Hawezi kukwambia maana hana cha kusema Mkuu,hawa wanachojua ni "Putin anakiwasha Ukraine" lakini ukimjia na hoja kama yako,hana jibu la maana atakalokupa.Sio imebidi ucheke tuambie tangia mmeanzisha uvamizi wenu kule Ukrain jeshi lenu la anga limefanya maajabu yapi mpaka sasa maajabu ya maana na sio kubomoa bomoa majengo tu ya Raia apana jeshi lenu la anga limefabya nini cha maana kwenye hii vita yenu mpaka sasa
Unamaanisha Kwamba yeye alikuwa anamchokonoa Ukraine huku lengo lake kuu likiwa NATO na USA,jamaa wamemlia timing wakamwacha akauvaa mkenge,wao wakabonyeza kitufe cha vikwazo wakatulia,wakamwachia hangaike na maguvu yake UkraineNdo maana nafuatilia hili bila kubishana sana humu maana kwa sasa hakuna la kubishania tangu NATO na USA waliposema hawatoingiza majeshi ilifahamika fika Urusi anaishinda Ukraine, na ikafika mahali nikasema kwa mabomu yale anayopiga angepewa tu nchi.
Kuichukua Ukraine na kusimika serikali yake na wanainchi wakaitii ni jaribio jingine linalomsubiri baada ya kuchukua nchi huku akiwa anawapigania wananchi wake wavishinde vikwazo.
hata TBC ya Russia yenyewe na propaganda zao zote
Nimeamka kuangalia majivu ya Kyiv bado naukuta mji upo,tusogeze deadline mpaka lini tena ndugu Mrussi wa Kinondoni Moscow,wewe hauwezi kuwa Mrussi wa Shelui maana ni mjanja mjanja.😂Pro Ukraine mmelala,tulijua tu mtoto halali na hela analala na mavi tu. Tunamalizia kamji kale mda huu
Nyamizi leo nauna umepata mambo mazuri usiku. Cha asubuhi kimekuwa cha moto.Nimeamka kuangalia majivu ya Kyiv bado naukuta mji upo,tusogeze deadline mpaka lini tena ndugu Mrussi wa Kinondoni Moscow,wewe hauwezi kuwa Mrussi wa Shelui maana ni mjanja mjanja.😂
Na unakuta hiyo elimu anayojivunia kasoma kwa kudesa kila kitu kutoka google,muulize maswala ya msingi yanayohitaji critical thinking,utapewa jibu jepesi "nenda google utakuta kila kitu".Mmh! Halafu sidhani kama aina ýa shule ni sababu... Maarifa unayatafuta mwenyewe tu, hufundishwi shuleni. Kinachofanyika shuleni ni wanakufundisha kusoma na kuandika, ili ukimaliza shule usome sasa kupata maarifa.
Sasa wengi wenu hamsomi, mnafikiri ukimaliza fomu siksi ndiyo una elimu sana, Kumbe unajua kusoma na kuandika tu!
Muda utaongea mkuu.😀Na hapo ndipo kwenye mziki haswa,unawatawalaje watu walioamua kusimama na Serikli yao hadi dakika za mwisho,hatujaona hata ka kikundi ka uwongo na kweli kanakowaunga mkono Russia ndani ya Ukraine,hata TBC ya Russia yenyewe na propaganda zao zote,hawajathubutu kuleta hata ki clip cha nusu dk kikionyesha uungwaji mkono wa Russia ndani ya Ukraine.Tutakuwa hapa tunakula popcorn na kushushia na pepsi tukiwaangalia Russia wanavyohangaika na Ukraine,
Watu wanawadharau NATO na USA. Wanasahau kuwa mule kuna binadamu wenye akili sana wanaoweza kuandaa mpango na ukamuumiza sana waliyemuandalia.Unamaanisha Kwamba yeye alikuwa anamchokonoa Ukraine huku lengo lake kuu likiwa NATO na USA,jamaa wamemlia timing wakamwacha akauvaa mkenge,wao wakabonyeza kitufe cha vikwazo wakatulia,wakamwachia hangaike na maguvu yake Ukraine
Unaweza ukawa hurudi nyuma, unajifanya Yanga Daima mbele nyuma mwiko, kumbe unajipeleka mbele kwenye maangamizo, Putin is moving bravely towards his doom!
Hahahaaaaaa #kyivmajivubadotuuu# hahahaa mtu mzima Putin chaliiiiHahahaaaa!!, Hashtag #kievmajivubadotu@@# Follow us on twitter..🙁🙁
Dikteta wao ameanza kupiga simu, kampigia simu raisi wa Ufaransa kuomba mazungumzo.. Huyu jamaa alifikiri vita ni kufika tu unashinda, Hakujua kwamba hata ukishinda unakuwa umeumia kiuchumi.
Hapa ndipo mnapofail sana nyinyi Pro Putin,mnashindwa nini kujenga na kusimamia hoja bila kuihusisha Marekani,kila mnapobanwa mnakimbilia kuisema USA,simamieni hoja zenu,Marekani haikuwatuma mkaivamie Ukraine,ya Marekani waachie wao wapambane nayo au yaanzishieni Uzi wake,hapa tunaongelea Russia vs Ukraine.Btw vipi Kyiv imeshakuwa majivu au bado?
nimeona hat mim hii ishuAsia na Afrika hazipati msaada wowote kwa NATO, Poland na USA ilikuondoka mjini Kyiv.
ila ujue pia na yy ana gas ambayo juz tu kasign kuipeleka beijing.na 29% ya gas ulaya anayepeleka ni yeye.so maumiv yatakua kotekote.Hii vita sio ya Ukraine na Urussi tu watu wanapigana indirectly humo.Urusi Vs USA na Nato.Wanachofanya Wamarekani ni kumtengenezea Puttin image mbaya kwanza,Kumuwekea vikwazo vya kiuchumi kwanza.Kwa sasa Urusi hataona madhara ila baadae atayaona.Na vita direct kati ya Urusi na wanachama wa Nato itaanza rasmi pale Putin atakapodorora kiuchumi.Ikumbukwe mabilionea wa kirusi nao wamepata sanctions wananchi wa kawaida maisha yao yataanza kuwa magumu usaliti utaanza ndani ya nchi yake mwenyewe na ndio mazingira wanayoandaa Wamerakani kwa sasa.Na Nato watakuja wakati Putin amedorora kiuchumi na hapo itakuwa rahisi kummaliza
Hutaki kujibu hoja umeng'ang'ania kyiv kua majivu, unataka Russia waue raia wasio na hatia? Alafu sikiliza malengo ya warusi wenyewe sio mashabiki kama wewe humu JF.Hapa ndipo mnapofail sana nyinyi Pro Putin,mnashindwa nini kujenga na kusimamia hoja bila kuihusisha Marekani,kila mnapobanwa mnakimbilia kuisema USA,simamieni hoja zenu,Marekani haikuwatuma mkaivamie Ukraine,ya Marekani waachie wao wapambane nayo au yaanzishieni Uzi wake,hapa tunaongelea Russia vs Ukraine.Btw vipi Kyiv imeshakuwa majivu au bado?