Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

TEHRAN hewa safi sanaa
Kufa kupo tu baridi ama joto
Mwisho kabisa UN haina faida yeyote bora ipuuzww na kufa kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tutajie hizo options
 
Sio silaha tu,kaacha na mi massive graves kibao!Kila Moja Wajeda kama 100 wanafukiwa Kwa pamoja!
Kumbe zile data zao nimeanza kuziamini!
Fanya kama unaingia Aljazeera!
😂😂😂

Bome-e huyu wa leo sio kama Bome-e wa jana aliekua analalama kuhusu picha za kutisha akiomba suluhu ifanyike 🤔
 
[emoji845][emoji1250][emoji635][emoji2925]Turkey is negotiating with Russia on additional gas supplies, A Haber TV channel reported, citing sources[emoji845]

Earlier, Russian Deputy Prime Minister Alexander Novak said that if Turkey asks for an increase in energy supplies, Russia will provide it.
 
[emoji1099][emoji409]NEW RECORD-10.1% — double-digit inflation has set in in the EU
[emoji3502] Double-digit inflation is recorded in 15 EU countries

[emoji1097] 25.2%
[emoji1145] 21.4%
[emoji1151] 21.1%
[emoji1126] 18.6%
[emoji1086] 17.1%
[emoji1058] 15.0%
[emoji1200] 14.8%
[emoji1179] 13.7%
[emoji1217] 13.4%
[emoji1205] 13.3%
[emoji1082] 12.6%
[emoji1218] 11.5%
[emoji1112] 11.2%
[emoji633] 10.5%
[emoji1045] 10.5%
 
kwe hesabu zake za BRI, ukraine na belarus zilikua muhimu sana kwasababu ilikua ndio route muhimu kwenda eastern europe bila kukatiza urusi so zilikuwa muhimu sn kwe diversification na kupunguza influence ya russia kwe BRI ambayo ni kubwa sn central asia na mchina aliwekeza sn but putin has other plans, he won't allow anyone to outplay him tena kwe backyard yake mwenyew, Actually china itabidi sasa aifikirie ile ofa ya putin ya kuintergrate BRI na Eurasia economic union(Vladimir Putin offered “to coordinate” (sopriagat) the BRI with economic integration within the EAEU), Putin pia anapenda kusisitiza kuwa urafiki wake na XI hauna mipaka. nothing personal just business
 
Mwenzako Rais wa Iran Leo ameomba vikwazo dhidi yake viwe lifted ili arudi kwenye meza ya mazungumzo halafu ww unaongea ugoro[emoji38]
Kwasababu hata waeka vikwazo wanamuomba aachane na mpango wanyukilia
Vikwazo havitaondolewa na mradi wa nyuk hautasitishwa
Hongera kwakuongea maneno ya hekma MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…