Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Maeneo yaliotekwa kwa miezi 4 yanakombolewa kwa saa 48 [emoji1787]

Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]
 
Lavrov amewataka raia waondoke kabla mvua rasmi aijaanza kunyesha na unaambiwa ule mtambo mkubwa wa nyuklia unaofua umeme na kupeleka kiev russia wanataka wauaribu na vifaa vyake wavipeleke moscow now putin ataki mchezo
 
possible but not in the way ambayo itakuwa meaningful sana kwa urusi, kuhusu china kwanza hakunaga anayeelewa position ya china ht urusi mwenyew atakua amejifunza this time maana ht hayo mafuta yenyew anaswitch tu kati ya iran, urusi na venezuela kutegemea yapi bei rahis kipind hicho, benki zenye za china znazngua tu hazibehave namna vile putin angependa-mchina yuko busy bussiness km deal haimake sense kibiashara naye anaanza kutomake sense
 
Malalamiko si mageni nilishawaambia yatakuwa debe
Urusi kaamua kujipoza maumivu ya kipigo kwa kulipua miungu mbinu.., miundombinu yenyewe aliyoharibu ghalama ya kurekebisha haifikii hata kifaru kimoja Cha urusi
 
Jamaa kaona kipigo anachopokea super pawer wao ,hakiendani na jeshi lao tulilohaminishwa kwamba ni la pili kwa uhimara dunian,
jamaa analalama mno anataka makamanda waongeze uzalendo, aangalie wasije kula kichwa mwenzie pushilin alitokomea sijui km kesharudi toka mafichoni
 
Malalamiko si mageni nilishawaambia yatakuwa debe
Urusi kaamua kujipoza maumivu ya kipigo kwa kulipua miundombinu.., miundombinu yenyewe aliyoharibu, ghalama ya kurekebisha haifikii hata kifaru kimoja Cha urusi
 
Jeshi la Ukraine linazidi kuwa imara kwa siraha anazowaachia super pawer wa mchongo [emoji12][emoji2]
 
Ni vema ukaficha upumbavu wako,jibu hoja
Gharama ya kutengeneza mtambo wa kuzalisha umeme, mtambo wa kuzalisha thermo power, miundombinu ya maji na mawasiliano ni ndogo ukilinganisha na bei ya kifaru kimoja!!!

Hivi wewe jamaa una akili kweli?

Hivi unaweza kulinganisha hasara ambayo Ukraine imepata kwa kupoteza hiyo miundombinu kwa pamoja na hasara ya Russia ya kupoteza kifaru kimoja

Mpumbavu mkubwa wewe
 
Walijichanganya siku ya kwanza wakaenda na helikopters pale Hostomel airport na special force yao ya VDV waliambulia miili ya wanajeshi wao. Eti hiyo VDV ndio inafanya kuwaiga 82nd Airborne Division ya wale watu wenye HIMARS, wakati wenzao kabla hawajafanya hiyo daring mission huhakikisha wana air dominance
 
Lavrov amewataka raia waondoke kabla mvua rasmi aijaanza kunyesha na unaambiwa ule mtambo mkubwa wa nyuklia unaofua umeme na kupeleka kiev russia wanataka wauaribu na vifaa vyake wavipeleke moscow now putin ataki mchezo
hahaha yaani lavrov ndio anajisifia nchi yake kufanya uharibifu kwe nchi ya watu na kuiba vifaa! ndio maana china hayupo kimbelembele kusapoti huu uvamizi maana kuna baadhi ya vitu vinaleta taswira ya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…