Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila marekan sijawapenda jins wanavyoisaidia Ukraine, yaan ni kama wanataka hii vita ichukue mda mrefu,zelesky anataka ndege na vifaru vya kisasa amalize mchezo wao hawatak inamaana hawatak vita iishee inauma sana
 
ni kweli ila siamin km mrusi keshatumia wartime resources zake, resources za full mobilisation atakua nazo sema tu inahtaji maamuz magumu ya kisiasa kuanzisha full war, pamoja na setbacks anazopata still urusi ni taifa lenye nguvu kubwa
Ukweli mtupu

Putin mwenyewe keshasema hawajafanya kitu chochote serious hapo Ukraine.
 
Wale superpower uchwara kwa sasa wanaishia kutuma emoji humu. Hoja zimeisha, usupapawa umekwisha, frontline wanapigwa kisha wanasema eti hawajafanya chochote na bado hawajagusa silaha za kivita. Wakati wametumia hata hypersonic missiles lakini wapi, wametumia latest jamming pods na bado ndege zao zimepigwa, wametumia latest EW systems na zimepigwa, wamefunga air defence systems na bado wanashambuliwa kama kawaida.

Sanasana wanakwambia its going according to plan. Sasa sijui plan yao ilikuwa kutengeneza mbolea na kufanya donation ya silaha kwa Ukraine. Superpower gani huyu, kelele nyingi ila uwezo hafifu
 
Achana naye huyo ndugu....itakuwa vijana tu wenye ushabiki...au block tu
Hapana, Ndugu ...watu wa aina hii ukiwaacha watazoea....Nimempa onyo...We have laws ikiwemo ya cyber crime Act...Sasa watu wa aina hii siyo kuwaacha...Huwezi kuona mitandao ya wenzetu ikiendekeza matusi ya aina hii
 
Achana naye huyo ndugu....itakuwa vijana tu wenye ushabiki...au block tu
Hapana, Ndugu ...watu wa aina hii ukiwaacha watazoea....Nimempa onyo...We have laws ikiwemo ya cyber crime Act...Sasa watu wa aina hii siyo kuwaacha...Huwezi kuona mitandao ya wenzetu ikiendekeza matusi ya aina hii
 
Ni huzuni kwa kweli
 
Baada ya hii vita urusi na Ukraine kutakuwa na single mother wengi saana
 
Mbona unakua msahaulifi hivyo. Ebu tutajie hapa silaha ambayo rusia hajaitumia mpaka Sasa tofauti na nyuklia
 
Inashangaza saana
 
Hiyo vita inaonekana ni Armenia vs Azerbaijan and Turkey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…