Russia nje ya muafaka imepanga kuchukua ukraine na kuwa nchi yake au kuweka serikali itakayo kuwa chini yakehebu tuambie plan za Russia kuvamia ukraine zaidi ya hizi
kuna hoja nyingine zaidi ya hizo kutoka kwa Putin?
- kutambuliwa kwa jimbo la crimea kama sehem ya urusi ili jamaa akachimbe mafuta kwa uhuru zaidi
- ukraine kutojiunga na umoja wa NATO
ukitoa urusi inchi inayofata kwa ukubwa hapo ulaya ni ukraine kwa upande wa kijeshi ukraine ni 3 lijue hilo kwanzaWana
Mimi nimemwelewa Sana huyu jamaa,nchi yake ndogo Ila imepambana kwa kiwango Cha kuheshimika,Mimi nilivyoona Vita inaanza Nilijua ndani ya siku mbili atakuwa kamaliza nchi,Sasa nimebaki kukuuliza zile sifa nazozisikia za Urusi eti Ni shujaa Ni za kweli,mbona anahangaika tu mtu mzima?
Kwani we habari unazitoa wapi? BBC leo asbh wameripoti Rais wa Ukraine ameomba kwenda kuonana Face to face na Putin wazungumze wayamalizeHahahaaaa!!, Hashtag #kievmajivubadotu@@# Follow us on twitter..🙁🙁
Dikteta wao ameanza kupiga simu, kampigia simu raisi wa Ufaransa kuomba mazungumzo.. Huyu jamaa alifikiri vita ni kufika tu unashinda, Hakujua kwamba hata ukishinda unakuwa umeumia kiuchumi.
Wanaidogosha sana Ukraine ila hawajui hata Afrika ikiungana hatuwezi kumpiga Ukraineukitoa urusi inchi inayofata kwa ukubwa hapo ulaya ni ukraine kwa upande wa kijeshi ukraine ni 3 lijue hilo kwanza
Hao ukraine sasa hivi mifumo yao imeribika askari wao awalipwi hata mishahara sasa ni swala la muda tu kuvua magwanda na kuweka siraha chiniHajaonesha upinzani wowote, anatumia Civilians kama human shield ndo maana Russia speed imepingua.
He is inhuman kama wengine tu. Nachukia anavyowapa raia wa akawaida wasio na mafunzo waende front kupigana na watu wenye mafunzo.
Muda wote yupo online kutafuta huruma za watu wakati yeye mwenyewe alikuwa anafunga waandishi wa habari, wapinzani wake, ametesa watu sana na sasa anataka aonekane martyr.
Mbaya zaidi anaacha majeshi yake yawabague Africans, Indians wakati wa evacuation.
Shenzy type.
Kwani hujui ata Warus wana vinasaba na Wayahudi? Hujiulizi kwanini Benjaman Netanyau alikuwa anaenda sana Moscow kuonana na Putin? Hujui kuwa Roman Abramovich boss wa Chelsea licha ya kuwa ni Mrusi pia anavinasaba na Uyahudi? Hujiulizi kwanini alinyimwa visa yakuendelea kuishi Uingereza akaenda kuishi Israel?Mrusi kachokoza nyuki kumbe Raisi wa Ukraine ni myahudi ,wayahudi wa Ukraine wasema lengo la Putin ni kufuta wayahudi walioko Ukraine na kumwondoa Raisi wao myahudi
Nimesikiliza CNN jamii ya wayahudi wa Ukraine wanasema Putin ni Hitler wa pili
Kapiga mabomu hadi.memorial yao Ukraine ambako eneo hilo la Ukraine Hitler aliua wayahudi mamilioni kwa lengo la kuwafutilia mbali
Sasa Putin kaanza kuwalenga wao na majengo yao wanayoishi
Wachumia tumbo nimewadharau kweliHalafu sasa kichekesho kikubwa ni hawa hawa wanaomshangilia Putin enzi za Serikali ya awamu ya Tano na hata kule Jukwaa la Siasa walikuwa wanatokwa mapovu ya kulaani Udicteta wakiongozwa na kina Yericko Nyerere , unabaki unajiuliza hawa ndiyo wanaolilia Demokrasia hapa Nchini kweli,tukiwapa madaraka si watageuka kuwa kina Putin wa Bongo.
