LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
,.
 
Mjerumami anamjua vizuri Mrusi, alichofanyiwa Stalingrad hatawahi kuasahau.
 
Updates:

Ndege za kivita za Urusi zikiingia Nchini Ukraine.
 
Muache uongo....lini ulisikia kaukana uraia wa urusi?
bado hajaukana ila ana uraia wa Israel, russia na ureno nimesoma twiter jamaa kasepa zake urusi wabunge wa uingereza wanataka wamtemeshe asset zake zote anazomiliki uk kisa ukaribu wake na putin
 
Kuna Mambo mawili yametokea kwenye utawala was Joe Biden.

Kwanza, kuruhusu Taliban kuchukua madaraka Afghanistan baada ya kuondoa majeshi yake huko, masaa kadhaa kabla ya Taliban kuchukua nchi.

Pili, ni uvamizi wa Ukraine uliofanywa na Russia. Marekani amebaki kuwa by stander baadala ya kuchukua hatua dhidi ya huo uvamizi kwa kumlinda ukraine. Amebaki kurudia story za nyuma za vikwazo.

Je kwa jinsi Urusi anvyojiamini, na kutokuogopa chochote na kuivamia Ukraine, Ni ishara tosha ya kwamba kwa Sasa marekani hana ushawishi wa kinguvu za jeshi duniani?.
 
Kuwa super power, kuna mambo mengi ambayo bado USA, anayo na ataendelea kuwa nayo kwa miaka mingi sana!!!hivi unafikria NATO, na wao wangekuwa na akili za putin, nini kitatokea duniani kwa sasa?!! Kwa miaka hata 20 ijayo bado siioni RUSSIA,wala CHINA kuja kuwa super power, kutokana na kukosa sifa hizi, ushawishi, nguvu ya kiuchumi, nguvu ya kitamaduni.
 
Tatizo sisi Wabongo tunapenda ushabiki maandazi, vita Haina maana ni kupoteza watu, nguvumali na pesa Putin Kwa umri alionao Hana Cha kupoteza ila historia itamhukumu kutoka Rais Bora wa Russia Hadi kuifumbukiza kwenye matatizo ya Dunia tuombe uzima tutaona mengi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanaichukulia poa Urusi pia wanadhani Puttin ni Rais wa maneno la haha,Rais Puttin ni mtu hatari na Mzalendo kwa nchi yake! Yupo tayari kwa lolote kuliko kuacha nchi yake ionewe na wapuuzi wa magharibi. Puttin anasema yeye atakayeingilia huu mgogoro basi atakachikipata hakijawahi kutokea katika historia ya maisha yao! Hiyo ni kauli nzito USA kaona kuua askari wake kama Baghdad au Afghanistan hataki tena, kwani kampeni zake nilutoingiza nchhi katika mzozo wowote ambao utasababisha kuawq askari wake!. Kifupi Nuke iliyopo Russia [emoji635] ni nusu ya Nuke zote walizona wamiliko wote wa Nuke! Pia wyanajua mambo yatakapo kuwa magumu Puttin ataIitumia kwa mtu yeyeto yule bila kujali kwani anafahamika kichwa chake kimejaa moshi wa vifaru na risasi sasa mchezee.

Wale timu USA lazima malale mapema leo [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Na ndio maana NATO, na nchi nyingine za ulaya, zinaona bora zitumie njia nyingine tu kwanza, kuliko kusema nazo zitumie nguvu kwani uwezo huo wanao, lakini madhara yatakuwa makubwa mno duniani, hasa kiuchumi, na nchi nyingi za ulaya zilipata fundisho kubwa kwenye ww1, hivyo hawako tayari kuona hali hiyo ikijitokeza tena!!kwani kesho waseme NATO, inapeleka majeshi yake POLAND, na watashambulia kutokea hapo, kwani belarus naye anachanganywa tu kwenye kundi la Urusi, kitatokea nini?
Putin, na kim, huwa wanaamini ktk nguvu zaidi kuliko, busara.
Na URUSI, hii vita alishaiandaa muda mrefu tu, na lengo lake anataka amuweke rais atakaye kuwa ni mtiifu kwa moscow, kama zilivyo ktk nchi nyingi za iliyokuwa USSR.
 
Russia kapigana na mdogo wake sijui jirani yake na kawekewa vikwazo atakavyopambana navyo kwa muda halafu mnamuona USA ndo kapoteza.
 
Hii ni karata ya mwisho kuzika heshima yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…