Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mvaa kobazi mwenye akili myunduni toka namtumbo ,
 
Zelensky ni mwanaume wa nguvu wewe mwanaume mwenzako aje kukuvamia nyumbani kwako ukae tu unamchekea .Wewe utakuwa mwanaume wa Tz tu wakitishiwa kidogo wanajificha ndani wanaacha wake zao wakabweke nje ya nyumba .Pambana Zelensky, wasikuchezee.
 
Inaonekana Warusi wamepewa command ya kuondoka Ukraine, maana vijiji na miji mingi inachukuliwa bila upinzani wowote ule, na silaha zinaachwa

Wanajeshi hawapo, wengine wanajisalimisha

Au Putin anataka atumie nukes?

Maana kawaida ya retreat unatakiwa uharibu kila kitu, sasa ni kama wamewapa Ukraine zawadi za silaha
 
Hizo ni Himars tena silaha za kizamani za mmarekani na waketoa chache Sana hapo Ukraine mpaka muda huu Halafu kuna qumer mmoja atakuja kukwambia USA sio superpower
USA baba lao,Tena kwa kila sekta,sio katika mambo ya vita tu,

Nimekuja kushangaa sana kila nikisikiliza kamziki kazuri ka kiingereza,nikiingia Google Ili kupeleleza zaidi kujua mwimbaji unakuta ni "" American singer " yahani karibu Burudani zote Kali zinazosikika dunian kote chimbuko lake ni marekani

Hawa jamaa wamejichimbia mizizi pande zote.., hapa nimezungumzia sehemu ndogo tu ya Burudani

Acheni marekani iitwe marekani bwana[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Kuhusu nukes,Sina shaka America na washirika wake walishajipanga kitambo kulikabiri hili,
 

Kwani wewe uliwahi kusoma Urusi au kupata mafunzo ya kijeshi huko Urusi au barani Africa kutoka kwa wakufunzi wa Urusi??

Basi tupatie ushahidi wa maandishi unao elezea masharti mliopewa na Urusi kabla hamjapata misaada tajwa hapo juu,labda tuanzie hapo.
 
Hayo ni maoni ya mtu mmoja ambaye sio Ujerumani. Ni sawa na maoni ya CEO wa Lukoil mliyemuua. Kwahiyo maneno ya huyo mama ndio yanahamisha nishati zote duniani na kuzipeleka Russia?

Umeokoteleza wapi hiyo habari
Vp na maoni yako MKUU yanafanya ama yalifanya EU waekee NISHATI ya huko RUSSIA price cap
Hujaona jana na leo wanavyosuguana huko juu ya NISHATI ya RUSSIA
Mwisho:-Maoni ya mtu mmoja kama mie na wewe ama wote hapa jf yanaweza yasiwe na athari kama maoni ya mtu mmoha kama huyo aloyasema hayo maana anajua mengi kwenye idara zinazoendesha taifa lao kuhusu wewe na mie au na wenzio hapa jf
Naukitaka kujua hilo fuatilia mawaziri wa nishati wa EU na UK wanasemaje
Nanukuu GER hatutaweza kueka bei elekezi kwa NISHATI ya RUSSIA
UK kama GERM
HUNGARY ndio kasema wazi ataangalia maslahi ya watu wake
Maoni yamtu mmoja yanaweza yakawa namaana kubwa ila huyo mtu ninani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kama Angela Merkle ange endela kubaki Madarakani wala vita ya Ukraine hisingetokea hata kidogo - angemwambia Biden /Wamerikani point blank kwamba wasichochee
migogoro kwa kumvimbishwa kichwa Zelensky na kumfanya aanze kumtunia misuri Putin.

Merkle angejuwa wazi wazi kwamba wenye shahuku kubwa ya kutaka vita hii ianzeshwe ni Merikani yenyewe kwa lengo la kutaka kutumia jeshi la Ukraine kupigana a proxy war against Russia bila ya wao kuhusika moja kwa moja, kusema kweli ilifaniliwa pakubwa kumuingiza Zelensky kichwa kichwa kwenye vita hii ambayo uwezekano wake kuishinda haupo kabisa, anaendelea kupoteza vijana wengi wa lika la nguvu kazi na wala hajali
hata kidogo - UTU wake ni mdogo sana.Yeye akili zake zimejikita kutaka kuifurahisha Wamerika na hasa hasa wamiliki wa viwanda vikubwa vya kuunda silaha huko Merikani - vita hii inawapatia soko kubwa la kuaminika, vita hii inawafanya wanapige hela ndefu big time.
 
Mkuu pengine ikawa ndio chaguo la mwisho lakini akichagua nukes basi ndio itakuwa mwisho wa Putin hapo urusi.
 
