Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mnapunguza stress kwenye roho za watu kweli kutoka!camoonKwani hata msiposhangilia basi unafikiri bei za vitu ndio zitashuka!!!
Acha tu walau watu wapunguze stress.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnapunguza stress kwenye roho za watu kweli kutoka!camoonKwani hata msiposhangilia basi unafikiri bei za vitu ndio zitashuka!!!
Acha tu walau watu wapunguze stress.
Hao ni wayahudi wa CNN.Wayahudi wanasema Putin ndio neo Nazi
mbona asilimia kubwa ya mashmbulizi ya anga yanayofnywa na urusi nchini ukraine wanashambulia makazi ya watuMrusi kachokoza nyuki kumbe Raisi wa Ukraine ni myahudi ,wayahudi wa Ukraine wasema lengo la Putin ni kufuta wayahudi walioko Ukraine na kumwondoa Raisi wao myahudi
Nimesikiliza CNN jamii ya wayahudi wa Ukraine wanasema Putin ni Hitler wa pili
Kapiga mabomu hadi.memorial yao Ukraine ambako eneo hilo la Ukraine Hitler aliua wayahudi mamilioni kwa lengo la kuwafutilia mbali
Sasa Putin kaanza kuwalenga wao na majengo yao wanayoishi
Ni makazi ya wayahudi ndio Putin anashambulia sanambona asilimia kubwa ya mashmbulizi ya anga yanayofnywa na urusi nchini ukraine wanashambulia makazi ya watu
Baada ya hii ramani ni wazi Ukraine huko mbele itakuwa kama Berlin West na East ni wazi wanaigawa nchi vipande viwili hizo ndio buffer zone ndio maana kwenye hii ramani wanakuja taratibu kutoka east na kuifanya Ukraine landlock bahari wanaichukuwa Russia. Msije kushangaa hata wakubwa ni sehemu ya hii game.Kuichuku nchi nzima sio kitu rahisi kwa Strategy Anayoitumia Putin ya kubembeleza, Na ndio inampa hasara sana.
Uwepo wa watu katika battlefield Imekuwa advantage kubwa Sana kwa Ukraine, kutumia kama kinga kwao, Na kuwapa ugumu Russia kutupa mabovu kwa kunyatanyata.
Nazani wangesema raia wote wametoka, Nchi ingebaki tambalale.
Map of the progress of the special operation for March 3
View attachment 2138152
Huwa sipendi kujibizana na watu wenye Akili fupi....... mbele tembea!Tanzania Sihami kwakweli. Yaani Mkaazi wa gezaulole yeye ñdiye MTATHIMINI MKUU WA IQ ZA ZELENSKY NA PUTIN
Unadhani ni wewe peke yako una masikio ya kusikia na macho ya kuona na kusoma? Zile blah blah zilikuwa za nini za Kyiv inageuka majivu kama mlikuwa manyajua yote haya? Mlipokuwa mnaambiwa mwanzoni mwa hii vita mlikuwa mnabwata hapa kwa majigambo mengi,leo hi mmeona ugumu wake mnaanza kutuletea hizi sababu utadhani sisi hatuzisomi kwenye propaganda media za Russia.
#kyivmajivubadotu
Hata askari ni watu.Ni makazi ya wayahudi ndio Putin anashambulia sana
Unabisha ujinga kweli ndugu, ufahamu na uelewa wako wa mambo no mdogo sana. Russia amewaona Ukraine kama ndugu kabisa wa damu ambao wame-share historia muhimu sana hivyo wamepeleka silaha zile hafifu sana na mpaka sasa haijatumika silaha vimetumika vijisilaha vya enzi za soviet. Ungetaka kujua Russia ni nini NATO angepeleka jeshi.Sio imebidi ucheke tuambie tangia mmeanzisha uvamizi wenu kule Ukrain jeshi lenu la anga limefanya maajabu yapi mpaka sasa maajabu ya maana na sio kubomoa bomoa majengo tu ya Raia apana jeshi lenu la anga limefabya nini cha maana kwenye hii vita yenu mpaka sasa
Pamoja na kuwa ni mdogo lakini anatumia akili zaidi na kaonyesha upinzani mkubwa tu kuliko adui anaepambana nae,Ukraine inazidiwa kwa kila kitu na Russia ndiyo maana wengi waliamini kabisa hii vita wenyewe humu wanaiita special operatiosn ingekwisha ndani ya msaa 24 tu,Lakini kinachoendelea tumeona hadi Mkubwa alipanic akataka atumie hadi Mabomu ya Nyuklia utadhani yeye angebakia salama kama angeyatumia.Yaani ana mashaka Sana Yule Raisi...huyu anampiga akapambane na makambale wenzie huyu Ni kumstress tu
hebu tuambie plan za Russia kuvamia ukraine zaidi ya hiziHivi wewe unasikiliza wabongo au russia? Kuna sehem russia imetamka kuwa ukraine itakua majivu? Unajua plan zao kwa ukraine ni nini?
