Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Muambii jamaa kua kuna uhuru wa kuongea ila baada ya kuongea inategemea umeonge nn ili uwe huruWakati wa vita Huwa Kuna sheria zinatungwa Kwa dharura Ili kumaintain order!Tofauti na hapo mnapoteana!
Julian Assange,kama akiwa extradited kwenda US basi inasemekana Kwa mashtaka yanayomkabili anaweza kula mvua 200+!
Huyu alitoa taarifa za kweli kabisa za war crimes za majeshi ya Marekani huko Afghanistan!
Uhuru wa habari Hadi Kwa baba la demokrasia ni changamoto,inategemeana na muktadha tu!
China aliwahoji US,inakuwaje wanakuwa wakwanza kuwalinda na kuwapa asylum waandishi kwenye mataifa ya watu wanaotoa Siri za nchi wakati wao wanamsaka Kwa udi na uvumba Julian Assange?
Ebana,Mimi nimemsikiliza Mke wake ambaye alikuwa mwanasheria wake hapo kabla,alieleza vizuri charges anazokabiliwa nazo!Maana huwezi tu kuwa extradited bila charges kuwekwa wazi Kwa nchi husika!Kesi Ilikuwa UK na Mrs Assange ni muingereza!Hujui makosa anayoshtakiwa nayo hasa Assange kwa uhakika, una mhemko na midadi tu kwa taarifa za kusisimua alizozitoa ambazo haziko hata kwenye mashtaka yake.
Wanadharau wenzao kwamambo yakipuuzi kabisaHahaha....watu wanajiona wana akili sana...kudiscuss vitu vya watu..umemjibu vizuri sana
Tangu lini Urusi ni tishio kiuchumi kwa mtu yeyote??? Wakishindwa tekinolojia ya kisasa, wamtishe nani?US mjanja,anatengeneza nchi chambo Karibu na mataifa ambayo ni tishio kiuchumi Kwake!Mfano China,tayari ameshampata Taiwan,Na Kwa Russia tayari ameshampata Ukraine!Tena hapo ameshajua Kuna migogoro basi akiona mataifa hayo yanazidi kuimarika kiuchumi,basi anaanza kuanzisha ***** ***** Ili kuyaingiza Vitani na Kisha yeye kufanya biashara na pia kupunguza nguvu ya uchumi!
Americans are evils,ni mashetani yanywa damu namba Moja duniani!
Wamejiapiza Ukraine vita haitakwisha until the last Ukrainians is gone!Putin akasema,let be so!
Unadhani maslahi ya USA Kwa Taiwan ni yapi?Yaani mpaka Yuko tayari kuingia kwenye mgogoro wa kivita na China kisa Taiwan,why?Tafakari!Tangu lini Urusi ni tishio kiuchumi kwa mtu yeyote??? Wakishindwa tekinolojia ya kisasa, wamtishe nani?
Mantiki yako ya historia ni finyu kidogo; Marekani ilisaidia Taiwan tangu 1948 - wakati ule China haikuwa na uwezo wa kiuchumi. Ujanja gani??
Putin alianza vita Ukraine, bila kulazimishwa, bila kushambuliwa, tena hovyo.
Angalau asante kwamba unasema kuna vita huko. Asante kwa kuacha mchezo wa kijinga wa "special op".
