Mimi ni mdogo sana sikuwepo wakati tunapigana na Uganda ila moja kati ya vitu vilivyofanya tukashinda ni kuwa raia wa Uganda walitupokea kwa mikono miwili. Putin atashinda pambano lakini atapoteza vita. Ili kuifanya Ukraine iwe kwenye orbit ya Urusi, watahitaji kuwatawala. Kwa hali hii ambayo tayari watu milioni moja ni wakimbizi ni vigumu maana kila siku watasimulia watoto wao kwa nini waliikimbia Ukraine. Waisrael walitawanywa duniani miaka 2000 iliyopita lakini hawakuisahau ardhi yao. Nyumbani ni nyumbani tu. Direct confrotation inaacha alama za wazi. China atapata vikwazo vikubwa sana akiichukua Taiwan kwa nguvu. Bado capability yake kwenye vita haimfikii mmarekani. Ana jeshi kubwa lakini bado sio imara kihivyo. Lingekua imara angekua ameshaamua ugomvi wake na India kwa nguvu. Pia taiwan inajiimarisha kila siku. Kadiri anavyochelewa kuichukua ndio hivyo mambo yanazidi kuwa magumu. China anatiwa afikie uchumi wa consumer wake wawe na uwezo wa kutumia bidhaa inazozalisha. Mpaka leo uchumi wa china unategemea nguvu ya uwekezaji wa serikali kuendelea. Inatakiwa iondoke kuitegemea serikali kuinua uchumi mpaka mtu mmoja mmoja maana ndio wanunuzi wa bidhaa nyingi. Serikali huwa inanunua sana wakati wa vita na baada ya hapo ni wachache sana watafaidika. Pia ukitaka kujua nguvu ya wakimbizi chunguza Kagame aliingiaje madarakani?Nimekuwa mfuatiliaji wa maoni ya watu mbalimbali juu ya huu mgogoro wa Ukraine na Urusi acha nami niandike kile ambacho naamini kwenye huu mgogoro.
Mapema kabisa Urusi ilipoanza mazoezi ya pamoja na Belarus, Washington ilionya kuwepo kwa uvamizi nchini Ukraine kutoka Urusi. Baadaye yakifanyika mazungumzo na ikaonekana Urusi amerudisha majeshi yake ila kauli ya siku zote ya Urusi alikuwa akisema "HATAKI VITA" shinikizo la kuchochea uvamizi lilikuwa linaendelea kutoka Magharibi na si Ukraine kwa maana Marekani alikuwa na taarifa juu ya kile ambacho Urusi inapanga juu ya Ukraine.
Putin anatangaza kuyatambua majimbo yaliyojitenga na kusema atapeleka majeshi kulinda raia na hatimaye anafanya hivyo na haishii kwenye majimbo tu aliyoyalenga anataka kung'oa serikali yote ya Ukraine na kupandikiza pandikizi lake pale. Majeshi ya Urusi yanaanza kusambaa kwenye maeneo mbalimbali ya nchi ya Ukraine. Upinzani umekuwa mkubwa sana kutwaa mji mkuu Kiev. Japo kwa wengi wanazungumza hili suala kishabiki sana kuliko kiuhalisia.
Ngome pekee ambayo imeonekana kuwa na nguvu nchini Ukraine ni kutwaa mji wa Kiev ambao ni makao makuu ya serikali na shughuli mbalimbali. Isingekuwa rahisi kwa Urusi kuchukua Kiev kama jinsi ambavyo Wamarekani wa Songwe na Warusi wa Ilula wanavyodhani. Baada ya uvamizi Zelensky alitangaza kuwapa silaha raia walinda nchi yao dhidi ya uvamizi wa Urusi na tumeendelea kuona idadi kubwa ya raia wakichukua silaha kwa ajili ya mapambano. Ukraine ni taifa lenye watu takribani milioni 42 na mji wa Kiev una watu wapatao milioni 2.7 (tuseme milioni 3)
Urusi iliandaa idadi ya wanajeshi wapatao laki moja na nusu hadi laki 2 kwa ajili ya operesheni/uvamizi huo. Idadi ya wanajeshi ambao Urusi ilipeleka Ukraine ni sawa kabisa na idadi ya wanajeshi wa Ukraine. Urusi ina wanajeshi wapatao laki 9. Nimeona media nyingi zinaandika kuwa asilimia 75 ya jeshi lipo Ukraine kitu ambacho wanashindwa kufafanua kuwa ni asilimia 75 ya wanajeshi walioandaliwa kwa ajili ya uvamizi/operesheni.
