Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Wanasiasa si wa kuaminika hata kimasikhara.Ndugu una hamu na hilo....endelea kusubiri ila 'mchezo' unaendelea huko Ukraine....Tuendelee kuwaombea raia wa Ukraine ambao wametumbukizwa kwenye shimo la mauti na wanasiasa uchwara.
kama at any cost sawaNO MATTER WHAT JAMBO LETU LIKO PALEPALE
Kremlin says Russia will achieve its goals in Ukraine
Russia will achieve the goals of its self-described “special military operation” in Ukraine, the Kremlin’s spokesman has said.
“The military operation continues,” Dmitry Peskov said in a conference call with reporters. “And it will continue until the goals that were originally set are achieved,” he added.
Peskov’s comments mark the Kremlin’s first response to recent counteroffensive manoeuvres conducted by Kyiv’s forces.
He refused to respond to questions about a possible mobilisation to support Moscow’s invasion, however, saying such queries should be directed to the country’s defence ministry.
Ninachomkubal urusi mapambano yakiisha atajenga kila kitu[emoji3538][emoji3538][emoji3538]50% of Ukraine’s electrical infrastructure was destroyed in last night’s attacks — it’s unclear how long it’ll take to repair[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Mkuu kumbuka Chechen kamanda na jeshi la Putin lao moja - haingii akilini kwamba anaweza ku-criticise jeshi la Urusi in public - kama kuna tatizo au mapendekezo ataya-address in Camera siyo adhalani - ukiona anakihuka procedure za kidiplomasia basi wenye akili wanajua kuna kitu kinasukwa kumchoka akili Zelensky na wafadhili wake ili waingie 18 ya Putin.
No offence lakin hiyo ipo karibia nchi zote. Vita inaharib kila kitu ila baadae nchi.inajengwa maisba yanaendelea.
Itafikia miundo mbinu ya Russia nayo pia haitakuwa salama!Silaha zote hizi anamwachia adui ,anakimbilia kuharibu miundombinu, hambayo thamani ya matengenezo yake hata kifaru kimoja hakifikii[emoji848]
mwambie uyo popoma ukraine mwenyewe anasema kuna mitambo mingine imearibiwa yani aiwezi kutengenezeka tena labda ibadilishwe putin uvumilivu umemshinda aliwaonea huruma sana awa nyau now naona ameamua kuwaonyesha sura yake halisiGharama ya kutengeneza mtambo wa kuzalisha umeme, mtambo wa kuzalisha thermo power, miundombinu ya maji na mawasiliano ni ndogo ukilinganisha na bei ya kifaru kimoja!!!
Hivi wewe jamaa una akili kweli?
Hivi unaweza kulinganisha hasara ambayo Ukraine imepata kwa kupoteza hiyo miundombinu kwa pamoja na hasara ya Russia ya kupoteza kifaru kimoja
Mpumbavu mkubwa wewe
Ni germany tu si EU. Eu ina inchi nyingi.YAANI HAWA EU WAMETOA SILAHA MPAKA SASA WANATEGEANA WAMEANZA KUONA WATAISHIWA. MWANAMUME MMOJA ANAWAENYESHA PUT IN
ONA ALICHOSEMA WAZIRI WA ULINZI WA UJERUMANI MCHANA HUU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji629][emoji1255][emoji298]German Defense Minister Christine Lambrecht refused to supply Ukraine with battle tanks, Reuters writes.
She stated that "until now, no country has supplied Western infantry fighting vehicles or main battle tanks."
"We have agreed with our partners that Germany will not take such actions unilaterally," she said.
Earlier, German media wrote that the United States was negotiating with its allies on the supply of modern tanks to Ukraine.
Usishangae akaendelea kuwa mkaidi pamoja na kwamba umeweka chanzo Cha habari [emoji848]Kadyrov slams Russian army’s performance after Ukraine losses
Chechen leader and Putin ally dismisses the loss of Izyum, but concedes the campaign is not going to plan.www.aljazeera.com
Nadhani Al Jazeera ni moja ya Source mnazoziamini sana, so kwa sasa twende ivo kwanza hayo masuala ya Timing yakifika tutajua ila kwa sasa hali ndio ipo hivo
acha masihara yaan putin alikua anaionea huruma ukraine?mwambie uyo popoma ukraine mwenyewe anasema kuna mitambo mingine imearibiwa yani aiwezi kutengenezeka tena labda ibadilishwe putin uvumilivu umemshinda aliwaonea huruma sana awa nyau now naona ameamua kuwaonyesha sura yake halisi
tena sana ulishawai kuiona IRAK ilivyofanywa na NATO wewe, Yugoslavia? ebu kaangalia documentary za izo nchi zilivyofanywa alafu uje u compare na Russia anachofanya Ukraine alafu uje apa tuendeleze mjadaraacha masihara yaan putin alikua anaionea huruma ukraine?
Huwezi kulazimisha uonekane msitaharabu wakati umeshavamia na kutaka kuondoa utawala uliochaguliwa kihalali,anademonstrate brutality ambayo alikua anajarbu kuiavoid, but wameshamsoma ni vitu gan hataki kuvifanya then wao wanamlazimisha afanye, anataka ashinde lkn image yake isiharibike but hawezi kupata vyote
Putin Hana siraha hizo za kufanya ukatili,ukiondoa nyukria hambayo Sheria za kimataifa zinambanatena sana ulishawai kuiona IRAK ilivyofanywa na NATO wewe, Yugoslavia? ebu kaangalia documentary za izo nchi zilivyofanywa alafu uje u compare na Russia anachofanya Ukraine alafu uje apa tuendeleze mjadara
Watakwambia hiyo ni mbinu ya kijeshiHawa wanamgambo wanaacha silaha nzito wanakimbia na trucks. Kuna ratnik mmoja humu anasema madaraja hayana umuhimu, mbona sasa vifaru na heavy howitzers wanaviacha ila maroli wanatimua nayo, hesabu vifaru vinne hapa somewhere in KharkivView attachment 2354551
russia anafny anachofny ukraine sababu ya technical issues maana still ukraine ana uwezo wa kudhuru ndege za adui kwe anga lake tofauti na iraq ambayo kuna muda ilipoteza kabisa uwezo wa kulinda anga lake hivyo kuruhusu massive air campaign, ht hizi infustructure anazozilenga sasa anatumia long range missiles, au ww unaonaje mkuutena sana ulishawai kuiona IRAK ilivyofanywa na NATO wewe, Yugoslavia? ebu kaangalia documentary za izo nchi zilivyofanywa alafu uje u compare na Russia anachofanya Ukraine alafu uje apa tuendeleze mjadara
Wapi na wapi ambapo hapatakiwi kulipuliwa..?naona sasa wameamua kulipua mpk mabomba ya maji,
yeah, anachinja ila hataki kulowa damu, watu wanamlazimisha apate damu na onekaneHuwezi kulazimisha uonekane msitaharabu wakati umeshavamia na kutaka kuondoa utawala uliochaguliwa kihalali,