LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Residents of the Krasnodar Territory supported the Russian military. A column of 200 cars drove from Krasnodar to Goryachiy Klyuch.

Source: shot
WAMEGUNDUA KITU, RAISI WAO KICHWANI HAMNAZO KIDOGO
 
Tsar bomba
Tsar_Bomba_Revised_User-Croquant%20with%20modifications%20by%20User-Hex%20(Own%20work)%20CC-BY...jpg

Most powerful bomb
Hili linaitwa mama mkanye mwanao
 
Mkuu wewe darasani ulikuwa sio timu ya ubuyu na visheti!yaani unachambua mambo vizuri unaeleweka,Kuna wajinga wanachukulia hili suala Kama movie za Rambo,yaani hawaangalii impact za baada ya hii Vita itayoikumba dunia,wapo busy kuchekelea eti Putin mbabe,Wanamsifia mtu anaharibu atmosphere ya dunia kweli..Tanzania sisi na serikali yetu tunafanana akili zetu,dunia nzima imelaani hili suala sisi serikali inasema haina msimamo ,huku Wananchi wako wanampraise Putin akalie nchi ya mwenzie kimabavu,yaani hata sielewi akili zetu huwa Zina nini!
Kwani hata msiposhangilia basi unafikiri bei za vitu ndio zitashuka!!!

Acha tu walau watu wapunguze stress.
 
Madam kafanya kalculated risk lakini ingekua vizuri angeamua kuchagua upande. She is still new in international world but need to have a position. People are dying at a greater rate and for no reason. Nato has been expanding southward but the ingredients to sustain a colony is a good wallet not bombs. Putin seems to forget that. He will win the war but he will never rule Ukraine. This is not Chechnya , this are their cousins who are determined to repel the attack with their all power and will. His economy will shrink further because now he will have to feed the economy which can not purchase in international market. Chinese are bound to reap big from this war. Cheap enegry source from Russia for their spawning economy.
 
Mmarekani kashindwa kupeleka pua pale Ukraine anabweka tu but utaona vita ikiisha hizo doc series,movies na vitabu vyao kuhusu vita hii hahaha
Usidharau Marekani. Wale watu wana personel ya watu wenye akili. Kama una exposure jaribu kujipenyeza kwenye taasisi za kati za USA au nchi washirika utanielewa.
 
Zaporizhia NPP is occupied by Russian troops - Ukraine's Nuclear Regulatory Inspectorate.

The station staff is on site, controls the state of the power units.

IMG_20220304_093307_956.jpg
 
Mtu mjinga ni asiye jua. Bei ya mafuta ilikua juu ndio lakini inaenda juu zaidi. Pia bei ya crude oil ilikua dola 99 leo ni dola 112. Huoni uhusiano hapo?
Ndugu yangu ammosh nashukuru kwa lugha hii. Haya ni maoni yetu tu. Kumwambia mtu mjinga ndicho kiliniudhi.

Sasa tujadili maslahi ya pande zote.
Hivi unafikiri Marekani hataki kukaa karibu na marafiki waUrusi kwake kama Cuba na Venezuela?
Sababu hizohizo Urusi nayo haitaki manuklia karibu yake.

NATO wameweka mavinu ya nuclear ili kuja kushabulia Urusi baadaye.

Acha tuumie ila balance of power iwepo.

Siku Amerika akivamia nchi nyingine uendelee kulaum vivi hivi.
Sijawahi kukubaliana na uvamizi wake mataifa mbalimbali.
Natumia sjmu kuandika ndo maana narukaruka ila

Go Putin Go

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Kuomba mazungumzo ni akili pia. Yeye anachotaka ni Putin aache kumshambulia. Wewe unaona kuomba mazungumzo na Putin siyo akili?
bahati mbaya sana ni kwamba, putin hatakubali kusitisha haya mashambulizi hadi ahakikishe ameteketeza nchi, na ukraine haina uwezo kutengeneza nukes au kuwa na nguvu kijeshi na atasimika mtu wake pale ambaye atakuwa anatawaliwa tokea moscow. kwa putin, hii ni muhimu kwasababu hata asingeshambulia sasaivi kuna siku angekuja kushambulia tu, hata wamagaribi wasingemuwekea vikwazo sasaivi wangekuja kumuwekea tu siku moja, anajua maisha yake yote wamagaribi hawamuwazii menga russia wala hawampendi. kuna certain westerners wasomi kabisa wamekuwa braiinwashed wanaamini hakuna kizuri kinachotoka russia, ni sawa na chadema leo useme kuna kizuri kinatoka ccm, siku zote wanawawazia mabaya tu.
 