Urusi inapata shida kuuteka mji wa Kiev kutoka na aina ya mashambulizi waliyochagua au kile ambacho wameamua kufanya. Mji wenye raia milioni 3 usingekuwa mgumu kuwa mikononi mwa Urusi kama ingeamua kufanya MAUAJI ya halaiki ili kuhakikisha mji upo mikononi mwao hata kwa masaa 2 ama 5. Inawezekana na mataifa yote yanajua hivyo inawezekana Kiev kuwa chini ya Urusi kwa muda mfupi zaidi ya mbinu hii waliyotumia ya kupiga maeneo muhimu huku wakitaka raia kuondoka ili wapambane na majeshi ya Ukraine.
Kiev ingekuwa unakaliwa na wanajeshi pekee yake ni imani yangu kuwa hadi sasa Urusi ingekuwa imeteka mji huo na kuwa chini yake. Wengi tunaongea kushabiki na kushindwa kung'amua kwanini Urusi umeshindwa kuchukua mji huo hadi sasa. Jibu ni kuwa haitaki kuua raia na ingekuwa inataka kufanya hivyo idadi ya vifo ingekuwa mbaya sana huko Ukraine.
Siyo Marekani wala NATO wote wanajua uwezo wa kijeshi wa Urusi na hata wao wanajua Urusi hajatumia hata asilimia 40 ya uwezo wake wa kijeshi dhidi ya Ukraine ila kwa sababu ngozi za Waafrika ni nyeusi nasi tumemezwa na ushabiki tumeamua kugawana fimbo na kila mmoja anamchapa mwenzake kishabiki na si kiuhalisia.
Macron mapema leo ametoa pongezi kwa jeshi la Ukraine ila akakiri haoni kama watahimili nguvu za jeshi la Urusi siku za karibuni. Ni wazi wote wanajuana na wala Macron hajawaambia kinafiki anajua nini ambacho Urusi anacho. Laiti kama uwezo wake wa mashumbulizi ungekuwa umefika mwisho leo ungeziona nchi zenye nguvu kijeshi zikiibuka Ukraine moja kwa moja kuipiga Urusi ila wanajua Urusi ni nani na wameamua kumheshimu katika maamuzi yake ila wamebaki kupiga kelele na vikwazo.
Kwahiyo tunapolizungumza hili suala tusilichukulie kama malumbano ya Simba na Yanga maana haziumii nyasi huko Ukraine wanaumia watu hata kama ni wanajeshi wana familia zao. Hakuna familia inayotaka kuona inaletewa ndugu yao akiwa kwenye jeneza akiitwa shujaa.
Vladimir ameendelea kusisitiza na kusema nia yake kwa Urusi lazima itimie hata kama watafanya mazungumzo, yaani ni kuwa Urusi ili irudi nyuma ni lazima matakwa yake yasikilizwe jambo ambalo hakuna mtu au nchi itaenda mbele kuzuia uvamizi wa Urusi pale Ukraine, wataipa kichwa Ukraine ila hawataumia raia wa Ujerumani wala Canada bali wanatumia raia wa Ukraine na jeshi la Ukraine.
Urusi itafanya kile inacholenga juu ya Ukraine hata kama atamaliza mission akiwa kachoka kiuchumi ila lazima afanye na lazima atimize kile ambacho anaamini juu ya mgogoro huu. Huu si uvamizi wa kwanza kuonwa ukifanywa duniani na hata si mara ya kwanza kwa Urusi kufanya uvamizi wa aina hii. US ni kinara wa vamizi za aina hii ila hakuna siku kaonekana mbaya tumejaa unafiki wa kuikosoa Urusi na kuona ni taifa dhalimu na lenye ushetani ila tuition ya somo hili Urusi imelichukua kutoka kwa US na punde Uchina nayo itajifunza na Taiwan itatwaliwa.