Hebu nitajie chombo sasa hivi ambacho sio kama TBC? CNN zamani bwana siku hizi kama TBC wana agenda zao na leo nimeamini Trump kuwaita fake news na ni kweli wakati wa Trump walimuandamana utasema hana zuri hata moja. Vyombo vyote fake news basi tu hatuna mbadala. Hao BBC zamani unasema afadhali lakini hakuna kitu. Habari za wa africa tu kunyanyaswa mpakani CNN kama hawajaiona hiyo habari wameipotezea juu kwa juu. Aljazeera ndio mara nying walionesha ile habariUnataka twende RT aka TBC ya Russia as if ni chombo huru, halafu unataka tukaamini propaganda zake.
Uwezo wa Putin umedhihirika ni mdg sana kiakili.wacha watu wamsaidie ku think
.Kifupi ni kubwa jinga
Kwani ukraine ni sehemu ya umoja wa NATO hadi NATO apeleke jeshi?Unabisha ujinga kweli ndugu, ufahamu na uelewa wako wa mambo no mdogo sana. Russia amewaona Ukraine kama ndugu kabisa wa damu ambao wame-share historia muhimu sana hivyo wamepeleka silaha zile hafifu sana na mpaka sasa haijatumika silaha vimetumika vijisilaha vya enzi za soviet. Ungetaka kujua Russia ni nini NATO angepeleka jeshi.
Mwanzoni eti NATO wakiongozwa na Ujerumani walikuwa wanatoa kauli za vitisho Putin aliposema tu usalama wa Russia upo shakani na kuviagiza vikosi vyote vikae tayari umeona kuna harakati zozote Poland ,umeona kuna kauli imetolewa tena.
Hao sio wanataka Kuua warusi wanajilinda kutokana na mrusi kuwavamiaHata askari ni watu.
Kumbuka raia wamepewa silaha kuwaua Warusia.
Mtu anayetaka kukuua ni adui hata akijificha kwenye makazi ya raia.
Piga tu bila kuangalia
Go Putin Gooooooo on
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Unajiona na wewe umetoa hoja,ona hata huwezi kuandika majina ya Nchi kwa usahihi,kajifunze kwanza basics za kuandika ndiyo urudi hapa kubwabwaja,Mrusi wa mwendakulima usiyejua hata kuandika neno Russia kwa usahihi. Achia Warusi wa Kinondoni Moscow kina Frustration wajanja ndiyo waongee hapa 😂Na wewe ni zoba kabisa, huwezi ongelea vita ya Ukraine na russia bila kuitaja marekani, kaa kimya uonekane mwerevu epuka kujidhalilisha kama hujui kitu.
Ila kwa haya maamuzi yake wewe kwa mtazamo wako huoni Kama keshaivuruga Russia, after war impact kiuchumi mbona Kama zinaenda kuwa mbaya Sana,au unaonaje Hapo?
Hahahaha...unajikaza kisabuni bibie huku ukijua fikra kabisa Russia katawanya kikundi haramu Ukraine kimya kimya bila bugudha kwa Raia angeamua kuchafua hali ya hewa sasa tungekua tunazungumzia vifo Vinci sana.Pamoja na kuwa ni mdogo lakini anatumia akili zaidi na kaonyesha upinzani mkubwa tu kuliko adui anaepambana nae,Ukraine inazidiwa kwa kila kitu na Russia ndiyo maana wengi waliamini kabisa hii vita wenyewe humu wanaiita special operatiosn ingekwisha ndani ya msaa 24 tu,Lakini kinachoendelea tumeona hadi Mkubwa alipanic akataka atumie hadi Mabomu ya Nyuklia utadhani yeye angebakia salama kama angeyatumia.
Uganda haikuwa sehemu ya Tanzania lakini tulipeleka jeshiKwani ukraine ni sehemu ya umoja wa NATO hadi NATO apeleke jeshi?
Wewe ndio unajiona una utashi mkubwa wa kuandika? Ni wapi umewahi kuona sentensi na sentensi zinatenganishwa na koma ? Umeshindwa kwa hoja naona unataka kuleta ' personal attack'Unajiona na wewe umetoa hoja,ona hata huwezi kuandika majina ya Nchi kwa usahihi,kajifunze kwanza basics za kuandika ndiyo urudi hapa kubwabwaja,Mrusi wa mwendakulima usiyejua hata kuandika neno Russia kwa usahihi. Achia Warusi wa Kinondoni Moscow kina Frustration wajanja ndiyo waongee hapa 😂