Mrusi kachokoza nyuki kumbe Raisi wa Ukraine ni myahudi ,wayahudi wa Ukraine wasema lengo la Putin ni kufuta wayahudi walioko Ukraine na kumwondoa Raisi wao myahudi

Nimesikiliza CNN jamii ya wayahudi wa Ukraine wanasema Putin ni Hitler wa pili
Kapiga mabomu hadi.memorial yao Ukraine ambako eneo hilo la Ukraine Hitler aliua wayahudi mamilioni kwa lengo la kuwafutilia mbali

Sasa Putin kaanza kuwalenga wao na majengo yao wanayoishi
 
ni kweli, Ukrain kuna wayahudi wengi sana sana hasa mji wa Odesa. lakini, Urusi pia kuna wayahudi wengi sana pia. hivyo wayahudi wamesambaa kote USSR ya zamani. wakati wa NAZI, wayahudi wengi walikimbilia huko, ukisikia wayahudi wanaoitwa ashkenaz, wengi ni wa kutoka huko, na ndio wengi zaidi Israel.
 
bahati mbaya sana ni kwamba, putin hatakubali kusitisha haya mashambulizi hadi ahakikishe ameteketeza nchi, na ukraine haina uwezo kutengeneza nukes au kuwa na nguvu kijeshi na atasimika mtu wake pale ambaye atakuwa anatawaliwa tokea moscow. kwa putin, hii ni muhimu kwasababu hata asingeshambulia sasaivi kuna siku angekuja kushambulia tu, hata wamagaribi wasingemuwekea vikwazo sasaivi wangekuja kumuwekea tu siku moja, anajua maisha yake yote wamagaribi hawamuwazii menga russia wala hawampendi. kuna certain westerners wasomi kabisa wamekuwa braiinwashed wanaamini hakuna kizuri kinachotoka russia, ni sawa na chadema leo useme kuna kizuri kinatoka ccm, siku zote wanawawazia mabaya tu.
Hilo zoezi la kusimika uongozi tiifu kwa Russia si dogo maana lipo sambamba na kuhakikisha raia wa Ukrain ni watiifu kwa hiyo serikali.

Kwangu mm naona lilipaswa liwe zoezi la siri la kumuondoa huyu kiongozi au kumuua ndipo asimike wa kwake. All in all wao wahusika ndo wanajua kwann wamelazimika iwe hivyo.
 
Mrusi kachokoza nyuki kumbe Raisi wa Ukraine ni myahudi ,wayahudi wa Ukraine wasema lengo la Putin ni kufuta wayahudi walioko Ukraine na kumwondoa Raisi wao myahudi

Nimesikiliza CNN jamii ya wayahudi wa Ukraine wanasema Putin ni Hitler wa pili
Kapiga mabomu hadi.memorial yao Ukraine ambako eneo hilo la Ukraine Hitler aliua wayahudi mamilioni kwa lengo la kuwafutilia mbali

Sasa Putin kaanza kuwalenga wao na majengo yao wanayoishi
Wayahudi hao hao wanamlaumu raisi wa ukraine kwa kuungana na neo-nazi.
uliza kwanza kati ya Russia na hao wengine nan ni neo nazi?
 
Kwani hata msiposhangilia basi unafikiri bei za vitu ndio zitashuka!!!

Acha tu walau watu wapunguze stress.
kumbe pro rusia ubishani wao ni kupunguza stress na sio uhalisia? nimewaelewa sasa hata wale ukiwabana kidogo wanakuja na matusi humu
 
ila ujue pia na yy ana gas ambayo juz tu kasign kuipeleka beijing.na 29% ya gas ulaya anayepeleka ni yeye.so maumiv yatakua kotekote.
btw mauaji yaliyofanyika donessk 2014 na ukraine uliyaona? unajua katika vita propanganda ni tool mojawapo,tunajazwa kuona selective news nenda RT uone jins documentary jins ukrain alivofanya mauaj donesk na luhans
Unataka twende RT aka TBC ya Russia as if ni chombo huru, halafu unataka tukaamini propaganda zake.
 
Back
Top Bottom