Kwahiyo kama US alifanya dhidi ya wengine akaona ni sawa asinyenyuke kukemea masomo ambayo yeye mwenyewe ndiye mwalimu wake. Urusi atapoteza uchumi wake na kila aina huduma kutoka Ulaya na maeneo mengine duniani ila ili Urusi iwe na ukomavu wa leo na kesho NI LAZIMA AICHUKUE UKRAINE IWE ISIWE. ndicho ambacho Putin kamwambia Macron.
#MbaoZaMawe
Ni ujinga kumlazimisha mkeo akupende kwa kumpiga badala ya kumnunulia vitu vizuri. Hizi walifanya baba zetu na ndicho hicho Putin anakifanyaputin amejitahidi sana kuirudisha russia katika utukufu wake but nyakati zimebadilika sana, leo hii china inakuwa great power bila kumiliki koloni wala kupigana vita km walizopigana wengine, dunia imebadilika sana baada WW2 but ingawa bado wengine km Putin na hata baadhi ya wanasiasa wa ulaya bado wanaamini ktk falsafa zilezile zilizowafanikisha miaka 100 iliopita
Kama mom yako anavyonuka,fala weweToka hapa unanuka mdomo
And will never happen.Ukraine sio Georgia au Crimea.Ni ujinga kumlazimisha mkeo akupende kwa kumpiga badala ya kumnunulia vitu vizuri. Hizi walifanya baba zetu na ndicho hicho Putin anakifanya
Nakazia hapaMtaandika mpaka kiajemi, ila Putin shughuli yake iko pale pale....
Huna hoja kazi kufata mikumbo tuKama mom yako anavyonuka,fala wewe
ni kweli history is written by the winners ingawa ukweli utabaki kuwa ukweli ndio maana leo hii amna anaedispute kuwa red army iliwakomboa hao jamaa kutoka kwa wanazi, lkn km ulivyoainisha kwe hii comment yako at the end of the day watu wamefanya maamuzi kulingana na maslahi yao na si ushabiki km yule ndugu anavyofikiriSebria ni Slavic people, the same people ambao Putin anataka kuwatawala. Every country in East Europe kwa sasa ina hofu. Wote wanakumbuka vitu walivyofanyiwa na wanazi kwa mgongo wa kucreate a perfect race. Hata red army pamoja na kwamba iliwaokoa mikononi mwa wanazi lakini walicomit war crimes. Just the history is written by the winners and not the losers. Kwa hao UA, MBZ aliabstain maana ana hamu ya kutengeneza jeshi litakaloweza kumtisha Iran na Saud Arabia. Anahitaji vitu kutoka Russia kama ndege za kivita na technologia. Pia anamuhitaji mmarekani ndo maana akaficha mikono yake. Ni kama tulivyofanya Watanzania.
Nyumbani kwake hawataki vita watu wanaandamana,ugenini wanawindwa na raia na wanajeshi wa Ukraine.Mimi ni mdogo sana sikuwepo wakati tunapigana na Uganda ila moja kati ya vitu vilivyofanya tukashinda ni kuwa raia wa Uganda walitupokea kwa mikono miwili. Putin atashinda pambano lakini atapoteza vita. Ili kuifanya Ukraine iwe kwenye orbit ya Urusi, watahitaji kuwatawala. Kwa hali hii ambayo tayari watu milioni moja ni wakimbizi ni vigumu maana kila siku watasimulia watoto wao kwa nini waliikimbia Ukraine. Waisrael walitawanywa duniani miaka 2000 iliyopita lakini hawakuisahau ardhi yao. Nyumbani ni nyumbani tu. Direct confrotation inaacha alama za wazi. China atapata vikwazo vikubwa sana akiichukua Taiwan kwa nguvu. Bado capability yake kwenye vita haimfikii mmarekani. Ana jeshi kubwa lakini bado sio imara kihivyo. Lingekua imara angekua ameshaamua ugomvi wake na India kwa nguvu. Pia taiwan inajiimarisha kila siku. Kadiri anavyochelewa kuichukua ndio hivyo mambo yanazidi kuwa magumu. China anatiwa afikie uchumi wa consumer wake wawe na uwezo wa kutumia bidhaa inazozalisha. Mpaka leo uchumi wa china unategemea nguvu ya uwekezaji wa serikali kuendelea. Inatakiwa iondoke kuitegemea serikali kuinua uchumi mpaka mtu mmoja mmoja maana ndio wanunuzi wa bidhaa nyingi. Serikali huwa inanunua sana wakati wa vita na baada ya hapo ni wachache sana watafaidika. Pia ukitaka kujua nguvu ya wakimbizi chunguza Kagame aliingiaje madarakani?
