Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamani tuacheni double standards wakati mwingine Pro russia huwa siwaelewi sijui wana msongo wa mawazo?

Mapicha na video akileta mwenzao wanakausha na kulike bila tatizo mfano Jesus Mlokozi kaleta mapicha kibao na video bila source lakini akileta vunjo tena anaweka na source mnasema video game na makasiriko yanakuwa mengi.

Mkuu vunjo walete studio naona wanajisahau.😂

Hii aione Bukyanagandi mzee wa double standard.
 
China kuingia mikataba ya Ulinzi na Solomon Islands -(US amekuwa concern na ILA hajasema inahatarisha usalama wake), Amekuwa concern kwa sababu hivyo visiwa vinatumiwa na Australia pamoja na New Zealand kama kituo muhimu kufika sehemu mbalimbali ikiwemo US yenyewe.

China kutoa mikopo kwa Africa-US amekuwa concern na Africans wanaingia kwenye debt trap. Kuna tatizo gani US wakiwa concerns na Africa kuingia kwenye debt trap??Concern yao Inawazuia Waafrika kuendelea kukopa China?

Iraq alishambuliwa na nchi kuharibia kwa reasons ambazo Ni fake (US alikuwa concern na WMD, ambazo hazikuwepo)- Huu ulikuwa uvamizi wa hovyo na hata huko US kwenyewe kuna watu wengi wa kawaida na maarufu waliupinga.

Iran na North Korea kuwa nuclear na weapons -US amekuwa concern na anafanya kila awezalo ili kuhakikisha hawapata hiyo chance ya kuwa na hizo silaha kwa sababu Iran anatishia Israel, Qatar, Saudi Arabia na washirika wengine wengi wa US. Korea ya mwendawazimu Kiduku kila siku inatishia usalama wa Korea Kaskazini na Japan kwa kufyatua makombora hovyo karibu na nchi zao.

Huelewi mgogoro na vita vya Kosovo kujitenga na Serbia ndio maana unafananisha hiyo civil war na Crimea kuchukuliwa na Russia.

Je, kuna tofauti gani Kati ya Cuba Crisis na hii ishu ya Ukraine? Au ishu ya Taiwan ya US- kwanza Cuba Crisis ilikuwa na vita baridi ndani yake, pia Warusi walikuwa wanaenda kuweka makombora kwenye ardhi ya Cuba ambapo US alikuwa na ugomvi na serikali ya Castro tu(US haijawahi kuwa na mpango wa kuimeza na kuifanya Cuba sehemu yake kama Urusi inavyotaka kuimeza Ukraine kabisa ndio sababu unaona wamechukua Crime na eneo la Mashariki.
Taiwan ni nchi ambayo haitaki kumezwa na Wakomunisti wa China na imeona ijiegemeze kwa US kuzuia Wachine wasiichukue sasa hapo tatizo liko wapi?

US uchumi wake umeunganika sana na sehemu kubwa ya dunia, makampuni na watu wake wako Uarabuni, America Kusini, Russia, China, Africa, Australia, Ulaya na kila mahali kwa hiyo lazima atakuwa na concerns nyingi sana na Geopolitics zozote zitakazotokea duniani.
 
Wanakwambia wameua wanajeshi 4000 wa Ukraine counter offensive kwanini miji bado inaondoka na vifaa vyenu ndio vinalipuliwa wanajeshi wengine wanakimbia maeneo yao.

 
Ni kweli mkuu ila Bahati mbaya sana ni kwamba hatuwezi kufanana mkuu, ule mda ambao mimi na wewe tunawaza mbona hawa hawapo kama sisi na wao wanawaza na kuulizana mbona sisi hatupo kama wao.

Ndio dunia yetu lakini that's why wenye macho mapana wanadai tuchague wa kunena nao. Obviously ni kwasababu hatuezi kuzungumza lugha moja daima.
 
“The ‘commandant's offices’, ‘prosecutor's offices’, occupiers and gauleiters are leaving,” he stated.

“They are packing their loot, packing their families, and leaving. Even, by the way, from the cities that have been occupied since 2014. We hope that in the near future we will see the Armed Forces of Ukraine cross the river and a large-scale de-occupation of Luhansk Oblast will begin.”
 
"In one settlement there are trucks waiting for Russians, and they are just drinking nearby," he added.
 
Sergey Lavrov, Minister for Foreign Affairs of the Russian Federation, said that Moscow is not opposed to negotiations with Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…