Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hii nchi lazima Putin aivamie. Time will tell.[emoji1138] Kazakhstan transferred trade with Russia under US sanctions control
This was reported in the Ministry of Foreign Affairs of Kazakhstan and added that now no agreements will be signed without the consent of US officials. This decision was made in order not to fall under secondary sanctions.
IgnoreKama kipigo kinatembezwa lazima tuseme,
Tangu lini Urusi ni tishio kiuchumi kwa mtu yeyote??? Wakishindwa tekinolojia ya kisasa, wamtishe nani?
Mantiki yako ya historia ni finyu kidogo; Marekani ilisaidia Taiwan tangu 1948 - wakati ule China haikuwa na uwezo wa kiuchumi. Ujanja gani??
Putin alianza vita Ukraine, bila kulazimishwa, bila kushambuliwa, tena hovyo.
Angalau asante kwamba unasema kuna vita huko. Asante kwa kuacha mchezo wa kijinga wa "special op".
Kama jeshi la Putin linavyozidi kulaluliwa Malinda uko Ukraine [emoji12][emoji12]Unato...
Untoka nje
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2358201
kuna mwingine yuko fb kaandika hadi kitabu OPERATION MOSCOW kwa sasa hata updates hatoiKuna yule alikuwaga anatuletea 'breaking news' kila baada ya dk 1 anaitwa Nyundo ya Moto yuko wapi? Pro Russia wa Feb hadi April hapo walikuwaga moto kweli,sasa hivi wengi wao wamejizima data baada kuona uhalisia.
Kuna yule alikuwaga anatuletea 'breaking news' kila baada ya dk 1 anaitwa Nyundo ya Moto yuko wapi? Pro Russia wa Feb hadi April hapo walikuwaga moto kweli,sasa hivi wengi wao wamejizima data baada kuona uhalisia.
Naona Turkey anakula kotekote!Twende kazi.WANAUME kamili
[emoji635][emoji1260][emoji1130][emoji1250][emoji1039][emoji1138][emoji1044](and many more)
This doesn't look like an "isolation"
This looks like multipolarity is going full speed and isolation of the "West civilised society","isolation" is going the opposite way...View attachment 2358325
View attachment 2358326
View attachment 2358327
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona Zelensky alishaanza kulialia war crimes huko Izyum,Sasa alitaka wanajeshi wake wanaokufa kama nzi wafanyweje?Russia alikuwa analeta kijiko,fukua bonge Moja la shimo,unapakia watu mia unafukia!
Halafu Wala jamaa hawataki hata kupiga picha au video Ili kutamba nazo,mtakuja kujifanyia sensa wenyewe!
vunjo kp kipanya44 mmeisoma hiyoo?
Sisi tunajua anayeretreat ndio anayepokea kichapoNaona Zelensky alishaanza kulialia war crimes huko Izyum,Sasa alitaka wanajeshi wake wanaokufa kama nzi wafanyweje?Russia alikuwa analeta kijiko,fukua bonge Moja la shimo,unapakia watu mia unafukia!
Halafu Wala jamaa hawataki hata kupiga picha au video Ili kutamba nazo,mtakuja kujifanyia sensa wenyewe!
vunjo kp kipanya44 mmeisoma hiyoo?
Sio silaha tu,kaacha na mi massive graves kibao!Kila Moja Wajeda kama 100 wanafukiwa Kwa pamoja!Sisi tunajua anayeretreat ndio anayepokea kichapo
Unaweza kuzunguka kote, lakini ukweli unabaki palepale kwamba urusi katem ezewa kipigo na kuretreat huku akiacha nyuma silaha kibao
Hayo mengine ni chai[emoji2]
Xi Jinping:
— Dear President Putin! My dear and old friend! I am very glad to see you again!..
Sawa ,ninakubaliana na wewe.., lakini na wewe kubaliana na Mimi kwamba urusi katembezewa kipigo,karetreat, na kuacha silaha kibaoSio silaha tu,kaacha na mi massive graves kibao!Kila Moja Wajeda kama 100 wanafukiwa Kwa pamoja!
Kumbe zile data zao nimeanza kuziamini!
Fanya kama unaingia Aljazeera!
Wala huko Izyum hawakula kichapo,waliretreat!Sawa ,ninakubaliana na wewe.., lakini na wewe kubaliana na Mimi kwamba urusi katembezewa kipigo,karetreat, na kuacha silaha kibao
Yahani ukisikia kipigo Cha mbwa mwizi ndo hiki Sasa, [emoji2]