Kwa hiyo upo radhi kuona askari wako wanakufa kwa sababu tu upo kwenye operation na sio vita ?You are better than that mkuu!
Yes, According to plan. Ijapokuwa kuna improvisation za hapa na pale.
Hao ukr pia ni wanajeshi shupavu na wanasaidiwa kwa kila namna. So Upinzani ni lzm uwepo na matter of fact mpk hp walipofikia wamejitahidi. Ila bado kushinda.
Ukr anapigana vita mwenzake yupo kwenye operation. Ni kama ile game ya Sevilla tu na Simba. Mwenzio ni km yupo mazoezini wewe ndio umekamia km uko fainali ya world cup!
Umeua mkuu [emoji2]So what? Mazoezi si wanafanya kwenye tank biathlon na Zapard. Na mwaka huu washafanya na washirika kama China wameshiriki.
Mazoezi ya siku tatu yanaendelea. Sasa hivi wako kwenye special military retreat na special weapons abandonment. Operation imefanikisha kuzama kwa flagship ya Black Sea fleet na kupigwa kwa military installation. Ni mazoezi! View attachment 2355330
Hahahaa angechukua wafungwa,au angenunua zana North Korea na Iran?Wao wanakwambia eti urusi imetumia asilimia 5 tu ya nguvu zake [emoji848][emoji848]
Ukitaka tuanze kutaja nani kapoteza nini mbona hiyo battle ukraine ataishindwa kbla hajaianza!?So what? Mazoezi si wanafanya kwenye tank biathlon na Zapard. Na mwaka huu washafanya na washirika kama China wameshiriki.
Mazoezi ya siku tatu yanaendelea. Sasa hivi wako kwenye special military retreat na special weapons abandonment. Operation imefanikisha kuzama kwa flagship ya Black Sea fleet na kupigwa kwa military installation. Ni mazoezi! View attachment 2355330
Jamaa wako very determined, hawana hofu Tena juu ya fashisti[emoji298]️ Kuleba: Peace talks with Russia are only being held on the battlefield.
Ukraine doesn't reject the idea of peace talks, but will only partake as far as they concern the complete restoration of the territorial integrity of Ukraine, said Foreign Minister Dmytro Kuleba.
Kuleba added: "The more victories Ukraine achieves, the more attention will be paid to our efforts and the more motivated our partners will be to support Ukraine."View attachment 2355349
Unaniuliza from my own perspective au from Putin's!?Kwa hiyo upo radhi kuona askari wako wanakufa kwa sababu tu upo kwenye operation na sio vita ?
Tuliwaambia vyanzo vyenu vya taarifa ni vya uongo. Mkawa mnabisha na taarifa za kina Aljazeera, BBC na DW mnaziita propaganda. Ona sasa 😂😂Muda mfupi ujao urusi inatarajiwa kuuteka mjini mkuu wa ukraine kiev
Achana habari za vijiweni. Hakuna jenerali aliyeuawa ukr. Alafu paratroopers sio makomandoo hao ni wanajeshi wa miamvuli tu. Alaf hata hvyo hakuna paratrooper 200 waliochinjwa kiev. Una source hata ya kubumba tu!?Una masihara zaid ya majeneral 20 wameuwawa,na kikosi cha makomandoo 200 maarufu kama paratroops walichinjwa pale kyv,wanajesh zaid ya elfu 50 wamegeuzwa mbolea,unachukulia masihara ,so Russia ameenda kujifurahisha Ukraine ndio unataka kutuambia.mkuu acha masihara watu wako mzigoni ,si ajabu hata mlio wa bunduki hujawah sikia
Mdg mdg things are getting out of hand.Duh [emoji848]
Russia’s strikes on Ukraine’s critical infrastructure - What it could mean:
According to our research, as well as opinions of analysts from the West and from Russia, all of us agree that this is the first time in what Russia calls the “special military operation” when the Russian leadership violated its own framework (or rule set) of the war (or the “special military operation”)
From day one of the operation, Russia has made it clear that they will not target civilian infrastructure and that the operation is purely aimed at Ukrainian military targets. However, that changed last night as Russia struck objects that are the very definition of civilian infrastructure; power plants.
