Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo silaha za nuclear hata kutokea Marekani zinaweza zikatumwa zikaifikia Urusi. Kumbuka Marekani ana jukumu la kuilinda Japan, South Korea na German. Pia article no 5 ya NATO inasema mashambulizi dhidhi ya memba mmoja ni mashambulizi dhidhi ya wao wote. Afghanistan naweza kusema kuna valid reason ya Marekani kuivamia. Angalia baada ya withdrawal yao last year. What is Taliban doing? Forcing people to live in a primitive way of life. Middle East unrest kuna role ya wenyeji kuifanya iwe vile. Saudia Arabia anabeba silaha kupigana na Yemen mwislamu mwenzake, Islamic Guards wanaendesha insugence Iraq, Lebanon na Yemen. Sometimes America anaact to maint the current world order. Without order anarchy will rule. America did not become the superpower because he had a good army, he is because he has a good economy. Halafu all this empires are pre determined long before they emerge. It is not a work of one century. Putin want to use mere 20 years to build a broken vessel. Not so fast.Ndugu yangu ammosh nashukuru kwa lugha hii. Haya ni maoni yetu tu. Kumwambia mtu mjinga ndicho kiliniudhi.
Sasa tujadili maslahi ya pande zote.
Hivi unafikiri Marekani hataki kukaa karibu na marafiki waUrusi kwake kama Cuba na Venezuela?
Sababu hizohizo Urusi nayo haitaki manuklia karibu yake.
NATO wameweka mavinu ya nuclear ili kuja kushabulia Urusi baadaye.
Acha tuumie ila balance of power iwepo.
Siku Amerika akivamia nchi nyingine uendelee kulaum vivi hivi.
Sijawahi kukubaliana na uvamizi wake mataifa mbalimbali.
Natumia sjmu kuandika ndo maana narukaruka ila
Go Putin Go
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Halafu sasa kichekesho kikubwa ni hawa hawa wanaomshangilia Putin enzi za Serikali ya awamu ya Tano na hata kule Jukwaa la Siasa walikuwa wanatokwa mapovu ya kulaani Udicteta wakiongozwa na kina Yericko Nyerere , unabaki unajiuliza hawa ndiyo wanaolilia Demokrasia hapa Nchini kweli,tukiwapa madaraka si watageuka kuwa kina Putin wa Bongo.
Mimi nimemwelewa Sana huyu jamaa,nchi yake ndogo Ila imepambana kwa kiwango Cha kuheshimika,Mimi nilivyoona Vita inaanza Nilijua ndani ya siku mbili atakuwa kamaliza nchi,Sasa nimebaki kukuuliza zile sifa nazozisikia za Urusi eti Ni shujaa Ni za kweli,mbona anahangaika tu mtu mzima?Pamoja na kuwa ni mdogo lakini anatumia akili zaidi na kaonyesha upinzani mkubwa tu kuliko adui anaepambana nae,Ukraine inazidiwa kwa kila kitu na Russia ndiyo maana wengi waliamini kabisa hii vita wenyewe humu wanaiita special operatiosn ingekwisha ndani ya msaa 24 tu,Lakini kinachoendelea tumeona hadi Mkubwa alipanic akataka atumie hadi Mabomu ya Nyuklia utadhani yeye angebakia salama kama angeyatumia.
Hahahaaaa!!, Hashtag #kievmajivubadotu@@# Follow us on twitter..🙁🙁
Dikteta wao ameanza kupiga simu, kampigia simu raisi wa Ufaransa kuomba mazungumzo.. Huyu jamaa alifikiri vita ni kufika tu unashinda, Hakujua kwamba hata ukishinda unakuwa umeumia kiuchumi.
Tunajitaji ukombozi wa kifikra.Taifa lina bahati mbaya sana ya kuwa na watu wengi wa hovyo, vilaza wenye akili kiduchu na mawazo finyu.
Poor us.
Heeeee Warusi wa Kinondoni tena😆😆😆😆😆 ila Nyamizi wewe ni mkraine wa Tandale au Magomeni?Unajiona na wewe umetoa hoja,ona hata huwezi kuandika majina ya Nchi kwa usahihi,kajifunze kwanza basics za kuandika ndiyo urudi hapa kubwabwaja,Mrusi wa mwendakulima usiyejua hata kuandika neno Russia kwa usahihi. Achia Warusi wa Kinondoni Moscow kina Frustration wajanja ndiyo waongee hapa 😂
Hawajui hata wanataka nini,yaani Wenyewe wanavyofanya tathmini ya hii Vita Ni kama wapo theatre wanaangamia movie zao movie ya Van damme...siwaelewiiiHalafu sasa kichekesho kikubwa ni hawa hawa wanaomshangilia Putin enzi za Serikali ya awamu ya Tano na hata kule Jukwaa la Siasa walikuwa wanatokwa mapovu ya kulaani Udicteta wakiongozwa na kina Yericko Nyerere , unabaki unajiuliza hawa ndiyo wanaolilia Demokrasia hapa Nchini kweli,tukiwapa madaraka si watageuka kuwa kina Putin wa Bongo.
