Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Kumbe wanatangaza habari zile ambazo serikali inataka. In short controlled news?mkuu hizo ndio habari zinaripotiwa kwe vyombo vya habari vy ndani huko urusi, hawana access ya habari tofauti na serikali yao inavyotaka iripotiwe
Ni maoni yako,tunayaheshimu[emoji106]Kwa hizi siku mbili naona Urusi anasambaza kipigo balaa hapo Ukraine, watu wanachomwa kama panya na jeshi la Urusi linasonga kwa kasi huko.
Jamani msiweke picha kama hizi!
Wanamgambo wa Ukraine wanakomboa magofu kwa gharama kubwa sana Russia anawapasua vichwa na kuwavunja viungo kwa wingiView attachment 2357893View attachment 2357894
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Wanamgambo wa Ukraine wanakomboa magofu kwa gharama kubwa sana Russia anawapasua vichwa na kuwavunja viungo kwa wingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2357893View attachment 2357894
Dada, kajifunze basi hiko kiingereza ukielewe vizuri, ili uache kukurupukaa....Acha propaganda HIMARS zilizoende Ukraine hazifiki 20 kila siku Urusi wanasema "we have destroyed HIMARS "zipi kwa sababu ingetakiwa ziwe zimeisha .Yaani propaganda kibao ,from 72hrs to 6 months what a shame
Mtaendelea kusema hali mbaya ila mwamba kwanza hana wasiwasi na amesema nothing serious has beganTechnoligia ya Silaha za Urusi inategemea 45% importation ya vifaa toka Ulaya - Kwa hiyo viwanda vyake haviwezi kuendelea na uzalishaji kwa kasi inayotakiwa - hana namna ni lazima aombe kwa majirani zake - hali ni mbaya kule !!
ukishapiga hodi kwa jirani kuomba msaada ndugu ujue tayari yashakufika..... vita isikie tu kwa mwenzio.Mtaendelea kusema hali mbaya ila mwamba kwanza hana wasiwasi na amesema nothing serious has began
Endeleeni kusikiliza hizo propaganda za west!ukishapiga hodi kwa jirani kuomba msaada ndugu ujue tayari yashakufika..... vita isikie tu kwa mwenzio.
Acha uongoTechnoligia ya Silaha za Urusi inategemea 45% importation ya vifaa toka Ulaya - Kwa hiyo viwanda vyake haviwezi kuendelea na uzalishaji kwa kasi inayotakiwa - hana namna ni lazima aombe kwa majirani zake - hali ni mbaya kule !!
We jamaa vipi?Hivi Unajua kinachoendelea huko UzbekistanHayawi hayawi........ Vita haina baunsa !! lazima unyongonyee tu.
Russian President Vladimir Putin is set to meet his Chinese counterpart Xi Jinping in Uzbekistan on Thursday with Moscow seeking to shore up support as its invasion of Ukraine falters.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Umeelewa lakini???? au unachekelea tu???Hayawi hayawi........ Vita haina baunsa !! lazima unyongonyee tu.
Russian President Vladimir Putin is set to meet his Chinese counterpart Xi Jinping in Uzbekistan on Thursday with Moscow seeking to shore up support as its invasion of Ukraine falters.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Umeelewa lakini???? au unachekelea tu???
Itakuwa ya mda kidogo, currently Ukraine wanavaa utepe wa blue na sio yelow[emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Wanamgambo wa Ukraine wanakomboa magofu kwa gharama kubwa sana Russia anawapasua vichwa na kuwavunja viungo kwa wingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2357893View attachment 2357894
Ulaya hapakaliki. Si mud mrefu Finland na Poland watarudi kwa baba yao mzazi Russia.
View attachment 2357523
[emoji845][emoji1200][emoji383][emoji629]The lower house of the Polish Parliament (Sejm) overwhelmingly adopted a resolution demanding reparations from Germany for the damage of the Second World War[emoji845]
Hizi video na picha msiwe mnatuwekea humu!Tupeane tu updates!R.I.P vikosi vya UKRAINE vilivyofanya counter attack kwenye kijiji cha Pisky
Hizi video na picha msiwe mnatuwekea humu!Tupeane tu updates!
kwani wakati mnapokonya crimea au kuweka vibaraka wenu kule east zelensky alikuwepo?? mmekalia ardhi ya moldova ya transnistria kuna zelensky huko? mlipovamia na kukalia ardhi ya georgia kuna zelensky pia huko? mmekuwa na tabia ya kuvamia na kukalia ardhi za majirani zenu halafu mnadai kuwa marekan ndio anasambaza rusophobia kwa nchi zinazowazunguka,
Mbona unaroho nyepesi sana unaweza kusaidia majeruhi aliyeumia wewe[emoji44]Hizi video na picha msiwe mnatuwekea humu!Tupeane tu updates!