku anapigwa na kitu kizito huku watu wanapop champagne na glass ya wine.
Vikwazo akipewa vinakuuma nini? Wewe mU.S.A wa kwa mpalange
 
Hutaki kujibu hoja umeng'ang'ania kyiv kua majivu, unataka Russia waue raia wasio na hatia? Alafu sikiliza malengo ya warusi wenyewe sio mashabiki kama wewe humu JF.
Malengo ya Russia according to president Putin ni 'special military operation' yenye lengo la ku demilitarize Ukrain Army ikiwa na lengo la kuondoa 'Neo nazism'

Urusi inahisi ujio wa vikosi vya EU na NATO pale Ukraine itakua ni 'threat' kwa usalama wa Russia, ikiwa haya yanafanyika au yatafanyika huo ndio utakua ushindi wa Russia, ikiwa itashindikana basi Russia watakua wameshindwa. Ushabiki maandazi unaondoa ladha jamani.
Unadhani ni wewe peke yako una masikio ya kusikia na macho ya kuona na kusoma? Zile blah blah zilikuwa za nini za Kyiv inageuka majivu kama mlikuwa manyajua yote haya? Mlipokuwa mnaambiwa mwanzoni mwa hii vita mlikuwa mnabwata hapa kwa majigambo mengi,leo hi mmeona ugumu wake mnaanza kutuletea hizi sababu utadhani sisi hatuzisomi kwenye propaganda media za Russia.

#kyivmajivubadotu
 
This is already World War III. Putin started it long ago & Ukraine is only the current front. He will escalate anyway, and it's even more likely if he succeeds in destroying Ukraine because you have again convinced him you won't stop him even though you could.
 
Raisi wa taifa la Ukraine leo akijibu maswali katika mkutano wake na waandishi wa habari akijibu swali la Richard Engel wa NBC NEWS aliyeuliza kuhusu mpango wake wakuzungumza na Putin. Raisi Zelensky alijibu..
"Siyo kwamba ninataka kuongea na Putin, nafikiri ninatakiwa kuongea na Putin ulimwengu unahitaji kuongea na Putin kwasababu hakuna njia/namna nyingine zaidi yakumaliza vita hii".
View attachment 2137967View attachment 2137969
Ninachompendea Zelensky anatumia akili Sana kwenye huu mpambano,anamzidi Sana Putin anayetumia nguvu kuliko technic
 
Kwenye tweets za wamarekani afu kuna yule mUkraine wa buza atakua bado upande wa US hawa watu ni mashetani kila siku freedom of expression mbona wamemkamata huyu kwasabu alikua akitoa madini sasa watu washawajua ,kila siku wanatumia/kusababisha vita ili waendelee kutajirika kwa kuuza silaha n.k, wapunguze watu duniani na kuimarisha nguvu yao,,,na hii global climate change wanayozidi kuiongelea tunaweza kupigwa na kitu kizito wacha tuone
 
Nimeangalia mazungumzo ya Rais wa Ukraine, nikiri wazi anaonekana halali, muda wote yuko na hofu kubwa san. Sasa inatosha wakae mezani, huwezi bishana na Urusi. Wafanye makubaliano maisha yaendelee.
Huwa namuonea Huruma Sana Yule Raisi tangu kuanza kwa Vita,sura take umejaa hofu,Huruma na mashaka...yaani Hadi imefanya niwe upande wake,huyu Putin angewaacha tu aisee
 
Hutaki kujibu hoja umeng'ang'ania kyiv kua majivu, unataka Russia waue raia wasio na hatia? Alafu sikiliza malengo ya warusi wenyewe sio mashabiki kama wewe humu JF.
Malengo ya Russia according to president Putin ni 'special military operation' yenye lengo la ku demilitarize Ukrain Army ikiwa na lengo la kuondoa 'Neo nazism'

Urusi inahisi ujio wa vikosi vya EU na NATO pale Ukraine itakua ni 'threat' kwa usalama wa Russia, ikiwa haya yanafanyika au yatafanyika huo ndio utakua ushindi wa Russia, ikiwa itashindikana basi Russia watakua wameshindwa. Ushabiki maandazi unaondoa ladha jamani.
Mrusi wa Kino Mosco ktk porojo zako.Mrusi uliechangamka kdg
 
Nimeangalia mazungumzo ya Rais wa Ukraine, nikiri wazi anaonekana halali, muda wote yuko na hofu kubwa san. Sasa inatosha wakae mezani, huwezi bishana na Urusi. Wafanye makubaliano maisha yaendelee.
Yaani ana mashaka Sana Yule Raisi...huyu anampiga akapambane na makambale wenzie huyu Ni kumstress tu
 
Na wewe ni zoba kabisa, huwezi ongelea vita ya Ukraine na russia bila kuitaja marekani, kaa kimya uonekane mwerevu epuka kujidhalilisha kama hujui kitu.
Hapa ndipo mnapofail sana nyinyi Pro Putin,mnashindwa nini kujenga na kusimamia hoja bila kuihusisha Marekani,kila mnapobanwa mnakimbilia kuisema USA,simamieni hoja zenu,Marekani haikuwatuma mkaivamie Ukraine,ya Marekani waachie wao wapambane nayo au yaanzishieni Uzi wake,hapa tunaongelea Russia vs Ukraine.Btw vipi Kyiv imeshakuwa majivu au bado?
 
Mkuu, mimi nakuelewa na pia sipendi vita au kuona watu wanakufa hovyo watu waso na hatia.

Mimi kama mfuatiliaji niliona hii picha tangu mwanzo na nikaeleza itakavyokuwa, kwamba madhali alisaini kutambua yale majimbo mawili, mpango ulikuwa ni kuivamia Ukraine kuitia adabu na kisha kuiweka chini ya Russia.

Putin hatumii stratejia, yeye ni mtu wa mbinu au tactics na hicho ndicho nchi za Marekani na NATO amewashinda hadi sasa kwani anawapa vitendawili yaani "guessing games".

Alipokuwa akifanya zile "military drills" na Belarus ile ilikuwa ni ishara kwamba alikuwa akiandaa vikosi kuingia Ukraine.

Lakini nchi za magharibi zinapaswa kuketi na kukaa kupanga mazungumzo na Russia.

Putin akiwa kiongozi wa moja ya mataifa makubwa duniani ameona Marekani na NATO wana mipango ya kumhujumu uongozi wake wamtoe ili iwe rahisi kuivuruga Russia.

Na tatizo kubwa ni kuitumia Ukraine kutaka iwe kichaka chao.

Zelensky anapaswa kuacha ubishi ingawa sasa anaomba mwenyewe aonenane na Putin.

Putini anataka Ukraine ya kabla ya 2014 ndo kitaeleweka.
Ila kwa haya maamuzi yake wewe kwa mtazamo wako huoni Kama keshaivuruga Russia, after war impact kiuchumi mbona Kama zinaenda kuwa mbaya Sana,au unaonaje Hapo?
 
Back
Top Bottom