Tulikua tunazungumzia the current situation in Yemen where MBS has an army fighting his fellow muslim. Ungejua mjadala ulikoanzia ndio ungejua why nimewataja Iran na Hezbollah yao, MBS na Yemen na Taliban na Afghanistan yaoSaud Arabia inahusika vp na habari za Ukraine??
Mbona husemi Ukraine anapigwa na mkristo mwenzake mrusi??
Wacha chuki za kidini
Mawazo yako mzee yana chekesha sana, ina maana nguklia atakua hana?, kumbuka kinacho mlinda Russia sio uchumi ni mabomu yake, kama kiuchumi hata sasa mpaka anapo ingia vitani uchumi wake ni mdogo zaidi ya USA,Hii vita sio ya Ukraine na Urussi tu watu wanapigana indirectly humo.Urusi Vs USA na Nato.Wanachofanya Wamarekani ni kumtengenezea Puttin image mbaya kwanza,Kumuwekea vikwazo vya kiuchumi kwanza.Kwa sasa Urusi hataona madhara ila baadae atayaona.Na vita direct kati ya Urusi na wanachama wa Nato itaanza rasmi pale Putin atakapodorora kiuchumi.Ikumbukwe mabilionea wa kirusi nao wamepata sanctions wananchi wa kawaida maisha yao yataanza kuwa magumu usaliti utaanza ndani ya nchi yake mwenyewe na ndio mazingira wanayoandaa Wamerakani kwa sasa.Na Nato watakuja wakati Putin amedorora kiuchumi na hapo itakuwa rahisi kummaliza
Russia ijiandae kuelekea huku 👇Haha haha hahaaaa hahaaaa haaahaa
Vikwazoooo vya urusi
Simlikuwa mnashabikia urusi kuwekewa vikwanzo , mnalilia nini sasa tulieni.
kuna watu wamekulukia mjadala huuWanaidogosha sana Ukraine ila hawajui hata Afrika ikiungana hatuwezi kumpiga Ukraine
Kwahiyo wewe una akili kuzidi Putin[emoji16]Hii vita sio ya Ukraine na Urussi tu watu wanapigana indirectly humo.Urusi Vs USA na Nato.Wanachofanya Wamarekani ni kumtengenezea Puttin image mbaya kwanza,Kumuwekea vikwazo vya kiuchumi kwanza.Kwa sasa Urusi hataona madhara ila baadae atayaona.Na vita direct kati ya Urusi na wanachama wa Nato itaanza rasmi pale Putin atakapodorora kiuchumi.Ikumbukwe mabilionea wa kirusi nao wamepata sanctions wananchi wa kawaida maisha yao yataanza kuwa magumu usaliti utaanza ndani ya nchi yake mwenyewe na ndio mazingira wanayoandaa Wamerakani kwa sasa.Na Nato watakuja wakati Putin amedorora kiuchumi na hapo itakuwa rahisi kummaliza
Unaanza kuwasingizia tena Marekani Mkuu,rudi nyuma hapa kwa comments za pro Russia kabla ya vita utaona na source walikuwa wnaweka wao,sasa sijui na hao wameshiba propaganda za USA?Hivi ni Putin ndiye aliyesema kuwa operation hiyo ingechukua saa 24????!!! Watu naona mmeshiba mno propaganda za USA na magharibi kwa ujumla....game plan ya Russia kuhusu Ukraine ni tofauti kabisa...subirini muone
Naunga mkono,Sio sawa lkn, wakae kama ndugu wazungumze, hali iliyofikia Ukraine ni mbaya sana. Mji umekuwa kama Syria, ingawa Zelensikyy alizingua mwanzoni kwa kujifanya mwamba, ila wakae wayamalize.