Putin ni namba tasaNakazia hapa
Hoja zako ziko huku 🚮🚮🚮Huna hoja kazi kufata mikumbo tu
Hahahaha...NATO waliofanya tathmini na kuona bora wakae pembeni wamekaa kimya lakini mkazi mmoja wa mchambawima anainua kishingo kweli maajabu hayaishi. Mwamba anamaliza kila nchaNyumbani kwake hawataki vita watu wanaandamana,ugenini wanawindwa na raia na wanajeshi wa Ukraine.
Upande mwingine anakabwa na vikwazo uchumi unazidi kuwa mbaya.
Kama ni mwanaume afanye hayo mauaji ya halaiki afu tuone mwisho wake.
Mnaodanganyana Urusi watu wanaandamana poleni sana.Nyumbani kwake hawataki vita watu wanaandamana,ugenini wanawindwa na raia na wanajeshi wa Ukraine.
Upande mwingine anakabwa na vikwazo uchumi unazidi kuwa mbaya.
Kama ni mwanaume afanye hayo mauaji ya halaiki afu tuone mwisho wake.
At the current state Putin has nothing to loose. Inteligensia ya marekani ina hofu na state ya mind yake kutokana na kujitenga kwa takribani miaka miwili toka Corona iiigie. Putin ameshacross the point of no return. Russia is in it whether they like or not. That man use to be pragmatic but logical sijui kwa nini ameshindwa kumanuva kama alivyofanya baada ya orange revolution ya 2004-2005. Hakuhitaji kwendan mabomu alihitaji kuwatuma SVR wakafanye mambo chini kwa chini. Wakati mwingine wanapandikizwa watoto kabisa. Direct conflict ina causalities nyingi mno.Nyumbani kwake hawataki vita watu wanaandamana,ugenini wanawindwa na raia na wanajeshi wa Ukraine.
Upande mwingine anakabwa na vikwazo uchumi unazidi kuwa mbaya.
Kama ni mwanaume afanye hayo mauaji ya halaiki afu tuone mwisho wake.
Nyumbani kwake hawataki vita watu wanaandamana,ugenini wanawindwa na raia na wanajeshi wa Ukraine.
Upande mwingine anakabwa na vikwazo uchumi unazidi kuwa mbaya.
Kama ni mwanaume afanye hayo mauaji ya halaiki afu tuone mwisho wake.
Wewe ni nani?Nyumbani kwake hawataki vita watu wanaandamana,ugenini wanawindwa na raia na wanajeshi wa Ukraine.
Upande mwingine anakabwa na vikwazo uchumi unazidi kuwa mbaya.
Kama ni mwanaume afanye hayo mauaji ya halaiki afu tuone mwisho wake.
yeah ingawa atafanikiwa kwa kiasi flan ila kuna limitations nyingi sanaNi ujinga kumlazimisha mkeo akupende kwa kumpiga badala ya kumnunulia vitu vizuri. Hizi walifanya baba zetu na ndicho hicho Putin anakifanya
ameshindwa kumanuva km 2004/05 coz jamaa walijitahidi sn kuziba zile loop hole maana baada ya ile coup ya 2014 jamaa walishajifunza na wakahakikisha state institutions zote zinakuwa na watu ambao ni pro west, ndio maana alikua akiishutumu sn ukraine kuwa ni racist, wanazi na wauaji.At the current state Putin has nothing to loose. Inteligensia ya marekani ina hofu na state ya mind yake kutokana na kujitenga kwa takribani miaka miwili toka Corona iiigie. Putin ameshacross the point of no return. Russia is in it whether they like or not. That man use to be pragmatic but logical sijui kwa nini ameshindwa kumanuva kama alivyofanya baada ya orange revolution ya 2004-2005. Hakuhitaji kwendan mabomu alihitaji kuwatuma SVR wakafanye mambo chini kwa chini. Wakati mwingine wanapandikizwa watoto kabisa. Direct conflict ina causalities nyingi mno.