Russians wanakuwa overrun, hawafanyi evacuation wala retreat. Kinachowatokea ni collapse ya haraka, Ukrainians washapata moto wanakuja kasi na Russians hawana morali ukijumuisha na command yao mbovu na supply problems
 

Ukraine counter offensive so far: more than 4,000 Ukranian soldiers dead in two days​



Ukraine launched a counter-offensive against Russian forces earlier this week. That counter-offensive is presently ongoing. The death toll in just one area: At least 4,000 dead on the battlefield, and getting worse.
Covert intel sources have CONFIRMED to me that Ukraine is suffering horrifying losses. More than three sources - all independent of each other -- are reporting there are at least four-thousand dead Ukrainian soldiers, still laying on the battlefield, "At Sukhoi Stavka, on the outskirts of Vysokopole, and near Posad-Pokrovsky" as shown on the map above.
While Ukraine DID make advances and DID penetrate Russian defense lines, there is an actual slaughter taking place; with very heavy losses on both sides, but with Ukraine suffering far more losses than Russia.
On the Hal Turner Radio Show last night, I reported to my audience that the "ring road" around Moscow, was closed to public traffic and was filled with Military vehicles and equipment. Moscow is at least 600km away from the battlefield.
Those military units set out last might (Moscow time) for the front. At typical convoy speed, they will begin arriving at the front Saturday afternoon, Moscow time.
Upward of seventy-five-thousand (75,000) additional Russian troops are on the move. Those troops came from Russia's Eastern Military District, all the way out by Vladivostok, and were moved to the Moscow area over the past three weeks. Initially, it was thought that these troops would be used in normal troop rotation. However, it NOW appears that Ukraine's counter-offensive may have resulted in re-tasking of those troops to the front as reinforcements.
When that body of troops arrives in theater, it will not only tip the scale to Russia's advantage, it will flop the scale to Russia's advantage.
All of this additional fighting and death is a direct result of the United States and Europe interfering in Russia's Special Military Operation. Without the west assisting Ukraine, this conflict would have already ended with a Russia win. All the additional Ukrainians who are being killed, are dying because the US/EU/NATO are pushing the Ukrainians forward in additional battles.
How much longer that will last is not clear but yesterday the world got a sort of hint: the GERMAN Ministry of Defense announced "We have supplied Ukraine with large quantities of weapons and ammunition but we have reached our limit."
As more and more European nations come to that same conclusion, the fate of Ukraine will become self-evident.
More details if I get them . . .
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine (September 10, 2022)

◽️ Russian Federation Armed Forces continue the special military operation.

💥 High-precision armament of Russian Aerospace Forces has neutralised the headquarters of 5th National Guard Brigade, the provisional bases of the units from 92nd Mechanised Brigade and Kraken nationalist group deployed near Balakleya and Chuguyev (Kharkov region), as well as the command post of 54th Mechanised Brigade deployed near Ray-Aleksandrovka (Donetsk People's Republic).

▫️The attack has resulted in the elimination of up to 300 Ukrainian servicemen and up to 15 units of military equipment.

Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery continue launching attacks at the military facilities in Ukraine.

💥 7 AFU command posts have been neutralised near Rozovka, Ocheretino, Vodyanoye, Novomikhaylovka and Ugledar (Donetsk People's Republic), Snigiryovka and Novonikolayevka (Nikolayev region), as well as 48 artillery units, 178 AFU manpower and military equipment concentration areas.

💥 6 missile, artillery armament and munitions depots have been destroyed near Kurakhovo, Konstantinovka and Seversk (Donetsk People's Republic), Dnepr and Radushnoye (Dnepropetrovsk region), Gulyay Pole (Zaporozhye region).

💥 1 radar for detecting and tracking air targets has been destroyed near Kaluga (Nikolayev region).

💥 Within the counter-battery warfare, 2 plattoons of rocket artillery and 5 plattoons of cannon artillery of the AFU have been neutralised near Georgiyevka, Krasnogorovka, Antonovka, Romanovka, Ocheretino, Novgorodskoye and Novosyolovka Pervaya (Donetsk People's Republic).

💥 1 U.S.-manufactured 155-mm M-777 howitzer has been destroyed near Novosyolovka Pervaya (Donetsk People's Republic).

💥 Air defence means have shot down 13 unmanned aerial vehicles near Chkalovo and Belyayevka (Kherson region), Krasnoye (Kharkov region), Smeloye, Staromlynovka and Novoukrainskoye (Zaporozhye region), as well as near Novoandreyevka, Valeryanovka, Kirillovka and Panteleymonovka (Donetsk People's Republic).

💥 5 projectiles launched by HIMARS MRLS have been destroyed in air near Novaya Kakhovka (Kherson region).

📊 In total, 293 airplanes and 152 helicopters, 1,916 unmanned aerial vehicles, 374 air defence missile systems, 4,870 tanks and other armoured combat vehicles, 830 combat vehicles equipped with MRLS, 3,375 field artillery cannons and mortars, as well as 5,432 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine #report
@mod_russia_en
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…