Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Punguza spaner mkuu, jamaa washalikimbia jukwaa mazima[emoji2][emoji2]
 
Wale wa Azov baadhi yao waliachiwa kwa exchange na Warusi waliokamatwa. Hata huyu Lt. General ni muhimu anaweza tumiwa kuwaacha Ukrainians wengi kwa exchange
 
Ukiona Lieutenant General anakamatwa ujue hali ni mbaya sana. Yani ni cheo cha pili tu baada ya General, utegemee taarifa za muhimu sana awe nazo na nadhani alienda kukagua uko frontline. Mambo magumu hapo, hilo pigo kubwa mno
Nimefurahishwa na kitendo cha. ukraine kukamata wanajeshi wengi wa urusi ili exchange ifanyike...

Huyu lt colonel lazima aseme kila kitu
 
Tukimbie kwa sababu gani wala sioni cha kusababisha sisi tukimbie.kwa hayo maeneo ya UKRAINE waliochukua ndo tukimbie.tunashikilia zaidi ya 120,000 km.nyie kuchukua km 50 mnaona kama mmekomboa UKRAINE yote.kibaya vita haipo KHARKIV peke yake.huko DONESK jana tumechukua baadhi ya vijiji vingine ila ilo mnajifanya kama sio habari.

Kherson mmekimbia hamtaki hata kupasikia kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Punguza spaner mkuu, jamaa washalikimbia jukwaa mazima[emoji2][emoji2]
 
Nani kakwambia wamekimbia.., kheson imeshawekwa mtu kati, hakuna kuingia Wala kutoka hata nzi

Si mlishangilia ya Azov eee[emoji2][emoji2]
 
Yaonesha GRU imeshindwa kazi yake muhimu....
Can you imagine walishindwa hata kuamini Kharkiv kutakuwa na offensive, wakati huo wimbo NAFO tulikuwa tunashinda nao. Na walikuwa wanaona preparations tangu July wakajiandaa uko, baadae Ukraine ikaona haiwezi kuwapiga na defensive lines zao uko, ikashambulia madaraja ya Kherson kisha ikatangaza raia wake waondoke, Urusi ikakurupuka ikahamisha majeshi kuyapeleka uko. Walipofika uko Ukraine ikamalizia madaraja, sasa wanavuka kwa pontoons ambazo nazo zinashambuliwa.

Ukraine ikashambulia Kherson inafanya attrition waishiwe nguvu. Kisha ikashambulia Kharkiv inapeta kiurahisi defensive lines ziko weak mpaka wanafikia kumkamata huyo tujue ilikuwa ghafla na walienda kwa kasi upinzani ni mdogo. Makamanda wa superpower wanatumia akili zao wenyewe
 
Sio kweli.Tupe ushahidi kwamba nchi hizo ulizozitaja majeshi yao yapo Ukraine,na yanapigana kwa niaba ya Russia.Otherwise this will remain fake news.
Ulitegwa na ukategeka.

Sasa nyinyi mnaosema kwamba urusi anapigana na nato mzima leteni huwo ushahidi wa nchi zao kutuma vikosi vyao wakapigane na urusi.

Toa wanaojitolea.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Ushahidi mwingi sana umeshaletwa hapa,usizunguushe watu akili zao.
Ulete wewe. Ni nchi gani ya nato iliyopeleka wanajeshi wake Ukraine ukitoa wanajeshi wa kujitolea ambao hata urusi wanao kutoka sehemu nyengine. Supa pawa wa mchongo. Sikuhizi mmepunguza kutukana watu kisa mnatofautiana mawazo.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kweli aisee, siku hizi matusi yamepungua, kidogo wamekuwa na adabu,
 
Reported from Izyum:
“Our people have taken the settlements of Sinikha, Senkovo, Vorontsovka, Fedorovka, Lesnaya Stenka, surrounded by allied forces, combat assault formations are being introduced and territories are being cleaned from the inside and with mini boilers!”
 
it seems that Russian forces are together with urgent reinforcements (link1-link2) went into a counter-offensive on the Balakleya-Kupyansk stretch in order to break the Ukrainian armored-mechanized combat group that was wedged in that area. We will see how the situation unfolds......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…