LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hizo silaha za nuclear hata kutokea Marekani zinaweza zikatumwa zikaifikia Urusi. Kumbuka Marekani ana jukumu la kuilinda Japan, South Korea na German. Pia article no 5 ya NATO inasema mashambulizi dhidhi ya memba mmoja ni mashambulizi dhidhi ya wao wote. Afghanistan naweza kusema kuna valid reason ya Marekani kuivamia. Angalia baada ya withdrawal yao last year. What is Taliban doing? Forcing people to live in a primitive way of life. Middle East unrest kuna role ya wenyeji kuifanya iwe vile. Saudia Arabia anabeba silaha kupigana na Yemen mwislamu mwenzake, Islamic Guards wanaendesha insugence Iraq, Lebanon na Yemen. Sometimes America anaact to maint the current world order. Without order anarchy will rule. America did not become the superpower because he had a good army, he is because he has a good economy. Halafu all this empires are pre determined long before they emerge. It is not a work of one century. Putin want to use mere 20 years to build a broken vessel. Not so fast.
 
Wana

Mimi nimemwelewa Sana huyu jamaa,nchi yake ndogo Ila imepambana kwa kiwango Cha kuheshimika,Mimi nilivyoona Vita inaanza Nilijua ndani ya siku mbili atakuwa kamaliza nchi,Sasa nimebaki kukuuliza zile sifa nazozisikia za Urusi eti Ni shujaa Ni za kweli,mbona anahangaika tu mtu mzima?
 

Unachekesha sana
 
Heeeee Warusi wa Kinondoni tena😆😆😆😆😆 ila Nyamizi wewe ni mkraine wa Tandale au Magomeni?
 
Hawajui hata wanataka nini,yaani Wenyewe wanavyofanya tathmini ya hii Vita Ni kama wapo theatre wanaangamia movie zao movie ya Van damme...siwaelewiii
 
Saud Arabia inahusika vp na habari za Ukraine??
Mbona husemi Ukraine anapigwa na mkristo mwenzake mrusi??
Wacha chuki za kidini
 

hii ni propaganda ya kuwavuta wayaudi duniani kote kujiingiza katika vita hii na sina hakika ikiwa itawezakana.

Mimi Nashukru Nato inavyojiepusha na kujionyesha waoga kujiingiza katika huu mgogoro ili kunusru Vita ya nyuklia.
Urusi imeshaonyesha kuwa haina uvumilivu wowote neno matumizi ya nyukilia limekuwa
likitamkwa mara kwa mara na viongozi wa Urusi. uenda wanatishia tu ama wapo siriaz lakini hali hiyo inapewa uzito sana na WESTERNERS.

wakisema wajiingize ama kutuma kikosi hiyo itakuwa ni tiket ya moja kwa moja kati ya Urusi na Nato na Urusi anatumia kitisho cha Nuclear kama rivulej kwa mataifa mengine yasiisadie Ukraine.
 
TAARIFA KWA PRO RUSSIA.
Kufuatia kuchelewesha kuiangamiza Ukraine, Brigedia105 Moscow inawaomba radhi wapenzi na watu wote wanaoiombea mema taifa la Urusi hasa katika kipindi hiki kigumu cha vita na vikwazo vya kiuchumi.
Kuchelewa huko kumetokana na majadiliano yaliyokuwa yameombwa na Ukraine kuchukua siku nyingi.
Kwa namna nyingine, Rais Putin,mpenda haki na ni nembo ya amani duniani amewashukuru makanali,brigade generals na mageneral wote kwa kujitoa kwao sio tu kwa kuiletea amani Urusi,bali kwa dunia yote. Leo atafanya shambulio moja kubwa na litakuwa la historia katika nchi ya Ukraine na nchi za NATO na washirika wao.
Maamuzi hayo ya kulipua ni halali na yamesainiwa viongozi wakuu wa komandi zote za majeshi nchini,China,Korea Kaskazini na Iran.
Imetolewa na kurugenzi ya mawasiliano Moscow.

 

Unaota mkuu
 
Hajaonesha upinzani wowote, anatumia Civilians kama human shield ndo maana Russia speed imepingua.

He is inhuman kama wengine tu. Nachukia anavyowapa raia wa akawaida wasio na mafunzo waende front kupigana na watu wenye mafunzo.

Muda wote yupo online kutafuta huruma za watu wakati yeye mwenyewe alikuwa anafunga waandishi wa habari, wapinzani wake, ametesa watu sana na sasa anataka aonekane martyr.

Mbaya zaidi anaacha majeshi yake yawabague Africans, Indians wakati wa evacuation.

Shenzy type.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…