Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

If these idiots continue to rampage the Kiev regime with the most dangerous types of weapons, then sooner or later the military campaign will go to another level, according to Dmitry Medvedev, Deputy Chairman of the Security Council of the Russian Federation. "It (the military campaign) will lose visible borders and potential predictability of the actions of the parties to the conflict." It will follow its military script, drawing new participants into it. Everything will flare up around them. Their people will seize sorrow. They will literally burn the earth, and the concrete will melt," Medvedev added.
 
The conversation between Scholz and Putin lasted an hour and a half and was devoted to the situation in Ukraine and its consequences, said a representative of the government of the German government. Scholz urged Putin to find a diplomatic solution as soon as possible based on a ceasefire, the complete withdrawal of Russian troops, and respect for the territorial integrity and sovereignty of Ukraine; Scholz stressed to Putin that any further Russian steps towards annexation would not go unanswered and would not be recognized under any circumstances, and also stated the need to ensure the safety of the Zaporozhye nuclear power plant; Scholz emphasized the important role of the grain deal and appealed to Putin not to discredit the agreement and to continue to fully implement it.
 
Kuna maswali najiuliza bado sijapata jibu
Kama unapingana Vita na mpinzani wako kitu cha Kwanza ni kuharibu miundombinu itakayofanya jeshi lake lishindwe kwenda mbele na iwe rahisi kumpiga adui yako
Sasa kwanini urusi hashambulii miundombinu ya Ukraine, yaani anajua reli na barabara ndiyo zinatumika kuingiza silaha lakini ameziacha zifanye kazi, viwanja vya ndege kaviacha wakati USA na NATO walipoingia Libya na Iraq walishambulia hayo maeneo Kwa nguvu na kusababisha swala la logistic Kwa jeshi la nchi hizo kuwa ngumu na kusababisha majeshi kushindwa kujibu mapigo
Sasa kwanini urusi hashambulii????

Kingine ninachohisi ni kuwa kitendo cha urusi kurudi nyuma ni kama mtego kuwaingiza Choo cha kike USA na NATO, maana Kwa sasa hivi ukiangalia kama mrusi kazidiwa halafu angalia muitikio wa NATO na USA ni kama wameanza kuona Bora wapeleke silaha zao latest ili kuiangamiza urusi yaani kitendo cha jeshi la urusi kurudi nyuma ni kama chambo Kwa nchi za magharibi

Kuna kipindi waziri wa ulinzi wa urusi alilalamika kuwa kwanini NATO wanapeleka silaha za zamani, lakini Kwa ninachokiona sasa NATO wameamua kupeleka silaha zao mpya hapa ndipo urusi anapopataka

Muda ni mwalimu mzuri Ila kwangu Mimi kinachoendelea ni mtego, na mrusi anataka awaumize NATO na USA pakubwa ili wasikilizie maumivu

Hata kipindi kile wakati anaondoka Kiev alitoka akaenda China na pentagon wakasema jamaa kaishiwa silaha kaenda kuomba China, huu mtego mbona kama unajirudia???
 
The Netherlands: Ratko Mladić's health condition has significantly worsened, officials say he has lost the ability to speak. Tonight, before going to bed, pray for our Ratko, that he may endure!
 
Huyo yuko nyutro eti[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
and what did Putin himself say, in return?
 
Lakini zote zina tegemea matokeo Kwa Ukraine.
Hapana. Azerbaijan waliipiga Armenia bila matokeo ya yeyote. Walianza kwa kununua silaha nyingi kutoka Uturuki, wakajifunza mbinu na majeshi tofauti hasa kaka yao Uturuki aliwasaidia sana. Kisha wakanunua silaha nyingi kutoka Israel mfano Harop kamikaze drones. Wakafanya assesment namna ya kuzuia mbinu za Armenia hasa zile trenchs walizokuwa nazo, silaha za Urusi ambazo Uturuki alishakutana nazo Kaskazini mwa Syria. Kisha wakajitoa mhanga kufanya offensive, mwanzoni walikufa wengi ila walipopata weak line wakapiga hapo na ushindi ukaanzia hapo mpaka vita inasitishwa.

Azerbaijan walijipanga miaka kadhaa kumaliza mzozo huu, kilichowazuia ni kelele za kimataifa na suluhisho lililotolewa baina ya Russia na Turkey na umoja wao unaitwa sijui OCSE, something like that
 
Mungu aibariki RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Updates:
Raisi wa Russia Vladmir Putin na raisi wa China Xi Jinping kukutana Alhamisi nchini Uzberkstan.

Viongozi hao wawili watakutana kwa siku mbili Alhamisi na Ijumaa wataungana na viongozi wa Uturuki, India na Uzberkstan katika mji wa Samarkand.

Lengo la mikutano hiyo miwili ni kuuimarisha umoja wa nchi marafiki wa China uitwao SCO au shanghai Cooperation organisation ambao waunda nchi za China, Russia, India, Pakistan na nch8i nne zilokuwa zikiunda umoja wa kisoviet wa USSR.

Umoja huu uliundwa mwaka 2001 ili kushindana na taasisi za kimagharibi katika maeneo ya siasa, uchumi na kiusalama.

Kiongozi wa Iran Ebrahim Raisi, raisi wa China Xi na waziri mkuu wa Pakistan Shehbaz Sherif watakutana na raisi Putin siku ya Alhamisi kabla ya mkutano mkuu wa Ijumaa.

Itakumbukwa kuwa kabla Russia haijaanzisha operesheni maalum nchini Ukraine tarehe 24 February, raisi Putin alikwenda China kumuona raisi Xi mapema mwezi huohuo.
 
View attachment 2355925

‼️🇺🇿6 new dialogue partners will be accepted to the Shanghai Cooperation Organisation at the Samarkand summit, including 4 Arab countries – national coordinator from Uzbekistan‼️
Waoga tu wale! China katishiwa nyao juzi kati mkia kauficha mapajani??

Hamna kitu pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…