Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanini US alitumia atomic Bomb!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
US alitumia nyukria kwa sababu alikuwa anashambuliwa katika nchi yake

US hakuivamia Japan kama urusi alivyofanya,Bali Japan kwa ubabe wake wa vita ndiye alitangaza vita na marekani

Ushawahi kujiuliza kwa nini marekani hakutumia nyukria huko Vietnam Ili kuficha fedheha aliyopata?

Ukishakuwa mvamizi unakosa credit ya kutumia silaha za maangamizi

Ndio maana pamoja na marekani kutoa siraha lukuki kwa Ukraine,anamzuia sana Ukraine kutumia siraha hizo kushambulia ardhi ya urusi, maana kwa kufanya hivyo atakuwa amempa sababu ya msingi kabisa dikiteta Putin kutumia siraha za maangamizi,

Mwisho mataifa yote yanayomiliki silaha za nyukria ni Kwa ajili ya kuilinda mipaka yake tu na si vinginevyo [emoji106]
 
Sio Moskva Mkuu. Hiyo ni picha tu wameweka. Hiyo article imezungumzia Marekani walivyozimodify harpoon fasta ili ziweze kurushwa kupitia land platform. Kuna boti ya Urusi ilipigwa na Harpoon kule snake island kama sikosei,Moskva ilipigwa na Neptune.
 
Germany’s Ambassador to Ukraine Anka Feldhusen confirmed this information during her interview for Radio NV.

“I am very happy that we will be transmitting four of these systems. It will protect a large space in Ukraine. We have already heard that the first system will be definitely in Ukraine this year, I think the second system as well, and the third and the fourth – then, at the beginning of the new year,” Feldhusen said.

German Chancellor Olaf Scholz had said previously that Germany would deliver modern IRIS-T air defense systems to Ukraine. The first talks about the possibility of delivering these modern air defense platforms to Ukraine began half a year ago. Specifically, the medium-range versions of the missiles have been mentioned during these earlier statements.

T14 Armata IRIS-T zipo njiani soon zinaingia mzigoni

Confirmed: Ukraine Will Receive 4 IRIS-T Air Defense Systems from Germany, 2 Arrive This Year - Technology Org
 
Germany huwa wanachelewa kuleta silaha mpaka wabembelezwe. Usishangae kusikia wanatoa kisingizio kingine
 
hao magavana wa urusi walotishia nyau watakiona cha mtema kuni, wajiandae na ajali za kuanguka kutoka madirishani, kupaliwa na mate kabla ya kukutana na israeli mtoa roho
 
jamaa wameacha vifaru wakaiba baskeli na pikipiki za watu wakatoroka, hii vita ina vituko sana
Vifaru vinahitaji mafuta mengi kusafiri. Unatumia lita kama 100 kwenda kilomita 50 hivi ukiwa na T-72 MBT. Tatizo hayo mafuta unakuta yamepungua wanahitaji logistics kuyaleta, na wakati huo uko nyuma logistics centre zimepigwa hivyo wana mafuta kidogo tu. Bora mafuta mjaze kwenye trucks mkimbie faster.
Ammunition waliziacha nazo ni nzito zinahitaji wazipakie kwanza na inatumia muda wakati wanawahi. Hata artillery na howitzers waliziacha nyingi uko.

Kingine ukiwa kwenye kifaru unashambuliwa, ila ukiwa kwenye gari la kiraia wanahisi wewe ni raia, na wale ni Ukrainians sio Warusi hawawezi shambulia raia. Kuna video moja kifaru cha Irusi kilikuwa kinatoroka kumbe njiani Ukrainians washafika wako pembezoni. Warusi walipowaona wakachomoka kwenye kifaru kikiwa mbio. Wakikaa ndani kuna anti ship missiles zitawasambaratisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…