Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Russia afanye carpet bombing Ukraine Kwa Airforce gani aliyokua nayo?! Hiihii ambayo videge vyake vinashushwa kila siku?! Yani Russia anashindwa hata na Israel kufanya SEAD operation hapo Ukraine ili aingie bombers afanye carpet bombing kwenye maeneo muhimu ya kijeshi. Na hapo ndo Ukraine haina air defenses za maana vipi zile modern air defenses walioahidiwa na west zikitia timu kama NASAMS au IRIS-T ya Ujerumani?!Hivi unajua maama ya carpet bombing/shock and awe?? Hivi Urusi ikihamua kufanya carpet bombing using her formidable fighter bombers unafikiri utawala wa Zelensky na wafadhali wao watadumu zaidi ya mwezi - watakimbia kusiko julikana - nyie subirini wiki mbili zijazo ili tuona Jeshi la Ukraine litakuwa kwenye hali gani,waulizeni kilicho wapata wachenchenyea walipo jitia kutunia misuri jeshi la Urusi, Syria je, wale ISIS na Daesh kuna anaye fanya fyoko kwa jeshi la Urusi? Hakuna, Waukraine dawa yao hipo jikoni watakuja kulia na kusaga meno kwa kumufuata kiongozi ambaye hana hekima na busara, anawatoa kafara vijana nguvu kazi wa Ukraine cha ajabu Waukraine wanamchekea tu bila ya kumuwajibisha.
Mbona unalaumu Sana Zelenksy kuwatoa kafara vijana wake lakini humlaumu Putin anayechinja vijana wake tena wadogo wanakufa Kama kuku?!Hivi unajua maama ya carpet bombing/shock and awe?? Hivi Urusi ikihamua kufanya carpet bombing using her formidable fighter bombers unafikiri utawala wa Zelensky na wafadhali wao watadumu zaidi ya mwezi - watakimbia kusiko julikana - nyie subirini wiki mbili zijazo ili tuona Jeshi la Ukraine litakuwa kwenye hali gani,waulizeni kilicho wapata wachenchenyea walipo jitia kutunia misuri jeshi la Urusi, Syria je, wale ISIS na Daesh kuna anaye fanya fyoko kwa jeshi la Urusi? Hakuna, Waukraine dawa yao hipo jikoni watakuja kulia na kusaga meno kwa kumufuata kiongozi ambaye hana hekima na busara, anawatoa kafara vijana nguvu kazi wa Ukraine cha ajabu Waukraine wanamchekea tu bila ya kumuwajibisha.
Mbona unalaumu Sana Zelenksy kuwatoa kafara vijana wake lakini humlaumu Putin anayechinja vijana wake tena wadogo wanakufa Kama kuku?!Hivi unajua maama ya carpet bombing/shock and awe?? Hivi Urusi ikihamua kufanya carpet bombing using her formidable fighter bombers unafikiri utawala wa Zelensky na wafadhali wao watadumu zaidi ya mwezi - watakimbia kusiko julikana - nyie subirini wiki mbili zijazo ili tuona Jeshi la Ukraine litakuwa kwenye hali gani,waulizeni kilicho wapata wachenchenyea walipo jitia kutunia misuri jeshi la Urusi, Syria je, wale ISIS na Daesh kuna anaye fanya fyoko kwa jeshi la Urusi? Hakuna, Waukraine dawa yao hipo jikoni watakuja kulia na kusaga meno kwa kumufuata kiongozi ambaye hana hekima na busara, anawatoa kafara vijana nguvu kazi wa Ukraine cha ajabu Waukraine wanamchekea tu bila ya kumuwajibisha.
Kubalini tu Putin kaingia Cha kike,walimjaza upepo na yeye akajaa.., safari hii jeshi lake litachakazwa mpaka aombe poo
Wanamsubiri aingie kwenye mtego mwingine wa nyukria Ili wapate nafasi ya kumfanya kama sadam au gadafi
Yes Russia anataka watoe nguvu zao zote Ili zoezi la demilitarization litimie . Na litatimia . Russia hahitaji sana maeneo anachotaka ni kuua na kutengua askari wa Ukraine na kuharibu silaha zao
Kwenye hili saga nasimama na TURKEY kiroho safiWaturuki na wagiriki wamelianzisha huko.
[emoji1112][emoji95][emoji1250]It is reported that Greek boats opened fire on a Turkish merchant ship in the Aegean Sea.
We wait for clarification... https://t.co/NFzQOM6lLT
Donesk is back to Ukraine
That's it and more to happenRussia inaendelea kusonga mbele [emoji635][emoji635] Kherson
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Russia Advances in Donbass and Kherson
To illustrate what is happening in Kharkov, Ukraine throwing all it has at Russia's weakest point, Russia is making advances elsewhere including in Kherson following the failed Ukrainian offensive 1/2
Alafu Russia 🇷🇺 amepata hasara kidogo kuliko UkraineUkraine wamepigika sana kwa ule mtindo wa kupigana kama karne ya 11 munapiga kelele huku mkimguata adui kwa maelfu na mishale yenu . SASA watu 4000 kwa siku mbili si mchezo. Russia anarudi hayo maeneo . Troops ndio KWANZA zimetoka mazoezini na mchina . Hapo badala ya kushabikia ki bwege ni vema kuanza kilio
What if negotiation fails,will Poland fight Germany?Huenda poland ni matajiri wa mchongo, majamaa hawaelewi chochote isipokuwa kulipwa fidia.
------------
Poland's prime minister announced his intention to involve Israel in negotiations on reparations with Germany
Na kama Russia wakipoteza hao wanajeshi 140,000 basi Ukraine itakuwa imepoteza wanajeshi 540,000Hii ni vita mkuu, hakuna popote nimewahi kusema kwamba Russia haipati hasara au wanajeshi wake kuuwawa, lakini wanapokuja watu hapa na kidai eti Urusi imekwisha poteza wanajeshi 140,000 hayo ni nambo ya kutunga tu.
Putin sijui hii aibu ataiweka wapi,je kwa kipigo anachopokea,ataendelea kutamba kama super pawer?Sijapost muda mrefu humu
A top Ukrainian security official said the armed forces’ campaign against Russia would end “where our interests end” and predicted a tough war, the Voice of America has reported.
“The armed forces will stop where our interests end and that will depend on many circumstances,” said Oleksiy Danilov, secretary of the National Security and Defence Council, when asked whether the campaign would end in Crimea or even Moscow.
Ukraine wameimprove confidence yao
Ukrainian forces have finally established full control over the city of Balakliia, Deputy Defence Minister Hanna Malyar has said.
Malyar made the announcement in an online statement, hours after Russia announced it was pulling out its troops.
Ukrainians ‘about to recapture Izyum’: AJE Correspondent
Al Jazeera’s Gabriel Elizondo reporting from Kyiv has said that Ukrainian forces are about to recapture the city of Izyum, a “city of 55,000 people.
“It was a key hub, a key military strongpoint for the Russians for many months. It took the Russians six weeks of fighting to get a hold of that city, and now it appears that the Ukrainians will have retaken it, in pretty much a 12-to-24-hour timeframe,” Elizondo said.
“It gives you an idea of how the tide is certainly turning. Ukrainians clearly have the momentum in this battle right now in the northeast, as they continue to push the Russian forces back.”
Pro Russia njooni huku
I love Oddessa URAAAHPutin sijui hii aibu ataiweka wapi,je kwa kipigo anachopokea,ataendelea kutamba kama super pawer?