Wanakwambia ukisusa wenzako wanakula... Ndio hii sasa.[emoji845][emoji921] [emoji1250] [emoji635] Russia has increased the supply of LPG to Turkey by almost 600%.
Huku sisi umeme kukatika si mpaka bomu. Hata yowe tu za watoto wakitoka shule zinakata umeme. Tuna kazi ya kufanya kama nchi.Aiseee yani hawa jamaa wamefanya repair ndani ya saa 24 wanawashinda hata Tanesco ambao hawako vitani,transfoma likibuka mnaweza kaa hata siku mbili bila Umeme na nchi imetuliaa hakuna hata risasi inayorindima mtaaniView attachment 2354296
Ni 'silaha' na siyo 'siraha' .... Umerudia hiyo 'siraha' yako mara kadhaa humu..Unaretreat unaacha siraha zenye thamani ya mabilion ya dollar kwa adui yako
Hii inaonyesha wazi super pawer wa mchongo ameshachanganyikiwa,
Kumbe naongea na mwehu .... Haujui hata basics za uandishi wa habari. Heading ya habari intakiwa ijieleze Kwa ufupi wake na Kwa marefu kwenye habari yenyewe. Kama unaona HEADING ilikuwa sawa na habari yenyewe nikusaidiaje sasa.... Wazazi wako waliuza ng'ombe wakapeleka ng'ombe ingine shule kula majani. Pole.Kwahiyo unasoma kichwa cha habari au habari yenyewe? Habari ndio imebeba ujumbe sio kichwa cha habari.
Akili za ajabu kabisa hizi.
"mara kadhaa humu.."Ni 'silaha' na siyo 'siraha' .... Umerudia hiyo 'siraha' yako mara kadhaa humu..
Nikianza kuchambua makosa ya kiuadishi kwenye hiyo sentensi yako tutakesha hapa.Ni 'silaha' na siyo 'siraha' .... Umerudia hiyo 'siraha' yako mara kadhaa humu..
Waziri wa ulinzi lazima awe mwanajeshi!!?? Hivii huu ujinga mna usomea wapi na sisi tukajifunze!!??Huyu Shoigu hakupitia hata jeshini huo uwaziri wa Ulinzi sijui hata kaupataje
Kwa hiyo wote wale waliosema na wanaosema kuwa ile ni coup hawajui kitu...na wewe ndiye unajua maana ya coup. Dah....Haya soma hapa chini maana ya coup.Inaonyesha hujui maana ya coup,wananchi wanapoingia barabarani kwa umoja wao kuitaka serikali Yao iachie madaraka hiyo ni coup?
Hata kama watachochewa kuingia barabarani.., lakini ukiona watu unaowaongoza wamekubali kushawishika kuingia barabarani kupinga utawala wako ujue hukubariki
Watu Wana mavichwa makubwa kama tikiti lakini ubongo punje ya ulezi .... Anapata wapi huo uwezo wa kuchakata taarifa nzito kama hii.Kweli nimeamini pro-NATO wanasikiliza sana propaganda kuliko kushirikisha akili zao.
Kwa uharibifu mkubwa kama ule kwenye plant ya umeme na thermal power na mifumo ya maji leo unaambiwa ndani ya saa 24 mifumo yote imerekebishwa na unaamini
Hata mtoto mdogo hawezi kukubali uongo kama huo ulio wazi