Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hata huo wawazungu pia haiji bure bureMchango huu haukuwa wa bure. Ilikua ni njia ya kujipatia uunganiji mkono wa sera ya ujamaa. Ulipokua unapewa msaada huu shariti lilikua baada ya kupata uhuru ilitakiwa ujiunge ujamaa ndo lilikua shariti no Moja. Lakini Leo misaada inayotolewa na west Africa ni mikubwa had mara 50 ukilinganisha na misaada ya Urusi afrika
Kuanzia jumatatu au kabla ya jumatatu?Waazee wa counter offensive taarifa yoyote ya kukomboa Kharkov? Kabla hamjaanza kulia kuanzia jtatu
Rukaruka tu muda ukifika utajua ni msemaji wa kikosi ganiKuanzia jumatatu au kabla ya jumatatu?
By the way wewe ni msemaji wa jeshi la urusi kikosi gani mkuu?
Na hivi ndio tuliwaambia hawa watu wa Putin humu.Jukwaa hili tangu siku ya kwanza tu imefunguliwa nimekuwa msomaji na mfuatiliaji. Pia nimekuwa mfuatiliaji wa vita na kwa jinsi ambavyo sipendi vita na kwa jinsia sipendi binadamu akifa kwa kuuawa kila siku moyoni nimekuwa nikitamani Vita hii kuisha kabla ya watu kuana.
Kuna kitu nimejifunza kadiri vita inavyoenda. Kwamba hata mtu akikukosea, mwanzo kabisa akiomba yaishe mkae mezani muyamalize ukubali bila kumuwekea masharti magumu. Mwanzo kabisa mwa vita hii Ukraine walikuwa wanaomba wasiende vitani wayamalize kinyumbani na wao hatajiunga na NATO na walikuwa tayari kuiachia Cremia. Lakini Urusu ilikuwa ikitoa masharti magumu. Kwa hali inavyoenda watamaliza vita kibabe huku wote wakipoteza roho nyingi, Ukraine ikibaki na ardhi yake yote na Urusu akirudi nyumbani huku amepoteza vijana wake wengi.
Ni mimi muhanga wa TOZO.
[emoji122][emoji122][emoji122]Na hivi ndio tuliwaambia hawa watu Putin humu.
Kwanza ogopa sana kupigana na mtu mwenye imani ya kuwa una muonea, Ukraine anapigana kwa uchungu mkubwa zaidi ya wanajeshi wa Russia so ni ngumu kumpiga mtu wa namna hiyo.
Kuna video nimeona wamama na wazee wa Ukraine wakilia baada ya kuona wanajeshi wa Ukraine wamekomboa mji wao, bibi mmoja akasema
"tumewasubiria mje mtukomboe kwa miezi sita"
Pia mwanzon tuliongea kwamba Ukraine anapigana kwa akili zaidi ya Russia wakabisha, Kuna mdau mmoja akasema ukitoa nukes Russia anabaki Kama mandonga napo wakabisha[emoji16]
Sasa acha tuendelee kuona, ambae anapigania nchi yake na ambae yuko vitani bila sababu ya msingi nani atashinda.
[emoji122][emoji122][emoji122]Kuna mtu kaamua kuretreat na kuacha vifaa vyote
Endelea kujipa matumaini,Russia ATAFANYA kitu cha kushangaza.
There are a lot of prisoners of war. Russian troops are surrendering en masse and this is the right choice. Putin will die, but they will live.Izyum
Lyman
Zote kuna watu wamekimbia
By Monday real warThere are a lot of prisoners of war. Russian troops are surrendering en masse and this is the right choice. Putin will die, but they will live.
#ukrainewillwin #helpukraine #war #StopPutin #RussianInvasion #StopRussia #ukraine
Hayo ni maoni ya mtu mmoja ambaye sio Ujerumani. Ni sawa na maoni ya CEO wa Lukoil mliyemuua. Kwahiyo maneno ya huyo mama ndio yanahamisha nishati zote duniani na kuzipeleka Russia?Huku jf bwana T14 Armata unatuambia yakwamba sio RUSSIA pekee anaezalisha nishati hapa DUNIANI
Ila huko kwawenyewe unawasikia wanayoyasema haya
Muache kuzijua nchi zawatu kuliko wenyewe WAKUU
Price cap haiwezi kuekwa na kuna sirikali hapo EU zinaenda kutuacha
Mungu anisamehe ila natamani haswaaa kuiona civil war ikitokea ndani yamataifa yanayounga umoja wa ulaya EU
[emoji629] "We have the stupidest government in Europe"
Member of the German Parliament (Bundestag) Sarah Wagenknecht demanded the lifting of anti-Russian sanctions and the resignation of Deputy Prime Minister Habek.
She stated that Germany would not be able to do without Russian energy carriers. And if the government wants to avoid a collapse, it's time to negotiate with Russia to resume supplies
She is from the party “the Left”
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiweka ushabiki pembeni, urusi anapata mapigo kwa kweli [emoji848]Kuna mtu kaamua kuretreat na kuacha vifaa vyote
Hizo ni Himars tena silaha za kizamani za mmarekani na waketoa chache Sana hapo Ukraine mpaka muda huu Halafu kuna qumer mmoja atakuja kukwambia USA sio superpowerHIMARS kiboko