Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensky ni joker
 
Nilijua vita imeishaisha siku nyingi. Kumbe bado inaendelea, nilikuwa porini nachoma mkaa miezi 2 na wiki 3 sasa.
Nimeamini hakuna mbabe wa vita hapa duniani.
Hii ni small military operation watz vichwa vigumu sana urusi inaenda kwa tahadhari kuepusha more causality. Endelea kuchoma mkaa mambo makubwa kwako chief
 
In their wildest junky dreams ....siooni kwenye MSM zenu pendwa ...hivyo ..that's junky Mkuu
Huwa tunaleta evidence mpaka video hamjawahi kukubali sisi tunasonga mbele pigeni kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwa tunaleta evidence mpaka video hamjawahi kukubali sisi tunasonga mbele pigeni kelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Videos zipi ...waruhusuni MSM yenu Washington Post wako karibu na frontline watuelezee mkuu habari ya edited video za computer lab ..hata my 10yr old kid can do that Mkuu
 
Videos zipi ...waruhusuni MSM yenu Washington Post wako karibu na frontline watuelezee mkuu habari ya edited video za computer lab ..hata my 10yr old kid can do that Mkuu
Lete ushahidi wa video hata moja kuwa ni edited hivi unaedit watu wamekufa na silaha za mrusi zinaonekana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunazidi kusonga mbele 50km sio mchezoView attachment 2350450
Yaani mngezikwala hata km 5 ....ingekuwa Sherehe kubwa kwa dementia Kibabu pale DC ...na ndio maana wanatokea kuongea kwa terminology za kijana Jana ionekane wanalo jambo la msingi...hii yote ni kujustify upigaji deal wao uendelee ...

Ukros are literally annihilated
 
Tuliwaambia hakuna kuvuka tutawatembezea kuchapo mpaka muishe[emoji1787][emoji1787]

 
Hakuna ushahidi mliwahi kuukubali sisi tunasonga mbele kanunueni silaha kwa kiduku tunawasubiri zile Intercontinental missile zimekwisha HIMARS kiboko yenu
 
Tazama video edited za computer lab zinaonesha warusi wametekwa wanalia kama watoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…