Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Sasa hapo shida benki husika sio Mirni kweli,but bank za turkey ziko connected na SWIFT, so zikishafanya transaction huko system ya Mir then zinatumia SWIFT kwenda destination ambayo isingwezekana kwa Mir, edorgan km edorgan ndio mchezo anaocheza kuendeleza double game yake km siku zote
Basi wasifanye kelele hata huyo unaemuona wa maana kila siku anatishia nuclear mwambieni apige tu.Bado hawajavuka red line [emoji1630]
Wao hawapati kichapo.Watachezea kichapo mpaka wajute adui yako kukuachia uwanja wa vita kirahisi
yeah shida ni bank ndio maana wanazitishiaSasa hapo shida benki husika sio Mir
Ila erdo anaangalia maslahi ya TURKRE saf sana hababaishwi na vikwazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo ninapomkumbuka maghu japo ana mapungufu yake lakini hili angetembea na mrusi kama kawaUjinga wetu wenyewe MKUU
Huu ndio wakat sahihi wakusimamia tunachokiamini
Tukishindwa wakati huu kunapoendelea SMO hatutatoboa tena
Walau jiran yetu UG hapa wetoa neno cjui wenzetu hapo TZ mnasemaje !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli banah, picha za maiti au majeruhi sio issue haijalishi zinatoka upande ganHatimaye mkuu umejibu comment!Nilikuwa Naona likes tu!Nilichosema tusiweke picha zile zinatisha,ila hizo nilizoleta ni taarifa tu bila picha kwamba wamefukuliwa 400+ kwenye kaburi Moja!
Atakayewasaidia Ukraine atakiona Cha moto [emoji2][emoji2][emoji2]Mzigo mpya huo kutoka US huyu jamaa atakoma safari hii huu aliovamia ni zaidi ya mtumbwi wa vibwengo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona unarudia propaganda pumbavu ya Putin? Si kweli kwamba idadi kubwa ya nafaka zimeenda Marekani au Ulaya. Ona taarifa ya Kituruki:Halafu utashangaa hao hao wanaiwekea Sanction Russia huku wanataka bidhaa gas ya Russia!Yaani Mimi ni Maji na maziwa,wewe una mkate na samaki,halafu unataka mimi nikuuzie maji tu halafu maziwa unaenda kununua kwingine!Lakini pia nikitaka uniuzie mkate na samaki unazui na unaenda kuuza kwingine!Na Mimi nikikaza,nikasema nitauza Kwingine unanuna na kulalamika!Shame!
Unampiga Sanction Russia Ili kuumiza uchumi wake halafu unategemea yeye akuangalie tu? Hungary kajiongeza,kasema hataki Huo Ujinga,maslahi ya nchi yake kwanza!
Kwenye nataka,hata alipoachia bandari itumike mimeli mingi imeenda ulaya na US badala ya kwenda Kwa nchi masikini zenye njaa!
Shame!
Hivi naanzaje kuichukia urusi??????Putin: Russia itatoa mbolea bure Kwa mataifa yanayoendelea [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2358783
SAMARKAND, Uzbekistan, Sept 16 (Reuters) – Russian President Vladimir Putin said Russia was ready to provide more than 300,000 tonnes of Russian fertilisers stuck in European ports to the developing world for free.
Speaking at a summit of the Shanghai Cooperation Organisation in…
Continue Reading
News Source: Putin says Russia ready to give free fertilisers to developing world
Kaka hayo ni maneno tu, biashara anayofanya China na Marekani & Umoja wa Ulaya ni mara kumi zaidi na anayofanya pamoja na Russia ndio maana kwenye huu mgogoro China hajataka kujiingiza mazima sababu anajua madhara yake.Wasikilizeni wa Americo
Russia and China are currently leading half of the world towards a new paradigm, which aims to completely cut out the parasitic Anglo-American oligarchy. If the US does not join this effort, we will be left behind. Our participation in this new coalition is necessary.