They wait for the Perfect moment. Or will be bad luck for them. Yote yanawezekana.Unadhani kwanini basi watu hawatoki pamoja na kunyeshewa mnvua ya mabomu kila siku?
Saud Arabia inahusika vp na habari za Ukraine??Hizo silaha za nuclear hata kutokea Marekani zinaweza zikatumwa zikaifikia Urusi. Kumbuka Marekani ana jukumu la kuilinda Japan, South Korea na German. Pia article no 5 ya NATO inasema mashambulizi dhidhi ya memba mmoja ni mashambulizi dhidhi ya wao wote. Afghanistan naweza kusema kuna valid reason ya Marekani kuivamia. Angalia baada ya withdrawal yao last year. What is Taliban doing? Forcing people to live in a primitive way of life. Middle East unrest kuna role ya wenyeji kuifanya iwe vile. Saudia Arabia anabeba silaha kupigana na Yemen mwislamu mwenzake, Islamic Guards wanaendesha insugence Iraq, Lebanon na Yemen. Sometimes America anaact to maint the current world order. Without order anarchy will rule. America did not become the superpower because he had a good army, he is because he has a good economy. Halafu all this empires are pre determined long before they emerge. It is not a work of one century. Putin want to use mere 20 years to build a broken vessel. Not so fast.
Mrusi kachokoza nyuki kumbe Raisi wa Ukraine ni myahudi ,wayahudi wa Ukraine wasema lengo la Putin ni kufuta wayahudi walioko Ukraine na kumwondoa Raisi wao myahudi
Nimesikiliza CNN jamii ya wayahudi wa Ukraine wanasema Putin ni Hitler wa pili
Kapiga mabomu hadi.memorial yao Ukraine ambako eneo hilo la Ukraine Hitler aliua wayahudi mamilioni kwa lengo la kuwafutilia mbali
Sasa Putin kaanza kuwalenga wao na majengo yao wanayoishi
Stress hazihusiani na kuwa upande upi.kumbe pro rusia ubishani wao ni kupunguza stress na sio uhalisia? nimewaelewa sasa hata wale ukiwabana kidogo wanakuja na matusi humu
Wewe hata usiposhangilia roho zitatoka tu kama ambavyo ukishangilia.Mnapunguza stress kwenye roho za watu kweli kutoka!camoon
TAARIFA PRO RUSSIA.
Kufuatia kuchelewesha kuiangamiza Ukraine, Brigedia105 Moscow inawaomba radhi wapenzi na watu wote wanaoiombea mema taifa la Urusi hasa katika kipindi hiki kigumu cha vita na vikwazo vya kiuchumi.
Kuchelewa huko kumetokana na majadiliano yaliyokuwa yameombwa na Ukraine kuchukua siku nyingi.
Kwa namna nyingine, Rais Putin,mpenda haki na ni nembo ya amani duniani amewashukuru makanali,brigade generals na mageneral wote kwa kujitoa kwao sio tu kwa kuiletea amani Urusi,bali kwa dunia yote. Leo atafanya shambulio moja kubwa na litakuwa la historia katika nchi ya Ukraine na nchi za NATO na washirika wao.
Maamuzi hayo ya kulipua ni halali na yamesainiwa viongozi wakuu wa komandi zote za majeshi nchini,China,Korea Kaskazini na Iran.
Imetolewa na kurugenzi ya mawasiliano Moscow.
ingia google map uwone huo mji ulivyo mzeeKila nikisoma comment zako nakumbuka wewe ndiyo muasisi wa Kyiev kuwa majivu ndani ya masaa machache yajayo tangu tar 28 Feb 😀
#kyievmajivubadotu
Hajaonesha upinzani wowote, anatumia Civilians kama human shield ndo maana Russia speed imepingua.Pamoja na kuwa ni mdogo lakini anatumia akili zaidi na kaonyesha upinzani mkubwa tu kuliko adui anaepambana nae,Ukraine inazidiwa kwa kila kitu na Russia ndiyo maana wengi waliamini kabisa hii vita wenyewe humu wanaiita special operatiosn ingekwisha ndani ya msaa 24 tu,Lakini kinachoendelea tumeona hadi Mkubwa alipanic akataka atumie hadi Mabomu ya Nyuklia utadhani yeye angebakia salama kama angeyatumia.