LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kwani umewahi kumuona, kuishi chini ya utawala wake au kuteswa na dikteta yeyote?

Au unawasikia na kuwasoma kama mimi?
Wewe kwani unaonaje?, nimewahi au sijawahi? Au kama nimewahi au sijawahi wewe itakusaidiaje?
 
Hawa chenchens zijajua wanatumia mbinu gani,
Sijasikia kauwawa hata mmoja, Hawa jamaa kwenye Vita watakua Moto wa kuotea mbali.

Kila wanakovamia, Ukraine wanakimbia na katelekeza vifaa vyao[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni watu wabad vibaya mno watu wa vita ni kama wale ma vikings wa kwenye movie za zamani hao mashekhe wa chechen wakitoka wametoka
 
Rais wa Ukraine baada ya kumtumia sana Macron amwombe Putin yaishe na jibu la Putin ni hata makubaliano yakifikiwa Operation yake ipo palepale mpaka Comedian alambe barafu au akimbilie kwa waliomweka madarakani, Comedian kwa uzuni kuu ameomba wakutane na Putin face to face wayamalize teh teh teh

Huku NATO na bwana wao US hawajathubutu kwenda front kumsaidia huyo waliyempotosha. Hapa ndio ujue nguvu ya Russia..
 
Mazungumzo ya simu yamechukua dakika 90 na Putin kamwambia Macron kwamba iwe njia ya kidipolomasia au vita ni lazima Kyiv lazima iwe chini ya Russia.

Ni hadi hapo Ukraine itakapokubali masharti ya Russia.
 
Sio sawa lkn, wakae kama ndugu wazungumze, hali iliyofikia Ukraine ni mbaya sana. Mji umekuwa kama Syria, ingawa Zelensikyy alizingua mwanzoni kwa kujifanya mwamba, ila wakae wayamalize.
 
kimenuka huko
Screenshot_20220304-025246_Twitter.jpg
 
Sio sawa lkn, wakae kama ndugu wazungumze, hali iliyofikia Ukraine ni mbaya sana. Mji umekuwa kama Syria, ingawa Zelensikyy alizingua mwanzoni kwa kujifanya mwamba, ila wakae wayamalize.
Mkuu, mimi nakuelewa na pia sipendi vita au kuona watu wanakufa hovyo watu waso na hatia.

Mimi kama mfuatiliaji niliona hii picha tangu mwanzo na nikaeleza itakavyokuwa, kwamba madhali alisaini kutambua yale majimbo mawili, mpango ulikuwa ni kuivamia Ukraine kuitia adabu na kisha kuiweka chini ya Russia.

Putin hatumii stratejia, yeye ni mtu wa mbinu au tactics na hicho ndicho nchi za Marekani na NATO amewashinda hadi sasa kwani anawapa vitendawili yaani "guessing games".

Alipokuwa akifanya zile "military drills" na Belarus ile ilikuwa ni ishara kwamba alikuwa akiandaa vikosi kuingia Ukraine.

Lakini nchi za magharibi zinapaswa kuketi na kukaa kupanga mazungumzo na Russia.

Putin akiwa kiongozi wa moja ya mataifa makubwa duniani ameona Marekani na NATO wana mipango ya kumhujumu uongozi wake wamtoe ili iwe rahisi kuivuruga Russia.

Na tatizo kubwa ni kuitumia Ukraine kutaka iwe kichaka chao.

Zelensky anapaswa kuacha ubishi ingawa sasa anaomba mwenyewe aonenane na Putin.

Putini anataka Ukraine ya kabla ya 2014 ndo kitaeleweka.
 
Bwege mtozeni wewe sijui mmesoma vishule gani vya kizoba
Mmh! Halafu sidhani kama aina ýa shule ni sababu... Maarifa unayatafuta mwenyewe tu, hufundishwi shuleni. Kinachofanyika shuleni ni wanakufundisha kusoma na kuandika, ili ukimaliza shule usome sasa kupata maarifa.

Sasa wengi wenu hamsomi, mnafikiri ukimaliza fomu siksi ndiyo una elimu sana, Kumbe unajua kusoma na kuandika tu!
 
Hahahha imebidi nicheke tu kwakweli, nimeamini watu hawaijui historia ya russia wengi wamejulia humu ndomana mtu anacomment tu hajui chochote kuhusu russia.
Sio imebidi ucheke tuambie tangia mmeanzisha uvamizi wenu kule Ukrain jeshi lenu la anga limefanya maajabu yapi mpaka sasa maajabu ya maana na sio kubomoa bomoa majengo tu ya Raia apana jeshi lenu la anga limefabya nini cha maana kwenye hii vita yenu mpaka sasa
 
Marekani amefanya nini kule libya, iran, cuba,etc??
Hapa ndipo mnapofail sana nyinyi Pro Putin,mnashindwa nini kujenga na kusimamia hoja bila kuihusisha Marekani,kila mnapobanwa mnakimbilia kuisema USA,simamieni hoja zenu,Marekani haikuwatuma mkaivamie Ukraine,ya Marekani waachie wao wapambane nayo au yaanzishieni Uzi wake,hapa tunaongelea Russia vs Ukraine.Btw vipi Kyiv imeshakuwa majivu au bado?
 
Acha kujipendekeza kwa wazungu mbona ndugu zako wanauliwa kila siku Goma huko DRC hujawai kushupalia kama hawa makaburu unavyoshindwa kulala kwa kuwawaza
Mungu asimame na raia wote wanoteseka katika vita hii.Povu ruksa,Mrusi wa Shelui
 
Propaganda😃😃.
Hili zoezi ni sawa na kununua shamba lenye mgogoro. Sawa ni lako ila Kila siku utakuwa mahakamani.

Urusi akimaliza kupiga mabomu akachukua nchi anatakiwa kuunda serikali ambayo raia wa Ukrain wataitii. Binafsi natamani amalize apewe nchi ili lile swali la what is next lifikie.
Na hapo ndipo kwenye mziki haswa,unawatawalaje watu walioamua kusimama na Serikli yao hadi dakika za mwisho,hatujaona hata ka kikundi ka uwongo na kweli kanakowaunga mkono Russia ndani ya Ukraine,hata TBC ya Russia yenyewe na propaganda zao zote,hawajathubutu kuleta hata ki clip cha nusu dk kikionyesha uungwaji mkono wa Russia ndani ya Ukraine.Tutakuwa hapa tunakula popcorn na kushushia na pepsi tukiwaangalia Russia wanavyohangaika na Ukraine,
 
Back
Top Bottom