National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
Unahisi Russia hawajui hilo wazo au mbinu ya marekani ( USA)?Russia akishindwa vita hii hakutokuwa na ww3. Hiyo.kitu haianzi kirahis
US is not a lap dog, they knows they only way vita hii inaweza isha pande zote zikae mezani but by they russia akiwa hoi kiuchumi.
Acha propaganda HIMARS zilizoende Ukraine hazifiki 20 kila siku Urusi wanasema "we have destroyed HIMARS "zipi kwa sababu ingetakiwa ziwe zimeisha .Yaani propaganda kibao ,from 72hrs to 6 months what a shameThe Wooden HIMARS deception is working so well that Russia claims to have destroyed more HIMARS than the U.S. has even sent to Ukraine.
🤣 🤣 🤣 🤣
Homeless wako dunia nzima. No offence kwamba nawasifia Us. Kila nchi dunia hii ina watu wa hivyo. Ndio standard tulizojiwekea wanadamuView attachment 2357509
Kama hapo US,watu wanalala kitaa!Hawana makazi!
.Zelensky apata ajali ya gari, baada ya gari za msafara wa Rais kugongana
Unadhani US hajui mbinu ya urusi na options zilizoko uwanjani?Unahisi Russia hawajui hilo wazo au mbinu ya marekani ( USA)?
Basi tusubiri matokeo. Maana Wote hapa tuna assume tu,Unadhani US hajui mbinu ya urusi na options zilizoko uwanjani?
No body knows nani anajua nini? Ni nani atachukua hatua ipi
Mbona post haiusihani na ulichoandika. Picha ina ujumbe mwingine ww unaandika vingine? Come onUlaya hapakaliki. Si mud mrefu Finland na Poland watarudi kwa baba yao mzazi Russia.
View attachment 2357523
[emoji845][emoji1200][emoji383][emoji629]The lower house of the Polish Parliament (Sejm) overwhelmingly adopted a resolution demanding reparations from Germany for the damage of the Second World War[emoji845]
.Ulaya hapakaliki. Si mud mrefu Finland na Poland watarudi kwa baba yao mzazi Russia.
View attachment 2357523
[emoji845][emoji1200][emoji383][emoji629]The lower house of the Polish Parliament (Sejm) overwhelmingly adopted a resolution demanding reparations from Germany for the damage of the Second World War[emoji845]
Not so fast ,Not so easy , Not yet
View attachment 2357509
Kama hapo US,watu wanalala kitaa!Hawana makazi!
Nilisema hapa advance ya Ukraine kharkiv ni kaazi bure ikiwa bado anaendelea kupoteza maeneo mengine.Kumbe wagner group wamechukua Kodema alafu mmekausha jamani.sio fresh update kama izi tuwe tunapeana
Kwann alaumiwe? Iwapo watauwawa wote ni sawa sababu waliamua kusimama na raisi wao kupigana. Wangeweza kuamua kumuomba msamaha putin na kumpindua raisi na kumkabidhi kwa putin ila hawakuchagua kufanya hivyo.Kinachokuja kwa Ukraine msije mkamlamu Russia
Mbn matusi mengi.Pumbaf ,Russia takataka huyu ana ubavu gani WA kuopigana ww3 hivi unajua hata meaning ya hili neno " word war " wewe mbuzi , hizo logistics za kurun vita pale Ukraine Tu zimemdgibda ndio aweze kuorganize war in global scale ,
We mwendawazimu wewe ,
Hivi Urusi anataka ardhi? Kwann asiende moja kwa moja kwenye objective? Hii kushika eneo halafu unakaa nalo kama unalitaka moja kwa moja ndo inamgharimu sababu hata ikipita muda gani as long as wenye eneo wapo hai watajaribu kuchukua eneo lao na watauwa tu warusi. Kama nia yake ni kuyachukua hayo maeneo angeua kwanza wanaosema ni ya kwao awamalize.Nilisema hapa advance ya Ukraine kharkiv ni kaazi bure ikiwa bado anaendelea kupoteza maeneo mengine.
wangehakikisha kwanza wanakomesha kbs warusi wasisogee
Yeye anataka kuzitambua kama jamhuri huru,Crimea alifanya hivyo 2014!Hakuwaua waukraine wote!Hivi Urusi anataka ardhi? Kwann asiende moja kwa moja kwenye objective? Hii kushika eneo halafu unakaa nalo kama unalitaka moja kwa moja ndo inamgharimu sababu hata ikipita muda gani as long as wenye eneo wapo hai watajaribu kuchukua eneo lao na watauwa tu warusi. Kama nia yake ni kuyachukua hayo maeneo angeua kwanza wanaosema ni ya kwao awamalize.