Ukifika Tehran jinsi inavyoonekana kwenye pics hizi utaona nchi inayoteswa kweli kwa sababu dikteta yake anazidi kupuuza taratibu nyingi za kimataifa. Ukiangalia magari kenye picha hiyo utaona ni tekinolojia ya miaka 20 au zaidi iliyopita yakiendelea kuchafusha hewa. Kwa kawaida ungeona milima juu ya Tehran kwenye picha hiyo lakini sehemu kubwa ya mwaka hayaonekani shauri ya machafuko. Sasa hivi umaskini unaongezeka kila siku. Nchi hiyo ya Iran ingekuwa mbele sana kama isingekuwa na udikteta inayoona lazima kutisha nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa na kuchezea mambo ya bomu la nyuklia, na kuingilia katika siasa ya ndani ya nchi jirani . . . .Ukifika katika hili eneo lililopo kwenye hii pics huko TEHRAN
Ndio unaweza jiuliza kama hawa jamaa wameekewa vikwazo wamejiekea ama wao ndio wameeka
nimoja ya maeneo mazur kabisa huko IRAN
Mataifa ya Afrika na mengine yaloekewa vikwazo na western wanatakiwa wakapate darsa TEHRAN
Ukiiangalia IRAN unajua kabisa kwamba vikwazo vya western kwa RUSSIA havitafanikiwa hata kwa 10% ila vitafanikiwa kwa 9% kuja chini
Upuuzi wanaoufanya wamagharibi nikudhania kwamba vikwazo vyao vitawaumiza watu milele kumbe ndio vinawaleta waekewa vikwazo pamoja nakuvifanya vikwazo vyao kua vitupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Irani huyo kaingia SCO!India,Turkey,Pakistan nao wametuma maombi huku wakishiri mkutano unaoendelea kama watazamaji!Ukifika Tehran jinsi inavyoonekana kwenye pics hizi utaona nchi inayoteswa kweli kwa sababu dikteta yake anazidi kupuuza taratibu nyingi za kimataifa. Ukiangalia magari kenye picha hiyo utaona ni tekinolojia ya miaka 20 au zaidi iliyopita yakiendelea kuchafusha hewa. Kwa kawaida ungeona milima juu ya Tehran kwenye picha hiyo lakini sehemu kubwa ya mwaka hayaonekani shauri ya machafuko. Sasa hivi umaskini unaongezeka kila siku. Nchi hiyo ya Iran ingekuwa mbele sana kama isingekuwa na udikteta inayoona lazima kutisha nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa na kuchezea mambo ya bomu la nyuklia, na kuingilia katika siasa ya ndani ya nchi jirani . . . .
Vita ya Mrusi ni kuhangaika na watu na miundombinu...Hali ilivyo katika mkoa wa Kryvyi baada ya WARUSI kubomoa kuta za mto zinazozuia maji kuja kwenye makazi.View attachment 2357978View attachment 2357979
Wengine wanaingia kwa mbio (China), wengine kwa mwendo wa chopi (Iran) . . .Irani huyo kaingia SCO!India,Turkey,Pakistan nao wametuma maombi huku wakishiri mkutano unaoendelea kama watazamaji!
Soon vikwazo vya west vitakuwa havina impact!
Iran inatawaliwa na dikteta gani/anaitwa Nani?Ukifika Tehran jinsi inavyoonekana kwenye pics hizi utaona nchi inayoteswa kweli kwa sababu dikteta yake anazidi kupuuza taratibu nyingi za kimataifa. Ukiangalia magari kenye picha hiyo utaona ni tekinolojia ya miaka 20 au zaidi iliyopita yakiendelea kuchafusha hewa. Kwa kawaida ungeona milima juu ya Tehran kwenye picha hiyo lakini sehemu kubwa ya mwaka hayaonekani shauri ya machafuko. Sasa hivi umaskini unaongezeka kila siku. Nchi hiyo ya Iran ingekuwa mbele sana kama isingekuwa na udikteta inayoona lazima kutisha nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa na kuchezea mambo ya bomu la nyuklia, na kuingilia katika siasa ya ndani ya nchi jirani . . . .
We Bwana! Usimwaibishe mkuu wa majeshi na genius!!
Dah mkuu sasa km setikali yao imetunga hio sheria na bunge lao likaiidhinisha ina maana ni sheria halali, kwakuwa ni nchi huru ina haki ya kujitungia sheria zake kwa mujibu wa katiba yao waliojiwekea basi inabidi tu iwe hvyo hakuna namna hapoKwa nini iwe ni kosa kukosoa uvamizi wa Russia Ukraine? Mbona wakina Bernie Sanders, majenerali wastaafu na watu wengi sana Marekani walipinga kwa nguvu sana uvamizi wa US Iraq wa mwaka 2003 na hawakuguswa?
Nani huko Urusi ana wajibu wa kuthibitisha kuhusu hicho kinachoitwa SMO huko Ukraine?