bahati mbaya sana ni kwamba, putin hatakubali kusitisha haya mashambulizi hadi ahakikishe ameteketeza nchi, na ukraine haina uwezo kutengeneza nukes au kuwa na nguvu kijeshi na atasimika mtu wake pale ambaye atakuwa anatawaliwa tokea moscow. kwa putin, hii ni muhimu kwasababu hata asingeshambulia sasaivi kuna siku angekuja kushambulia tu, hata wamagaribi wasingemuwekea vikwazo sasaivi wangekuja kumuwekea tu siku moja, anajua maisha yake yote wamagaribi hawamuwazii menga russia wala hawampendi. kuna certain westerners wasomi kabisa wamekuwa braiinwashed wanaamini hakuna kizuri kinachotoka russia, ni sawa na chadema leo useme kuna kizuri kinatoka ccm, siku zote wanawawazia mabaya tu.