LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hup mchezo wameufanya north Korea miaka 60 Sasa,
Wamegonga mwamba[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama mambo yapo hivyo,kwa nini usiwashauri waliomuwekea vikwazo Mrussia kuviondoa vikozo hivyo kwa sababu ni wao wamechagua kuweka vikwazo badala ya wao kuingia uwanja wa vita kumkabili Putin?.
 
Huwa sipendi kujibizana na watu wenye Akili fupi....... mbele tembea!
Tena apite kushoto na povu lake,baadhi ya pro Putin humu mishipa inawatoka utadhani wako vitani kweli wakati ki uhalisia Panya road wakitokea unawaona wnatelekeza hadi magari kwa mbio za miguu.
 
Hayuko strategic ok anatengeneza buffer zone ni kweli ila hata akishika bandari wakati vikwazo vya kimataifa vipo itamsaidia nini zaidi ya kuwa buffer zone tu ndani ya Ukraine?

Wakati yeye anatengeneza physical buffer zone Ukraine wenzie west wanatengeneza buffer zones za political,economical ,Financial etc za warusi wote wakubwa na wadogo ,matajiri na maskini kuto cross!!!
 
Narudia tena NATO atapelekaje kesho Ukraine wakati sio mwanachama wao achana na stori za gahawa maana unapovuka sana
 
Kwanza kwenye kujadili suala la huu mgogoro ninachokiona wengi wana involve emotions, ukishahusisha hisia lazma utatoka out of control na kuanza kutukana watu, kujibishana kwa kejeli, hasira na mengine mengi.

Chukulia hii kama muvi tu sisi ambao tuko nje ya vita tuwe watazamaji, toa mtazamo wako juu ya vita inayoendelea bila kumkejeli/kumtusi mwenye mtazamo tofauti na wako. Kusema unamuona mjinga mtu anayemsapoti Russia?? Wewe mwenye mtazamo tofauti ndio mwerevu??

Ukweli wa Russia kumvamia ukraine wanaujua wenyewe hao Russia na Ukraine na hayo mataifa makubwa pia wanaujua ukweli. Kuna sababu tunazozijua na tusizozijua kwa nini Russia kavamia ukraine, Putin hajaamka tu alfajiri akaamuru majeshi yake yaivamie Ukraine kuna vingi sisi washabikia vita hatuvijui ila wenyewe wanavijua.

Athari nyingi ni sababu ya vikwazo ambavyo Russia imewekewa, umeshajiuliza kwa nini Israel na Palestina kwenye mpambano wao, UN walitaka wakae mezani waongee na kumaliza vita bila kuiwekea kikwazo chochote Israel? Kwa nini mfumo huo huo usingetumika kwenye mgogoro huu? Kwa nini hawakushinikiza Russia na Ukraine wamalize mgogoro wao kwa mazungumzo ila wakakimbilia kushinikiza kwa kuweka vikwazo na mwanzoni walikia wanaisaidia Ukraine silaha?
 
-urusi huko wanapitisha sheria ukikosoa jeshi au serikali kuhusu yanayoendelea ukraine jela miaka 15, muswada kupelekwa bungeni
-wanaohamasisha vikwazo dhidi ya urusi pia kushtakiwa kwa uhalifu ,Duma wameintroduce hio leo hii kufanyiwa mchakato wa kisheria-https://tass.com/politics/1416533
huyu jamaa anairudisha nchi enzi za USSR ila inaweza ikapitiliza ikawa zaidi ya hapo-kazi iendelee
 
Kwa kuwa Libya,Iraq,Syria na Afghanistan hazikuwa nchi huru eee?.Putini acha awashikishe adabu vibaraka wa Mmarekani na washirika wake.
 
This is my first comment on every platform I'm in regarding this war and may be the last.

Rafiki yangu – Polish ambaye ni Computer Scientist na mtaalamu wa Cybersecurity amekuwa akizisaidia mamlaka za Poland kuingiza data entry za refugees. Anasema kuna wanajeshi wengi wa KiMarekani, Uingereza, Uswidi na Czechia katika mavazi ya jeshi la Ukraine.

Anadai accent na lugha za baadhi ya wanajeshi wengi katika ukanda wa magharibi ya Ukraine haiwezekani kuwa kama alivyosikia na amekuwa akiona wanaingia kama waokoaji na mwisho hawarudi means NATO inapigana chini ya mwavuli wa Ukraine.

Russia alivyogundua hilo ndio siku aliongeza jeshi na vifaa kwa urefu wa maili 13. Another issue anasema raia, wahamiaji na wanafunzi imekuwa ikitumika kama shield ya vita na kupata ungwaji kimataifa.

Ukraine expected at early moment Africa and Asia could react toward Russia kwa watu wao kuzuia and turned to Ukraine kuonekana wanafanya discrimination hadi juzi kuweka namba maalum za African & Asians kuondoka nchini humo na mwisho wakiomba uungwaji mkono kama video iliyotolewa na Ukraine ilivyoeleza.

Going further haoni vita ikiisha anytime soon maana ni uwanja wa mapambano kwa allies na Russia – kitu pekee kumaliza vita hii ni mazungumzo na sio uingizwaji wa silaha na majeshi.
 
Kwa kuwa Libya,Iraq,Syria na Afghanistan hazikuwa nchi huru eee?.Putini acha awashikishe adabu vibaraka wa Mmarekani na washirika wake.
 
Namkubali Sana 👇

 
china inasapoti urusi kwe international stage politically ila kwe interest zake za kiuwekezaji hali iko tofauti kdg
 
Vifaa vyenyewe vimekwama huko porini kwa kukosa mafuta na njaa kwa wanajeshi..

Hivyo vitaishia kutiwa moto tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…