Members of the Russia Duma have called for designating the Ukrainian military as a terrorist organization. This comes amid Russia’s deviation from the initial framework/rule set of the SMO.
If you remember correctly, the operations in Chechnya and Syria were officially labelled “anti-terrorist operations” — which changes the rules of engagement for Russian forces.
Branding the Ukrainian military a terrorist organization on the political level gives Russian Armed Forces a lot more power than what they’re currently limited to under the “Special military operation” framework. Russian Armed Forces are very limited in terms of their power due to this framework Putin has came up with in February.
If the Ukrainian Armed Forces are designated as a terrorist organization, this makes their commanders and the whole Ukrainian leadership targets of the Russian military.
In order for Russia to strike Ukrainian decision making centres — AKA government targets, the “SMO” needs to be rebranded and bureaucratically restructured.
In our opinion, Russia striking what is unmistakably civilian infrastructure — all points to Putin rebranding the Russian Armed Forces mission in Ukraine in coming days — then, and only then, all hell will break lose on the battlefield from the Russian side.
Russia is an incredibly bureaucratic country, not a banana republic where decisions are made overnight and need no government backing. Everything is done under structure. Support and input is needed from people concerned with the economy, military and international relations — in the background.
The fact that civilian infrastructure was struck, if our opinion is correct — points to the aforementioned restructuring of the SMO already being decided and now being in the process of becoming official in coming days.
[emoji298]️Ukraine confirms liberation of Vovchansk on Russian border.Muda mfupi ujao urusi inatarajiwa kuuteka mjini mkuu wa ukraine kiev
TU 95 na TU 160 hazijawahi kwenda Syria. Hizo Ni silaha maalum kwa ajili ya Ulinzi wa ardhi ya Russia waiitayo Mother Russia.Walijichanganya siku ya kwanza wakaenda na helikopters pale Hostomel airport na special force yao ya VDV waliambulia miili ya wanajeshi wao. Eti hiyo VDV ndio inafanya kuwaiga 82nd Airborne Division ya wale watu wenye HIMARS, wakati wenzao kabla hawajafanya hiyo daring mission huhakikisha wana air dominance
Huyo jamaa huwa habari zake hazina source ni mtu wa fix sana. Usitarajie habari ya maana kwake.Tuliwaambia vyanzo vyenu vya taarifa ni vya uongo. Mkawa mnabisha na taarifa za kina Aljazeera, BBC na DW mnaziita propaganda. Ona sasa 😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]TU 95 na TU 160 hazijawahi kwenda Syria. Hizo Ni silaha maalum kwa ajili ya Ulinzi wa ardhi ya Russia waiitayo Mother Russia.
Syria zilipelekwa attack aircraft su 25 NATO codenamed frogfoot na su 24 NATO code named fencer.
Nenda YouTube tafuta pro Russian channels uone Tu-160 na Tu-95 zilivyofanya missions nchini Syria. Sijui ni channel gani niliona nahisi ni hii Combat Approved maana episodes zake nyingi nimezitazamaTU 95 na TU 160 hazijawahi kwenda Syria. Hizo Ni silaha maalum kwa ajili ya Ulinzi wa ardhi ya Russia waiitayo Mother Russia.
Syria zilipelekwa attack aircraft su 25 NATO codenamed frogfoot na su 24 NATO code named fencer.
On September 26, 2017, modernised Tupolev Tu-95MS bombers of the Russian Aerospace Forces (VKS) Long-Range Aviation Command executed another strike with Kh-101 air-launched cruise missiles (ALCMs) against targets in Syria. According to Russia’s Defense Ministry, the missiles targeted ISIS and Jabhat al-Nusra ‘command posts, hardware and manpower concentration areas as well as ammunition depot.’[1] As with previous Russian ALCM strikes during the conflict, the heavily publicised September 2017 strike was intended to serve yet another reminder to the United States and NATO (as well as to other potential adversaries) of the Russian Aerospace Forces’ growing long-range precision-strike capabilities.TU 95 na TU 160 hazijawahi kwenda Syria. Hizo Ni silaha maalum kwa ajili ya Ulinzi wa ardhi ya Russia waiitayo Mother Russia.
Syria zilipelekwa attack aircraft su 25 NATO codenamed frogfoot na su 24 NATO code named fencer.