Senior Bachelor ll
Senior Member
- Sep 7, 2022
- 182
- 378
Baridi inaanza liniPutin ndie anaewachora NATO na USA ambao ndo wapigana nae (Ukraine ni chambo tu)
Russia hadi sasa anahodhi eneo la kilomita za mraba 120,000 hivyo hawana wasiwasi Ukraine kujisifu amechukua eneo ka kilomita 6000 za mraba, na ndo maana Putin anaweza hata kusafiri kwenda Uzberkstan kwenye mkutano.
Ukumbuke hadi sasa Russia bado hajatumia jeshi lake kamili bali bado atumia wanajeshi wa kukodi kama Wagner na wale wa Chechen.
Pia vifaa vyote vya kivita maalum bado hawajaviingiza kwenye vita.
Ila, US na NATO wakae mkao wa kula Russia angojea baridi ianze na siku si nyingi atafanya kitu mbaya sana na si matumizi ya nyuklia.
Ni kweli[emoji298]️Pentagon: Ukraine’s successful counteroffensive only surprised Russia.
Ukraine’s counteroffensive against Russia in Kharkiv Oblast was not a surprise to its allies and partners, Pentagon Press Secretary Air Force Brig. Gen. Pat Ryder said on Sept. 13.
“I think if anyone was surprised, just based on the reports that we’ve seen in terms of the Russian military’s response, it was probably the Russians,” Ryder said.
Marekani anajua,Russia akishindwa hii vita means world war 3!So vita hii inaweza kwenda hata miaka 10,wamachosubiri ni uchumi wa Russia ndio umalize vita!Yaani uchumi wa Russia ukianguka basi Russia ashindwe kuendesha vita!Lakini sio Russia ashindwe kwenye battlefield,ikitokea hivyo,west wanajua kitakachofuata!Ila marekan sijawapenda jins wanavyoisaidia Ukraine, yaan ni kama wanataka hii vita ichukue mda mrefu,zelesky anataka ndege na vifaru vya kisasa amalize mchezo wao hawatak inamaana hawatak vita iishee inauma sana
Na hawa wengineMagaidi wa Ukraine wapasuliwa vichwa na Makomandoo wa Urusi [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2356740View attachment 2356741View attachment 2356743View attachment 2356744
😃😃😃 Wamekula kichapo heavy saizi wamesepa eti wameenda kujipanga upya 👇Olympic sprinters[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh urusi sahv kazi anayo. Watu wanapiga hadi washirika wake achague moja.Usiku kuamkia leo Azerbaijan imeshambulia kituo cha shirika la ujasusi la Urusi kilichopo grey zone ndani ya mipaka ya ArmeniaView attachment 2356864View attachment 2356865View attachment 2356867
Aione Bwana Utam aliyedai Azeri waache kulialia