Nitakujibu mara Moja tu halafu nimemalizana na wewe,mtu anayetukana Huwa Sina time naye kabisa!Mbona unarudia propaganda pumbavu ya Putin? Si kweli kwamba idadi kubwa ya nafaka zimeenda Marekani au Ulaya. Ona taarifa ya Kituruki:
View attachment 2358833
Why Ukrainian grain is not going to countries with a food crisis
Deal brokered by Turkey and UN means Ukrainian grain has been leaving ports since the beginning of August. Where is it going?www.middleeasteye.net
PPP! (Propaganda - Putin - pumbavu) soma:Kwenye nafaka,hata alipoachia bandari itumike mimeli mingi imeenda ulaya na US badala ya kwenda Kwa nchi masikini zenye njaa!
Shame!
Mdomo wake umemponza, rahisi gan huwez kutofautisha interests na emotionsView attachment 2358730ukisikia mataifa ya ulaya ni wapumbavu ndiyo kama hivi, hii ndiyo democracy wanayoihubiri????
Jamaa wamepiga stop mradi wa bomba la mafuta la Uganda na tz
Naam n kweli mkuu.Hatimaye mkuu umejibu comment!Nilikuwa Naona likes tu!Nilichosema tusiweke picha zile zinatisha,ila hizo nilizoleta ni taarifa tu bila picha kwamba wamefukuliwa 400+ kwenye kaburi Moja!
kuna watu wanafikiri nchi zinapanga mikakati yao kwa kufuata hisia, watu wanaangalia maslahiKaka hayo ni maneno tu, biashara anayofanya China na Marekani & Umoja wa Ulaya ni mara kumi zaidi na anayofanya pamoja na Russia ndio maana kwenye huu mgogoro China hajataka kujiingiza mazima sababu anajua madhara yake.
Nimesema kiwango kikubwa kimeenda Ulaya,nimekosea?kwasababu unatukana,basi tumemalizana!Kwaheri!PPP! (Propaganda - Putin - pumbavu) soma:
In a statement to CNN, the United Nations said that under the Black Sea Grain Initiative, roughly 30% of "grains and other foodstuffs" have made it to low- and lower-middle-income countries, or approximately 700,000 metric tons.
Among countries classified by the World Bank as low- or lower-middle-income, the UN says that 10% of the initiative's exports have been sent to Egypt, 5% to Iran, 4% to India, 3% to Sudan, 2% to Yemen, 2% to Kenya, 1% to Somalia, 1% to Djibouti, and less than 1% to Lebanon.
Among countries classified by the World Bank as upper-middle- or high-income, the UN says that 20% of the initiative's exports have been sent to Turkey, 15% to Spain, 7% to China, 7% to Italy, 6% to South Korea, 5% to The Netherlands, 4% to Romania, 3% to Germany, 2% to Israel, 1% to Ireland, 1% to France, and less than 1% to Greece and Bulgaria. The statement said that foodstuffs sent to Turkey may have been shipped onward to other countries in Asia and Africa.
(kabla hujaanza kulia "CNN-Marekani" tafuta kwanza kama unapata namba halisi tofauti. Namba ni za UM!)Putin threatens to restrict Ukrainian grain exports for European countries, accusing them of acting 'like colonial powers' | CNN
Russian President Vladimir Putin Putin threatened Wednesday to restrict Ukrainian grain exports to European countries and accused them of acting "like colonial powers," as he used misleading figures to claim that developing countries are receiving a fraction of the exports they were expecting...edition.cnn.com
Uliandika nafaka za Ukraine zilienda Marekani. Katika picha hii kutoka Uturuki hakuna gramu iliyotumwa huko. Nchi za Ulaya ni 3 zinazotajwa, jumla tani 52,000. Jumla nje ya Ulaya: tani 352.Nitakujibu mara Moja tu halafu nimemalizana na wewe,mtu anayetukana Huwa Sina time naye kabisa!
Hapo Ulaya inachukua kiasi gani?Au Ulaya unaelewa Nini?
🤣🤣🤣,Pamoja mkuu!Naam n kweli mkuu.
Basi ni vile tu nimefurahi leo umekuwa mbabe kidogo tofauti na jana 😂😂😂
Kama umesahau uliandika "mimeli mingi imeenda ulaya na US". Hakuna iliyoenda US. Jumla ya nchi za Ulaya ni takriban 36% katika namba za UM. Hisabati nakuachia.Nimesema kiwango kikubwa kimeenda Ulaya,nimekosea?kwasababu unatukana,basi tumemalizana!Kwaheri!