Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Amereallocate troops huku akikimbia na kuacha silaha kibaoRussia ame reallocate troops sioni mnachoshangilia Kharkiv
Counter offensive inapigwa maeneo tofauti sio Kherson pekeeKWANI VIPI KULE KHERSON SI ILIKUWA KAMA IVI ILA MWISHO WA SIKU MMEKIMBIA NA COUTER OFFENSIVE IKAISHIA HAPO.SASA MPO KHARKIV,MSIJISAHAU NAPO KUWA WARUSI SIO WAJINGA KUTELEKEZA UWO MJI.MUDA UTAONGEA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wale tunaokama ni mbwa wa RussiaRussia ame reallocate troops sioni mnachoshangilia Kharkiv
Leteni articles zenu tumezimis [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KWANI VIPI KULE KHERSON SI ILIKUWA KAMA IVI ILA MWISHO WA SIKU MMEKIMBIA NA COUTER OFFENSIVE IKAISHIA HAPO.SASA MPO KHARKIV,MSIJISAHAU NAPO KUWA WARUSI SIO WAJINGA KUTELEKEZA UWO MJI.MUDA UTAONGEA
[emoji2]Washakimbiana siwaoni leo wanasaka articles hakuna inayoeleweka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukiichukua Kherson mtasema hivyo hivyo wazee wa kuhamisha magoliRussia ame reallocate troops sioni mnachoshangilia Kharkiv
Sehemu gani hapo inasema hao ni wahamiaji?Hao wazamiaji ,mmarekani ukiwa RAIA halali hukosi pa kuishi,wala kula ,tatizo kule wazamiaji weng alafu siyo waaminifu hivyo hata kupewa kaz za vibarua inakua ngumu,ila kama una documents halali hukos pa kuhemea mkuu sure I tell u
Ni ushamba wa army command yao ilipangwa ikaamini mashambulizi yamefanyika Kherson hivyo ikabeba silaha na wanajeshi wengi kuwapeleka uko wakati namna ya kuwarudisha ni ngumu njia karibia zote zinafikika na mashambulizi na madaraja yameharibiwa. Sasa Kherson haipati hata supplies na reinforcements hazifiki kirahisi, wakati Kharkiv ikiachwa na weak defense.Russia ame reallocate troops sioni mnachoshangilia Kharkiv
Sisi ni wasema ukweli. HatubabaishiPro Russia tunawasubiri na hicho kibwagizo chenu Cha " video game "[emoji2]
Aisee waje wakatae na hii nakumbuka kipindi kile wamezingira Azov kiwanda cha chuma walipiga kelele sana kwamba hatoki hata inzi ni zamu yao sasa tunasema Kherson na Kharkiv hatoki hata inzi tunamaliza wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpaka sasa nashangaa Lieutenant General mzima anakamatwaje kizembe, na frontline alienda kufanya nini. Huyu ni Lt. Gen. Andrei Sychevoi aliyekamatwa siku chache zilizopita pamoja na kubadili sare asitambulike cheo. Superpower etiView attachment 2351194
Na wewe una uhakika gan siyo wahamiajiSehemu gani hapo inasema hao ni wahamiaji?
Nimeisoma habari mkuuNa wewe una uhakika gan siyo wahamiaji
Mimi nimeichanganua habar bwasheeNimeisoma habari mkuu