"This is my first comment on every platform I'm in regarding this war and may be the last"
Ameandika "REGARDING THIS WAR" na sio first comment kwenye hii platform.
Nasoma makala nyingi sana za huyu jamaa isajorsergio hasa history za nchi mbalimbali.
Kama hujui lugha kaa kimya na
Hakika.This is my first comment on every platform I'm in regarding this war and may be the last.
Rafiki yangu – Polish ambaye ni Computer Scientist na mtaalamu wa Cybersecurity amekuwa akizisaidia mamlaka za Poland kuingiza data entry za refugees. Anasema kuna wanajeshi wengi wa KiMarekani, Uingereza, Uswidi na Czechia katika mavazi ya jeshi la Ukraine.
Anadai accent na lugha za baadhi ya wanajeshi wengi katika ukanda wa magharibi ya Ukraine haiwezekani kuwa kama alivyosikia na amekuwa akiona wanaingia kama waokoaji na mwisho hawarudi means NATO inapigana chini ya mwavuli wa Ukraine.
Russia alivyogundua hilo ndio siku aliongeza jeshi na vifaa kwa urefu wa maili 13. Another issue anasema raia, wahamiaji na wanafunzi imekuwa ikitumika kama shield ya vita na kupata ungwaji kimataifa.
Ukraine expected at early moment Africa and Asia could react toward Russia kwa watu wao kuzuia and turned to Ukraine kuonekana wanafanya discrimination hadi juzi kuweka namba maalum za African & Asians kuondoka nchini humo na mwisho wakiomba uungwaji mkono kama video iliyotolewa na Ukraine ilivyoeleza.
Going further haoni vita ikiisha anytime soon maana ni uwanja wa mapambano kwa allies na Russia – kitu pekee kumaliza vita hii ni mazungumzo na sio uingizwaji wa silaha na majeshi.
"This is my first comment on every platform I'm in regarding this war and may be the last"
Ameandika "REGARDING THIS WAR" na sio first comment kwenye hii platform.
Nasoma makala nyingi sana za huyu jamaa isajorsergio hasa history za nchi mbalimbali.
Kama hujui lugha kaa kimya na
Hakika.This is my first comment on every platform I'm in regarding this war and may be the last.
Rafiki yangu – Polish ambaye ni Computer Scientist na mtaalamu wa Cybersecurity amekuwa akizisaidia mamlaka za Poland kuingiza data entry za refugees. Anasema kuna wanajeshi wengi wa KiMarekani, Uingereza, Uswidi na Czechia katika mavazi ya jeshi la Ukraine.
Anadai accent na lugha za baadhi ya wanajeshi wengi katika ukanda wa magharibi ya Ukraine haiwezekani kuwa kama alivyosikia na amekuwa akiona wanaingia kama waokoaji na mwisho hawarudi means NATO inapigana chini ya mwavuli wa Ukraine.
Russia alivyogundua hilo ndio siku aliongeza jeshi na vifaa kwa urefu wa maili 13. Another issue anasema raia, wahamiaji na wanafunzi imekuwa ikitumika kama shield ya vita na kupata ungwaji kimataifa.
Ukraine expected at early moment Africa and Asia could react toward Russia kwa watu wao kuzuia and turned to Ukraine kuonekana wanafanya discrimination hadi juzi kuweka namba maalum za African & Asians kuondoka nchini humo na mwisho wakiomba uungwaji mkono kama video iliyotolewa na Ukraine ilivyoeleza.
Going further haoni vita ikiisha anytime soon maana ni uwanja wa mapambano kwa allies na Russia – kitu pekee kumaliza vita hii ni mazungumzo na sio uingizwaji wa silaha na majeshi.